kaspar mmuya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mmuya atunuku vyeti vya usajili kwa Wathamini 38

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ametunuku vyeti vya usajili kwa wathamini 38 katika Mahafali ya Tano ya Bodi ya Usajili wa Wathamini yaliyofanyika tarehe 22 Oktoba 2026, katika Ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Akizungumza katika hafla...
  2. JamiiForums Tanzania Mmuya ashiriki mkutano wa saba wa tume ya pamoja ya ulinzi na usalama Tanzania na Msumbiji

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ameshiriki Mkutano wa Saba wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano wa Ulinzi na Usalama kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Msumbiji (Joint Permanent Commission for Defence and Security – JPCDS)...
  3. JamiiForums Tanzania Mmuya aanza ziara ya kikazi mkoani Mtwara

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewasili mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Kanali Donald Wilson Msengi. Mara baada ya kuwasili, Mhe. Mmuya amepokea taarifa...
  4. JamiiForums Tanzania Mmuya awataka watumishi wa ardhi kufanya kazi kwa kujitoa na kuharakisha miamala ya wananchi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kufanya kazi kwa kujitoa na weledi ili kutoa huduma bora na za haraka kwa wananchi. Mheshimiwa Mmuya ametoa wito huo leo, Juni 18, 2026, alipotembelea banda la Wizara ya Ardhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…