kassim majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    Ya Kassim Majaliwa, Veta na Making Kayumba Schools Great Again

    Likud: Enyi wazazi masikini wa kitanzania. Wacheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems watoeni watoto wenu huko muwarejeshe Kayumba kwa sababu huko Ems wanatumia mtaala wa Necta pia ambao una muandaa muhitimu Kuwa muajiriwa. Warejesheni Kayumba muwasimamie kwa ukaribu then hiyo...
  2. M

    Pre GE2025 Huko CCM mwenye uwezo wa kuiamsha serikali ifanye kazi ni Kassim Majaliwa pekee

    Mpaka sasa nchi nzima tunakubaliana kwamba utendaji wa serikali unazorota kila kukicha, wafanyakazi wa serikali wanafanyakazi wanavyojisikia, kama hauamini hili subiri utakapopata shida ya kukutana na watendaji wa serikali ndiyo utaelewa. Kwa tathimini ya haraka kiongozi anayejielewa...
  3. Megalodon

    Nimestushwa na Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Je ni kufilisika ki Maono kwa CCM?

    Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI...... Ni kitu cha ajabu sana kumsikia kiongozi wa Serikali kuwaambia vijana mjiajiri wakati yeye carear...
  4. Mindyou

    Pre GE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa Milioni 4 kwa wanafunzi wa Nachingwea Girls

    Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi 4,000,000 kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Nachingwea Girls iliyopo wilayani Nachingwea. Majaliwa ametoa fedha hizo machi 6 alipotembelea shuleni hapo na kuongea na wanafunzi wa shule hiyo. Aidha amesema kuwa shule...
  5. Mindyou

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kampeni ya Mama Samia Legal Aid mkoani Lindi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo. Lengo la Kampeni hiyo ni kuwafikia wananchi wenye uhitaji na wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za...
  6. tpaul

    Kama Rais hataki kufanya kazi na Kassim Majaliwa amuombe ajiuzuru kama Philip Mpango

    Sitaki salamu, naingia kwenye mada moja kwa moja. Wahenga walisema akutukanaye hakuchagulii tusi na asiyekutaka hakuambii toka bali atakutoa kwa visa ovu dhidi yako. Kabla ya kwenda mbali kwanza naomba ku declare intrerst kuwa mm ni mwanaCCM kindakindaki na juzi nilikuwepo ndani ya ukumbi kule...
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Simiyu: CCM Busega wachanga pesa kwaajili Rais Samia na Mbunge kuchukua fomu ya kugombea 2025, wengine watoa ng'ombe

    Wakuu, Wanachi Simiyu wamejichanga changa kwa mwenye mia tano, buku na zaidi na kufikisha Tsh. 553,000/- kwaajili ya mbunge na Rais Samia kuchukua fomu kwaajili ya uchaguzi 2025! Hayo yamejiri Busega, Simiyu leo December 22, 2024 ambako Waziri Majaliwa alikuwa mgeni Rasmi katika mkutano wa...
  8. Mindyou

    LGE2024 Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apiga kura kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa

    Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Nandagala, Ruangwa, Lindi. Akizungumza baada ya kupiga kura ambapo aliongozana na Mkewe Marry Majaliwa...
  9. Mindyou

    LGE2024 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka wananchi wa Ruangwa kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi mkoani Lindi kujitokeza katika uchaguzi WA serikari za mtaa ili kuchagua viongozi watakao waongoza katika awamu ijayo. Kassim majaliwa amesema hayo mkoani Lindi katika uwanja WA Majaliwa stadium katika fainali za Jimbo cup ambapo fainali...
  10. Mindyou

    LGE2024 Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na mkewe Mary Majaliwa wajiandikisha kwenye daftari la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Oktoba 19, 2024, ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye Daftari la Mpigakura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Akiwa ameambatana na mkewe Mama Mary Majaliwa, alijiandikisha katika shule ya msingi Nandagala...
  11. Roving Journalist

    Kassim Majaliwa: Tanzania inajiandaa kurusha Setelaiti

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kutekeleza wa Mpango mkakati wa miaka mitano 2024/25 – 2029/30 wa Anga za juu utakaoiwezesha Tanzania kurusha satelaiti. Amesema kuwa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam imepata mradi wa Utafiti wa kuwezesha urushaji wa satelaiti...
  12. Suley2019

    Pre GE2025 Waziri Kassim Majaliwa: Polisi msizuie Wananchi wanaokuja na mabango kwenye mikutano yangu

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi Temeke kutozuia wananchi watakaobeba mabango kuwasilisha kero zao, kwa kile alichosema ni utaratibu wa ziara zake kusikiliza na kutatua kero za wananchi, pia amesema hapangiwi ratiba. Katika kufafanua hilo Majaliwa amesema: Nitatembelea...
  13. Suley2019

    Pre GE2025 Kassim Majaliwa: Tujiulize kwanini matukio ya uuaji na utekaji yanatokea karibu na uchaguzi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania badala ya kulilaumu Jeshi la Polisi kuhusika na matukio ya utekaji na mauaji, ni vema wakajiuliza kwanini matukio hayo yanatokea kila inapokaribia wakati wa uchaguzi. Waziri Mkuu amesema hayo leo Jumatatu Septemba 16, 2024 katika Baraza la Maulid...
  14. Pfizer

    Pre GE2025 Kassim Majaliwa: Rais Samia Mitano tena, na mimi bado nauhitaji Ubunge

    DKT SAMIA MITANO TENA NA MIMI BADO NAUHITAJI UBUNGE WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi kuendelea kuitaka nafasi ya Jimbo la Ruangwa, anakowakilisha hadi sasa aidha na kusema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupewa mitano tena mpaka 2030. Mhe. Majaliwa ametangaza azma hiyo leo katika...
  15. J

    Bungeni Leo: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atoa maelekezo mapya uendeshaji wa treni ya SGR

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kuendelea kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa. Pia, Majaliwa ameagiza miundombinu ya mradi huo inaimarishwa ili uweze kudumu kwa muda mrefu. Kauli ya Majaliwa inakuja...
  16. Stephano Mgendanyi

    Wafanyabiashara wa Ngara Watembelea Bungeni, Wakutana na Jafo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    ZIARA YA MAFUNZO BUNGENI YA WAFANYABIASHARA WA NGARA YAWA NEEMA KWA BIASHARA ZA KANDA YA ZIWA. 04/09/2024, BUNGENI DODOMA Baadhi ya wafanyabiashara wapatao 60 kutoka Jimbo la Ngara wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kujifunza uendeshaji wa shughuri za Bunge, kuongea na...
  17. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Toeni taarifa za bidhaa zisizo rasmi

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watoe taarifa kwa mamlaka husika pindi wanapokuta kuna bidhaa zisizo rasmi zimeagizwa kutoka nje, zinazalishwa au zinasambazwa nchini. Ametoa wito huo Bungeni leo (Alhamisi, Agosti 29, 2024) wakati akijibu swali la Mbunge wa Hai, Saasisha Mafue...
  18. Pascal Mayalla

    Pre GE2025 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atoa majibu ya matukio ya kupotea na utekaji watu yanaendelea Nchini

    Waziri Mkuu Akijibu Maswali ya Papo kwa Papo, Bunge la kumi na mbili mkutano wa 16 kikao cha 3 tarehe 29 Agosti, 2024 Update.... Waziri Mkuu Ametoa majibu ya matukio ya utekaji yanaendelea Nataka nieleze kwamba tunapoilinda Nchi ni wajibu wetu Watanzania wote kwa kushirikiana na vyombo vyetu...
  19. Roving Journalist

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ataka Madereva walipwe stahiki zao

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa taasisi wahakikishe kuwa madereva wao wanapatiwa stahiki zao ikiwemo posho za safari, sare za kazi na mafunzo wawapo kazini. "Wakuu wa taasisi hakikisheni madereva wanapata stahiki zao kikamilifu kwa kuzingatia sheria. Ni muhimu posho ya kujikimu...
  20. Suley2019

    Pre GE2025 Kassim Majaliwa: Wapiga Kura wapya milioni 5 kuandikishwa kuelekea uchaguzi ujao

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa, kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jumla ya wapiga kura wapya 5,586,433 wataandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Ameongeza kuwa, wapiga kura hao ni ambao watakuwa wametimiza umri wa miaka 18 katika kipindi cha...
Back
Top Bottom