kassim majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ziara za Rais Samia Kusini ni kupima Msuli wa Waziri Mkuu Majaliwa nyumbani kwake

    Wanasiasa wote hususan viongozi wanapoanza kuwashughulikia wenzao huwa wanawafanyia jambo kubwa la kuwakera halafu wanaenda kufanya ziara kwenye maeneo yao ili kupima msuli wao dhidi yao. Ni kama vile mtu ampige mkeo kibao halafu anakuja kwako kuona wewe na wanao mtafanyaje. Kwa wanasiasa...
  2. Melubo Letema

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ashiriki mbio za Ruangwa Marathon 2023

    Joseph Panga (1:04:12) na Jackline Sakilu (1:12:08) Washinda Mbio za Ruangwa Half Marathon 2023. Huku nafasi ya Pili ikienda kwa Hamis Athumani kwa muda wa ( 1:04:15) na nafasi ya tatu ni Nestory Stephen ( 1:04:39) kwa upande wa wanaume. Kwa upande wa wanawake kwa kilomita 21 , nafasi ya pili...
  3. Roving Journalist

    Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu kushughulikia suala la uhaba wa mafuta nchini

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 8, leo Septemba 7, 2023. https://www.youtube.com/live/soJPf67OkQM?si=PyIaBMuE5kEcrnq- Ratiba: Hati za kuwasilishwa Mezani Maswali kwa Waziri Mkuu Maswali ya kawaida Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Namuagiza Naibu Waziri Mkuu...
  4. Etwege

    Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa? Kwa miaka 3 hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu...
  5. N

    Waziri Mkuu Majaliwa ataka waajiri sekta binafsi kuzingatia afya za wafanyakazi kazini

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakurugenzi wa makampuni binafsi nchini kuzingatia afya za wafanyakazi mahala pakazi akidai kufanya hivyo ni kulinda haki za binadamu. "Kwa kuwa nyinyi waajiri nitoe wito kwenu zingatieni afya ya wafanyakazi na usalama mahala pakazi" Pia ameongeza...
  6. Suley2019

    Kassim Majaliwa: Watanzania tufanye maamuzi ya kuingia kwenye kilimo na mifugo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuingia na kubobea kwenye kilimo, mifugo na uvuvi, akisema kuwa hilo ndilo eneo litakaoleta uchumi wa mtu mmoja mmoja na wananchi wote kwa ujumla. Kauli hiyo ameitoa jana Agosti 3, 2023 baada ya kukagua mabanda ya maonesho ya nanenane kitaifa...
  7. B

    Kassim Majaliwa, elewa Dubai siyo nchi, bali ni Mji

    Kutokana na upotoshaji ambao umekuwa unaendelezwa na viongozi wetu, binafsi kama raia nimeshindwa kuvumilia. Hii imekuja baada ya leo kumsikia tena Mh. Kassim Majaliwa ambaye ni Waziri Mkuu, kusema kilichopitishwa na bunge ni makubaliano kati ya nchi mbili. Nchi ya Tanzania, na nchi ya Dubai...
  8. K

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ninakuomba sana gombea urais wa Tanzania

    Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele. Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya...
  9. FaizaFoxy

    Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

    Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake. Hata hivi sasa...
  10. Suley2019

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Huduma za Maji zimepoteza Trilioni 6

    SERIKALI imesema ripoti ya Benki ya Dunia ya mwaka 2023, imeonyesha nchi inapoteza Sh. trilioni tano hadi sita kila mwaka kutokana na upatikanaji hafifu wa huduma za maji safi na salama pamoja na usafi wa mazingira. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati...
  11. Roving Journalist

    Hotuba ya Waziri Kassim Majaliwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge 2023/2024

    Hotuba ya Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa Mwaka 2023/2024
  12. M

    Je, Waziri Mkuu Majaliwa bado anatosha kumsaidia Rais Samia?

    Tumeona hivi karibuni Wabunge wakilalamika maagizo ya Waziri Mkuu hayafuatwi. Lakini ni kweli amekuwa akiongea na bila kusimamia maagizo yake. Jana Wafanyabiashara Kariakoo wameonyesha dhahiri kwamba hakuna imani nae kwasababu hawezi kusimamia anachokiagiza na hata ungesikia kauli zake sio za...
  13. Suley2019

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afika Kariakoo. Aagiza task force za TRA kusitisha shughuli zake haraka

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kukutana na kuongea na Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo leo ambapo tayari amefika Kariakoo muda huu badala ya Jumatano May 17,2023 ambayo ilitangazwa hapo wali hii ni kutokana na uzito wa suala hilo. Awali mkutano kati ya Waziri Mkuu na Kamati ya...
  14. J

    Waziri Mkuu anathibitishwa na Bunge hivyo wa kumwambia ajiuzulu ni Rais, Bunge au CCM lakini si CHADEMA

    Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu. Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge. Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa. Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM. CHADEMA pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu...
  15. ChoiceVariable

    Tanzania yafanikiwa kufanya ugunduzi wa mbegu bora za miche ya Michikichi iitwayo Terena

    Hello! Serikali imetangaza kugundua mbegu Bora za miche ya michikikichi uliofanywa na taasisi zake za Utafiti. Hayo yalielezwa na Waziri Mkuu wakati wa uapisho wa viongozi na kumjulisha mh.Rais ugunduzi huo. Tiririka ========== PRIME Minister Kassim Majaliwa has revealed that research...
  16. RWANDES

    Sitokuja kumwamini hata kidogo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kulidanganya taifa kuwa Magufuli ni mzima

    Cha ajabu na cha kushangaza serikali bado inamuamini kuwa ni mtu sahihi kuendelea kuwa waziri mkuu, ni bora mama angelivunja baraza la mawaziri akateua mtu mwingine wa kumsaidia kazi huyo majaliwa huenda anampotosha mama katika mambo mbalimbali kwani ameshaonekana ni mtu wa kusema uongo na nukuu...
  17. M

    CCM jitokezeni kulaani ufisadi huu

    Kuna kila sababu kwa Chama cha Mapinduzi kujitokeza hadharani kulaani ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma uliotawala katika Halmashauri karibu zote hapa nchini ambapo miradi mingi imesimama hasa ya Vituo vya Afya na Sekondari Mpya. Mbunge wa Buchosa, Erick Shigongo amesema kwenye jimbo...
  18. Dalton elijah

    Kassim Majaliwa ordered PCCB to investigate Eric Rutamirwa

    Prime Minister Kassim Majaliwa has ordered the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) to investigate the allegations facing Sumbawanga Teachers College Accountant Eric Rutamirwa and Instructor Godfrey Msenuka for burning government documents. According to the Prime Minister, the...
  19. N

    Waziri Mkuu Majaliwa na uhalali wa maamuzi hadharani

    Tumeshuhudia Waziri Mkuu Majaliwa, akikemea hadharani, watuhumiwa (Innocent Till Proved Guilty Under the court of law) Kwa Mujibu wa Vyanzo vyake. Watuhumiwa Hao Wa makosa mbalimbali, Ni watendaji Wa Kada za Chini Na za kawaida, Hasa Tamisemi, Elimu. n.k. Japo kukemea kunarekebisha Tabia...
  20. J

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuendelea kutafuta vyanzo vipya vya maji

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) kuendelea kutafuta vyanzo vipya vya maji na kuviingiza kwenye mfumo. Amesema kuwa licha ya kuongezeka kwa kiwango cha maji kwenye mfumo wa uzalishaji na usambazaji, wasilale bali waendelee kuwatumia...
Back
Top Bottom