kassim majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    Waziri Mkuu aagiza kila Taasisi ya Umma kutenga Fedha katika bajeti ili kulipa fidia za ardhi

    DODOMA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amezielekeza Taasisi zote nchini kutenga Fedha katika Bajeti zao kwaajili ya kulipa fidia kabla ya kuanza zoezi la utoaji wa Ardhi kama inavyoelekezwa katika Waraka wa Uthamini wa Fidia namba moja wa Mwaka 2024 - Kauli ya Waziri Mkuu inakuja wakati ambao...
  2. reuben mwasanjobe

    SoC04 Teknolojia rubani mkuu kwenye safari ya maendeleo kwa Tanzania tuitakayo

    Utangulizi. Katika kipindi cha robo karne ijayo, Tanzania inaweza kuwa taifa lenye uwezo mkubwa zaidi wa kiteknolojia barani Afrika kwa kuwekeza katika teknolojia ambazo zinaweza kuleta mageuzi katika sekta zote za uchumi na jamii. Maendeleo haya yanaweza kusaidia kuboresha hali ya maisha ya...
  3. ChoiceVariable

    Kassim Majaliwa: Tanzania ipo tayari kutoa Uraia kwa wawekezaji wa kimkakati

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alitoa msimamo huo bungeni Dodoma jana kwenye kipindi cha maswali ya papo kwa hapo wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Janet Mahawanga (CCM). Mbunge huyo alitaka kufahamu ni lini serikali itaboresha sheria za uhamiaji ili kuweka urahisi kwa wawekezaji wa...
  4. N

    Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mh.Waziri Mkuu awali ya yote nakupa pongezi na shukrani Kwa kulipambania taifa letu kwenye pilika za kuleta maendeleo. Mungu azidi kukupa nguvu na uwezo wa kuendelea kulipambania taifa letu Ili lisonge mbele. Mh. Waziri mkuu nakuja kwako naleta Malalamiko yangu Kwa niaba ya wenzangu tuliokuwa...
  5. Roving Journalist

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania asema anafurahishwa na washiriki wa Stories of Change kwa uandishi wao

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day) kwa Mwaka 2024 yanayohitimishwa leo Mei 3, 2024. Maadhimisho hayo yanayofanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre yanngozwa na...
  6. P

    Waziri Mkuu Majaliwa: TANESCO imezalisha umeme zaidi ya mahitaji

    Waziri Mkuu majaliwa ameipongeza TANESCO kwa kuzalisja umeme zaidi ya mahitaji yaliyopo sasa, "Leo tarehe 19 April 2024 uzalishaji wa umeme ni mkubwa, shirika letu la TANESCO limemudu kuzalisha umeme zaidi ya mahitaji tuliyonayo na bwawa la Nyerere limeanza kazi, tayari Megawati 235 ziko kwenye...
  7. Roving Journalist

    ACT Wazalendo yamtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kufika Rufiji haraka

    Waziri Mkuu Kivuli Ndugu Isihaka Mchijita amesisitiza na kuitaka Serikali kufanya tathmnini ya haraka juu ya hasara ya waathirika wa mafuriko Rufiji na Kibiti na kumtaka Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Kassim Majaliwa kwenda kujionea athari za mafuriko hayo ili kutoa msukumo...
  8. winky

    TBS na TFDA zimeshindwa kuwajibika ipasavyo na kuwaumiza Watanzania

    Wito wangu ni kwa Mh Rais.. tunaomba uziangalie hizi taasisi mbili kwa upya kwa sababu hawafanyi kazi zao zinavyopaswa na kuumiza watanzania kwa kiasi kikubwa sana. TBS IMESHINDWA KUWAJIBIKA VITU FAKE NI VINGI NA VIMETAPAKAA NA HAKUNA ANAYESHUGHULIKA Tukianza kuanzia mafuta,sabuni (vipodozi...
  9. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (Mb)

    Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) "Kwa muungwana ukweli kwake ni ibada. Ni ukweli Usiopingika kwamba, kwetu Wana Ruangwa hatukudai. Karibu matatizo yote umeyamaliza, tulizobakiwanazo ni changamoto" - Wananchi Ruangwa "Waziri...
  10. F

    Watu wa Lindi na Mtwara hawafurahishwi na Makonda kuingilia kazi za Kassim Majaliwa

    Tangu Makonda arudi kwenye jukwaa la siasa imekuwa kama vile yeye ndio waziri mkuu, makamu wa rais au rais mwenyewe. Sio kila mtu anafuria jambo hili na ndio maana hata Makonda mwenyewe tayari alishaanza kulalamika kuwa kuna watu wanamtafuta wamuue. Makonda awe makini anaposafiri kwenda...
  11. Roving Journalist

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwa mgeni rasmi TASWA Media Day Bonanza 2024, Februari 10, 2024

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimeandaa bonanza maalumu la waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari nchini "TASWA Media Day Bonanza 2024" linalotarajia kufanyika Februari 10, 2024...
  12. Suley2019

    Kassim Majaliwa: Wanafunzi kuna bilioni 48 zenu za mkopo

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa masomo 2023/2024 Serikali imetenga Tsh. bilioni 48 kwa ajili ya kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa ngazi ya stashahada. Amesema hayo leo Jumanne, Januari 16, 2024 wakati wa ufunguzi wa Chuo Kikuu Katoliki Mbeya (CUoM) Mkoani Mbeya ambapo amesema...
  13. Idofu

    Pre GE2025 Je, 2025 Kassim Majaliwa atagombea Ubunge?

    Nauliza tu kwa wabobevu wa siasa je, 2025 Mh. Waziri Mkuu atagombea tena Ubunge? Na kama atagombea na Mh .Rais akamteua mtu mwingine kuwa Waziri Mkuu, hadhi yake itakuwaje Bungeni?
  14. Nyendo

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  15. Nyafwili

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: UKIMWI bado upo, ninawaomba suala hili lipewe kipaumbele wakati wa mahubiri.

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kuwaangalia zaidi vijana, akilitaja kama kundi ambalo liko hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI, huku akiwataka kuimarisha huduma za unasihi na malezi yenye mlengo wa kustahimili mabadiliko yanayotokana na utandawazi...
  16. BARD AI

    Afungwa miezi 6 kwa utapeli wa kutumia jina la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Bahati Malila kifungo cha miezi sita jela baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matano, yakiwamo kughushi cheti kilichoonyesha kuwa kimeletolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Pia Mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa Godfey Mtonyo baada ya upande wa...
  17. R

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni mchapakazi na mzalendo, aungwe mkono

    Salaam, Shalom!! Tuliiona Kasi ya Kassim Majaliwa kiutendaji chini ya Hayati Magufuli, lakini baada ya kufariki Kwa Magu na Kuingia kiongozi mwingine, alijaribu kuendeleza Kasi hiyo lakini ghafula akaanza kuwa mpole, Amepitia misukosuko kadhaa akishutumiwa Kwa tuhuma zisizo na UKWELI wowote...
  18. benzemah

    Rais Samia Ampa Pole Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Kufiwa na Kaka Yake

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alimpotembelea nyumbani kwake kumpa pole ya kufiwa na kaka yake Issa Juma Nangalapa aliyefariki alfajiri ya leo Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023
  19. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aruhusu ghorofa lijengwe, wawili wasimamishwa, mmoja arudishwa Wizarani

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Elikana Balandya awasimamishe kazi watumishi wawili wa Jiji la Mwanza huku akiagiza Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa huo arudishwe wizarani na kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Ameagiza ujenzi wa ghorofa uliositishwa na...
  20. R

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni msafi kisiasa; Hana kashfa ya rushwa; anaaminika zaidi na wananchi/dola. Je, tupo tayari kuona mafisadi wanamstafisha?

    1. Mzee Kassim Majaliwa ni kiongozi ambaye hana tuhuma za rushwa ndani ya chama cha mapinduzi. 2. Ni kiongozi anayetambua Tanzania ina wimbi la ufukara jambo linalopelekea yeye kuogopa kujilimbikizia mali. 3. Hana makundi ya kisiasa ndani na nje ya chama. Hakuna mtandao, chawa wala kunguni wa...
Back
Top Bottom