Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
1749103855786.jpeg

Wanabodi

leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu

Paskali

 
PM anajibu,
Kuna kamati za maafa kila kijiji,kata,tarafa,wilaya,mkoa mpaka taifa,hivyo kunapotokea maafa taarifa zikifika tuu hatua zinachukuliwa hapo hapo
P
 
Swali la pili Mhe Asha anaulizia usafiri wa SGR Dar Dodoma,ziongezwe routes。
Amempongeza Rais Samia
P
 
Wanabodi leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Psskali
Wanabodi leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Psskali
S​

Wanabodi

leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu

Psskali
SIKILIZA WEWE NA MALAYA WA KISIASA . BUNGE LA TANZANIA NINA MIAKA 6 SIJAWAHI SIKILIZA
 
PM,amejibu,zilianza safari mbili,sasa zipo nne,safari mbili ni vichwa mtumba na mbili mchongoko。
P
 

Wanabodi

leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu

Psskali
Hakuna MTU muongo kama Katelefoni. Ajibu na hii

 
Back
Top Bottom