Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

PM amejibu,mikopo ya uvuvi ipo kupitia ile sera ya uchumi wa buluu, pia mabenki yote yameelekezwa kuwakopesha wajasiriamali kwa masherti nafuu。
PM amesisitiza ukikopa,lipa!
P
 
Mhe。 Jacline wa Tabora, ameulizia upungufu wa madaktari bingwa wakiwemo wa magonjwa ya kinamama。
P
 
PM amejibu serikali inaimarisha sekta ya afya kwa kuajiri zaidi madaktari bingwa。
P
 
Mhe。 Cherehani ameulizia mkakati wa serikali kujenga viwanda,kuchakata mazao ya kilimo tusiuze mazao ghafi。
P
 
PM amejibu,mikopo ya uvuvi ipo kupitia ile sera ya uchumi wa buluu, pia mabenki yote yameelekezwa kuwakopesha wajasiriamali kwa masherti nafuu。
PM amesisitiza ukikopa,lipa!
P
Ulidhani kutakuwa na swali la kuhusu rafiki yako Gwajima
 
PM kajibu serikali imeongeza vivutio vya uwekezeji, kuvutia uwekezaji wa viwanda
P
 
TUNAOMBA UTOTULIE UNDEZI WAKO HAPA .UMEKOSA KAZI YA KUFA?
Wabongo tuna shida sana, sasa kama huna interest na Habari za Bunge si uache ku comment, kuna mtu amekulazimisha ufungue huu uzi? Hamna mtanzania mwenye akili timamu na ufahamu wa siasa zetu asiyejua ubovu wa hili Bunge lakini hulazimishwi kufuatilia Habari zake.
 
Back
Top Bottom