Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

Msakatonge on air!!
Tangu aseme jiwe ni mzima w afya na yuko ofisni anachapa kazi. Nilimtoa maana.

Kazi ni kipimo cha utu
 
Maswali yameisha,Mhe Zungu amempongeza PM kwa umahiri wa kujibu maswali kwa umahiri。

My Take
Kukosekana kwa kambi ya upinzani Bungeni ,kumepelekea session hii ya maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu,imedorora kwa kukosa msisimko kutokana na waziri mkuu kuulizwa maswali laini laini, mepesi mepesi。

Watanzania wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali Bunge lijalo liwe Bunge la Chama kimoja。
Nilishauri Pre GE2025 - Wapinzani wa Tanzania wasaidiwe kuachana na siasa za kufikirika!

P
 
Back
Top Bottom