Pamoja na CCM kuwa chama dhaifu kinachotegemea dola na uhalifu kufanya siasa zake, lakini tena bado CHADEMA imekipasua chama hicho kati kwa kati.
Mwaka 1995 wakati NCCR - Mageuzi kilipokuwa maarufu na kila mtu akiamini kwamba chama hicho kitakuja kuwa kikubwa na imara kwenye siasa za Tanzania ...