kati

Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Wenje adai Lissu akiwa Mwenyekiti Kanda ya Kati alitimuliwa na Kamati Tendaji mwaka 2012

    Heshima sana Wanajamvi. Kwa mujibu wa Hezekiah Wenje, Mwaka 2012 Lissu alikuwa Mwenyekiti Kanda ya Kati. Ndani ya Mwaka mmoja hakufanya chochote katika kanda hiyo.Kamati Tendaji ya Kanda ya Kati ilimfukuza. Ikiwa Kanda ya Kati yenye Mikoa ya Morogoro,Dodoma & Singida ilimtoa hadi Kamati...
  2. T

    Wenje usipotuambia COVID-19 na Abdul wamemchangia Mbowe kiasi ngani kati ya hizo 250m. Tutaamini uongo wa Lissu akikujibu.

    Nakushauri tu tuambie waliomchangia Mbowe hizo 250m alizotoa badala ya 50m alizopangiwa na Kamati Kuu.
  3. G

    Ni kitu gani kati ya hivi vinaongoza kwa kuleta msongo wa mawazo (Depression)?

    Mapenzi - Ndoa chungu, Usaliti, nguvu za kiume, n.k. Uchumi - Kufilisika, gharama kubwa za maisha, n.k. Kesi mahakamani Marejesho ya Mkopo Magonjwa (Kisukari, Presha, Uti Sugu, n.k.) kukosa ajira - Mhitimu wa chuo hana connection Visasi - kila unapotembea lazima uangalie mazingira
  4. Tafakari yangu juu ya mchezo wa jana kati ya singida black stars dhidi ya simba

    Kwanza kabisa jana sijaona burudani ya mpira zaidi ya ubabe na makandamizo kwa walima alizeti wa singida. Hamnza anatoa kona refa anaweka goal kick, kibu anatoa mpira alafu wanarusha wao wenyewe tena, kibendera anaelekea kwake refa wa kati naye anaelekea kwake, umakini mdogo sana. Azam tv nao...
  5. Leo jioni CCM Liti tunakwenda kushuhudia game bora ya msimu kati ya Simba na Yanga B

    Simba itashinda lakini si kwa urahisi yanga B wamepewa maagizo wameahidiwa fedha gizani na mfadhili wao Gsm wana maagizo kutoka kwa waziri wa fedha na mjumbe wa baraza la wadhamini yanga A Simba ipo kwenye wakati mgumu wachezaji wawe makini wanakwenda kuhujumiwa kwa kutiwa majeraha ili...
  6. Nani anatengeneza faida kubwa kati ya mzalishaji wa bidhaa na mtu wa kati?

    Wakuu habari zenu Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi Hivi kati ya producers/manufacturer Na Middleman nani yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake. Mimi ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
  7. Olengurumwa atoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi

    Wakili maarufu na mwanaharakati wa haki za binadamu, Onesmo Olengurumwa, ameandika ujumbe wa kipekee katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X, akitoa wito wa upatanisho kati ya Freeman Mbowe na Tundu Lissu kabla ya uchaguzi wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  8. NISAIDIENI UTOFAUTI KATI YA X BOX NA PS MAANA NACHANGANYIKIWA

    Kama nilivyosema ninataka nianzishe biashara ya ps ama Playstation wengi wanavyoiita ila kumekuwa na makampuni mawili yanayoproduce deki tofautitofauti za games ambayo ni PS ya Sony na X BOX ya Microsoft Sasa hapo ndo nachanganyikiwa nashindwa kuelewa ipi ni bora kuliko nyingine jamani wadau...
  9. M

    Mdahalo kati ya Lissu na Mbowe.

    Naunga mkono hoja ya kuitisha mdahalo kati ya Lissu na Mbowe angalau mara mbili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi wao ngazi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Kwa maoni yako, unadhani nani atashinda katika mdahalo huo?
  10. L

    Awamu nyingine ya urais wa Trump itakuwa na matokeo gani kwa ushirikiano kati ya China na Afrika?

    Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
  11. M

    Nani wa kuisimamisha Israeli kwa huu ubabe anao onesha Mashariki ya kati?

    Tangu October 7 2023 tumeshuhudia vurugu za kijeshi za Israeli kujibu unyama waliofanyiwa na Hamasi,idadi kubwa ya raia wakiuwawa na kuteseka kutokana na mapigano kati ya Israel na Hamas Lebanoni pia mapigano kati ya Hezbollah na Israel yameleta maafa makumbwa Serikali ya mapinduzibua Irani...
  12. Media za Wenzetu Zinafanya Endorsment, Je Ni Wakati Muafaka Sasa Media za Tanzania Tuanze Kufanya Endorsment?. Kati FAM na TAL, JF Tumuendorse Nani?

    Wanabodi, Mada kama hii niliileta 2015 Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? Mfano mzuri wa endorsment ni huu...
  13. Ni uamuzi upi tatizo CHADEMA wa MBOWE kuutaka uenyekiti tena, au ule wa LISU kuitosa nafasi ya umakamu mwenyekiti na kumendea uenyekiti taifa?

    Tatizo liko wapia haswa na lilianzia wapi pale chadema? au nani amemuona mwingine ni tatizo pale chadema kwenye harakati za mageuzi? na kwa mtazamo wako kama mdau wa siasa, kwa viongozi wa aina hii wasioweza kuwaunganisha wananchama wa chama chao kimoja, tena kidogo tu cha siasa, badala yake...
  14. Kati ya CCM Serikali na Watanzania nani mwenye roho mbaya zaidi hasa kuhusiana na uraia pacha?

    Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania waishio ughaibuni nchini. Kuna dalili kuwa serikali ina uchu na pesa ya watu hawa lakini haiwataki...
  15. Ni chama kipi kwa sasa kati ya hivi itakuwa sehemu sahihi kwa Tundu Lissu na wapenda mabadiliko?

    Ni ukweli uliwazi kwamba Mbowe akishinda katika nafasi ya uenyekiti, CHADEMA haitakuwa na nguvu tena ya kupambania dola . Hii ni kutokana na idadi kubwa ya wafuasi kuhitaji mabadiliko ambayo yanaonekana ni vigumu kuyapata CDM kwa sasa . Hivyo kuna weza kuwa na haja ya kukipa chama kingine...
  16. Kuna shida gani kati ya Makonda na Mchengerwa?

    Kama Makonda alitoa kauli ambayo sio ya SERIKALI, ni nani anapaswa kuikana ? Ni Mchengerwa au Gerson Msigwa. Kikawaida ? , Ukitizama vizuri ndani yake kuna chuki kubwa dhidi ya Utendaji wa Makonda. Mchengerwa hana mandate juu ya mkuu wa Mkoa, RC ni presidential appointment na Waziri ni...
  17. Chief Odemba star tv nakuomba andaa mdahalo Kati ya lisu na mbowe tuwapime kwa hoja kama Mbowe atagombea .

    Watanzania na wanachadema, wapenda mageuzi, wapenda mabadiliko, wachague mwenye hoja na sio blah blah, I'li tuone democrasia ndani ya chadema inafanyika
  18. Dini zinatuchanganya sana. Ni yapi ni mazishi sahihi kati ya Dini zote na madhehebu yote,Ikiwa lengo ni kwenda peponi/Mbinguni?

    Wakuu Mimi Bado Kuna vitu Huwa najiuliza na mara zote sijawahi kupata majibu! Hapa Duniani tuna dini aina tofauti tofauti na madhehebu Hali kadharika. Na dini zote/Imani zote na madhehebu yote Yana hubiri uzima wa milele baada ya kifo hii hata Mimi naamini kuwa Kuna maisha baada ya kifo/ufufuo...
  19. Pre GE2025 Natamani mmoja Kati ya Tundu Lissu, Boniface Mwabukusi na Paul Makonda

    Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo Wote ni maradical Wote ni wanachukia Rushwa Wote wanachukia uzembe , uvivu Wote wanamsimamamo mikali Wote wanahulka ya kusema ukweli. Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…