katiba mpya

  1. K

    Rais Samia: Suala la Katiba hakuna anayelikataa. Si muda mrefu nitatangaza hiyo kamati kwa kushauriana na vyama vyote vya siasa

    Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa suala la katiba mpya hata chama chake kiko tayari kwa ajili ya katiba mpya. "Suala la katiba hakuna...
  2. Analogia Malenga

    Rais Samia: Kuhusu wabunge 19 wa viti maalumu tuiachie Mahakama, siwezi kusema neno

    Katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, Rais Samia amesema hakuna anayekataa Katiba Mpya. Hata hivyo amesema Mbowe anataka akisema leo, kesho suala litendeke. Rais ameyasema hayo kwenye mkutano wa BAWACHA wakiazimisha siku ya wanawake duniani. Aidha kuhusu suala la wabunge 19 wa viti...
  3. Analogia Malenga

    Nape: Hata mimi nataka Katiba Mpya

    Waziri wa Mawasiliano Nape Nnauye amesema ubaya uliopo ni kuwa wanaohitaji katiba Mpya wanahitaji kwa kudai badala ya kuwa na majadiliano kati yao na serikali. Katiba Mpya ni majadiliano katika wadau wote, isionekane kuna mtu anadai, kumdai mwingine. Amesema hakuna asiyehitaji katiba mpya, watu...
  4. Wakili wa shetani

    Katiba mpya iweke ukomo wa mtu kuwa mbunge na diwani iwe miaka kumi

    Suala la kuwakilisha wananchi halipaswi kuhodhiwa na mtu mmoja kwa muda usio na ukomo. Ni vyema katiba mpya ikaweka ukomo wa mtu kuwa mbunge. Haiwezekani mtu alikuwa mbunge au diwani toka enzi za Mkapa. Hadi leo kwa Rais wa nne bado anataka kuendelea kuwakilisha wananchi. Na bado anataka...
  5. J

    Kwanini CCM hawahangaiki kabisa na Katiba Mpya?

    Nauliza tu kama Uchaguzi wa 2025 tutakuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi mbona CCM hawatoi hamasa yoyote kwa wanachama Wao! Je, Katiba Mpya siyo kipaumbele cha CCM? Jumaa kareem!
  6. Black Butterfly

    Profesa Wajackoyah aishauri CHADEMA kuwa makini na Katiba Mpya

    Aliyekuwa Mgombea Urais nchini Kenya Profesa George Wajackoyah amewatahadharisha Chadema kuwa makini na mchakato wa katiba mpya Ili kuhakikisha wanapata katiba bora. Wajackoyah amesema suala la Katiba mpya linahitaji muda na maandalizi mazuri na Chadema wasifanye makosa kama walivyofanya wao...
  7. M

    Dkt. Slaa ahutubia mkutano wa CHADEMA. Asema sasa imekomaa kuongoza nchi

    Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya. Dkt. Slaa...
  8. BARD AI

    Mexico: Wananchi waandamana kupinga Mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi

    JF SUMMARY Maandamano hayo yanafuatia hatua ya Bunge kupitisha Sheria inayopunguza Bajeti ya Mhimili huo, Kufunga Baadhi ya Ofisi pamoja na kupunguza idadi ya Wafanyakazi wake. Rais Andrés Manuel López Obrador ameishutumu Taasisi ya Taifa ya Uchaguzi (INE) kwa kutokuwa na Uzalendo na...
  9. B

    CHADEMA Sumbawanga pigo jingine kwa wale Wengine

    Mwenye macho haambiwi tazama: Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo. Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia. Mungu Ibariki CHADEMA.
  10. D

    MAPENDEKEZO: Katiba Mpya iruhusu Marais Wastaafu kugombea wakitakiwa na wananchi

    Ni pendekezo tu lakini kuna hoja jadilifi ndani yake. Katiba ya sasa inasema, "Rais ataongoza Kwa miaka mitano tu (5). Lakini kama chama chake kitaamua kumpendekeza Kwa mara ya pili basi ataongoza kwa vipindi viwili yaani miaka 10" na huu ndio imekuwa "utamaduni wa CCM". Hata hivyo, kama...
  11. J

    CHADEMA waelewe Katiba Mpya ni ya JMT siyo ya Tanganyika hivyo Zanzibar Wana 50% ya Maamuzi

    Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga. Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi. Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama Kwenye mzani Sawa kwa asilimia za Maamuzi. Mbwembwe zote za Tundu Antipas Lisu mwisho wake Nungwi...
  12. comte

    Kenya seeks divine help to end crippling, ongoing drought

    With the prospect of a sixth consecutive failed rainy season in the east and Horn of Africa, Kenya's president is hoping the heavens will finally open with the help of a national day of mass prayer on Tuesday. William Ruto announced the plans for the country's first ever day of prayer on Sunday...
  13. J

    Tundu Lissu: Mchakato wa Katiba Mpya ni lazima utungiwe Sheria nyingine ile ya Tume ya Warioba haitumiki tena!

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema mchakato wa Katiba Mpya lazima utungiwe Sheria mpya. Lissu amesema sheria iliyounda Tume ya Warioba na Bunge Maalum la Katiba haiwezi kutumika tena, sababu ilishakamilisha majukumu yake. Hivyo, tutachukua baadhi ya mambo mazuri kwenye rasimu ya...
  14. J

    Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

    Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika. Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana. Ukweli Mchungu!
  15. K

    Dkt. Tulia Ackson ndiyo tishio la Katiba Mpya, awe makini!

    Dkt. Tulia Ackson ambaye ni spika wetu ndiyo kwa sasa tishio kubwa sana kwa katiba mpya na mwenendo wa sheria na maendeleo kwa nchi yetu. Huyu spika ambaye aliingizwa baada ya kutetea sana Uraisi wa kifalme kwenye vikao vya katiba kiasi kwamba akapewa ubunge na Rais wetu ambaye alitaka kugeuza...
  16. MIXOLOGIST

    Hakika hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke, maneno ya Dr. Mwaka yaingizwe kwenye katiba mpya

    Wahenga wanasema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hapo juu ni video yenye maneno kuntu kutoka kwa huyu Dr wa mchongo. Maneno haya ni ya hekima kubwa na yanapaswa yakae vifuani kwetu sisi wanaume, yaingizwe kwenye katiba mpya Hatuwezi kubadili Biblia au Misahafu ila hili ndilo neno la uokovu...
  17. Yoda

    Tujifunze makosa ya Kenya katika kuandika katiba mpya yetu

    Kenya pamoja na kuwa na katiba mpya ila inaonekana bado kuna mambo hayakuwekwa sawa katika katiba hiyo. Mambo kadhaa bado hayajaweza kupatiwa ufumbuzi kupitia katiba yao mpya hayo ni pamoja na; 1.Ubadhirifu mkubwa wa pesa za umma, Nchini Kenya pesa za walipakodi bado zinafanyiwa ufisadi...
  18. Farolito

    Luhaga Mpina: Katiba iliyopo ina matobo ndio maana Viongozi kama Waziri wa Fedha wanalichezea Bunge. Viongozi wasiteuliwe bali wafanyiwe Usaili

    Wakuu, Leo tarehe 09.02.2023 Luhaga Mpina akihojiwa katika kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM amesema kwamba dharau anazoonesha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchembe dhidi ya wabunge ni matokea ya matobo ya Katiba ambayo yanatakiwa kushughulikiwa. "Waziri anaulizwa maswali anajibu anavyotaka...
  19. B

    Katiba Mpya joto lazidi kupanda

    Wiki mbili hizi zimekuwa muhimu sana kwetu sote hapa nchini. Tumesikia ya wanaotaka katiba mpya na ya wasiotaka katiba mpya. Wote kwa umahiri kabisa. "Ama Kwa hakika mwenye macho haambiwi tazama." Kwamba asiyetaka katiba mpya ndiye pia mficha mapesa ya dhuluma China? Kwa hiyo ni kusema...
  20. P

    Ni kwa jinsi gani Katiba Mpya inaweza kushusha bei za vyakula?

    Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya. Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata kiongozi mmoja wa upinzani aliewahi kueleza ni kwa jinsi gani jambo hili linawezekana. Tafadhali kama...
Back
Top Bottom