katiba mpya

  1. R

    Katiba Mpya itaondoa wanaume wapiga magoti na watandika kanga wa mfalme

    Hakuna fedhea na utumwa wa fikra kama mwaume mwenye familia kwenda kupiga magoti Kwa kiongozi WA kisiasa wakiamini NI Mungu. Namna Watanzania wanavyomsujudia mwanadamu just Kwa Sababu ana madaraka ina kera zaidi hata ya utumwa. Endapo katiba mpya itaondoa mamlaka makubwa ya kuteua zikabaki...
  2. SankaraBoukaka

    Kilimo bila katiba mpya ni ndoto

    Ajira mpya zimeshindikana kutengenezwa wakati Population ya watu inaongezeka kama utitiri. Serikali imefeli kubuni na kuendeleza mifumo iliyopo ya kiuchumi ili izalishe ajira. Kwa nchi yetu hii, Kiwanda pekee kinachoweza kutoa ajira kwa idadi kubwa ya watu ni KILIMO.. Tumeshindwa kufanya...
  3. J

    Katiba mpya itatuletea matatizo haya 3 makubwa kwa nchi yetu

    Nchi yetu sio ya demokrasia, hili tuliseme wazi bila kudanganya Rais wa nchi hii anaamuliwa na kikao cha kamati kuu ya CCM na wazee, amboa ndio huamua nani akatwe jina na nani apitishwe kwenda kupigiwa kura na wajumbe wa chama Akishapitishwa na wajumbe ndio tayari ameshakuwa rais, sababu...
  4. R

    Joti na Katiba Mpya; Wasanii na uteuzi, kilio cha maslahi

    Joti amebeza mchakato wa katiba mpya kwamba hauna tija; nimejiuliza msanii wa Tanzania anawezaje kuwatukana mashabiki zake Bila aibu? Kwamba Joti anajionaa anafaa kuwa DC? Anaona uchawa unalipa? Na kwamba hapo alipofiko ndo mwisho? Mhe. Rais anataka watu wanaosema ukweli siyo wanafiki; wasanii...
  5. B

    Kuharakisha Katiba Mpya tuunde 'Coalition of the Willing'

    Kupata Katiba mpya haiwezi kuwa lelemama. Tutapata katiba mpya mapema kwa kuidai kupitia chombo ambacho kitaulenga upatikanaji wake kama agenda pekee. Vyama vya siasa wana agenda zao. Watu binafsi nao wana agenda zao pia zinazoweza kuwa zaidi ya hii. Ni vyema vyama siasa, watu binafsi na...
  6. The Sunk Cost Fallacy 2

    Uingereza na Ufaransa wanaandamana kwa ugumu wa maisha, Lissu na CHADEMA changamkieni tenda ya kutengeneza Katiba Mpya kule

    Hello Wadau, Binafsi naunga mkono Katiba Mpya ila siungi mkono Katiba Mpya ya kuondoa wahuni wa CCM na kuleta wahuni wa Chadema,nataka Katiba Mpya ambayo ni takwa la Wananchi na mda ndio utaileta watake au wasitake. Baada ya huo utangulizi, Lisu na Chadema wamekuwa wanawadanganya watu kwamba...
  7. K

    Mambo yafuatayo yananifanya nione hakuna umuhimu wa katiba mpya kwa sasa

    Huu ni mtazamo wangu binafsi juu ya katiba iliyopo na umuhimu wake licha ya upinzani kuipigia kelele. Mtazamo wangu ni kwamba katiba ya JMT ni bora sana na kwa sasa ni baadhi ya vipengele tu vinahitaji kurekebishwa. Yafuatayo ni mambo yanayofanya nione umuhimu wa katiba tuliyanyo: I) Madaraka...
  8. J

    Video: Tundu Lissu atolea ufafanuzi Haki Jinai, Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    ..hii ni interview ya kwanza tangu atue nchini.
  9. B

    Katiba Mpya: Umoja ni Nguvu, tuunganishe nguvu zetu

    Inafahamika kuwa maadui zetu ni walamba asali pekee. Hao ndiyo walio wanufaika wa hali iliyopo. Wengine wakiwamo chawa na hata waliowahi kuwa chawa au kuwa walamba asali, wote ni wahanga tu. Kundi la wasiojitambua halipaswi kuwa mzigo tena kufikia sasa. Tunaotaka katiba mpya Kwa namna yoyote...
  10. J

    Wanasiasa walioshindwa kuboresha Katiba za Vyama vyao watawezaje kupigania Katiba Mpya ya JMT?

    Tumeshuhudia kwa mfano akina Halima Mdee na wenzake Rufaa yao imechukua zaidi ya Mwaka mmoja kuweza kusikilizwa na Baraza Kuu Sasa hii ni Katiba ya namna gani inayominya utoaji wa Haki kwa Wakati? Kiukweli Wanasiasa watavuruga tu mchakato wa Katiba Mpya Jumaa kareem!
  11. K

    Tusione aibu kuiga katiba ya Kenya kwenye mwelekeo wa Katiba Mpya

    Watanzania tunachotaka ni katiba mpya kusaidia nchi. Katiba hii mpya ambayo majadiliano yameanza sio ya vyama vya siasa ni ya Tanzania nzima kwa ujumla. Tusiwe wazito kuchukuwa na kuiga wenzetu wa Kenya kwenye vifungu ambavyo tunajua kabisa vinafanya kazi vizuri. Vifungu hivi ni pamoja 1. Tume...
  12. Kabende Msakila

    CCM yetu kipaumbele ni miradi mikubwa ya maendeleo, Katiba mpya baadae sana

    Wana Jf, salaam! Nianze kwa kukipongeza CCM kwa upendo wake kwa Watanzania lakini pia nikipongeze CDM kwa namna inavyokubali kazi inayofanywa na CCM. Wengi wetu kipaumbele ni Serikali kuongeza kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini. Suala la Katiba mpya lifuate hapo mbeleni hasa miaka...
  13. J

    Lissu: Mazungumzo na Rais yataendelea, lakini Katiba Mpya italetwa na pressure ya wananchi

    Lissu amesisitiza wananchi waweke shinikizo kudai Katiba Mpya. Kwamba Mbowe ataheshimiwa ktk meza ya maridhiano kama itaonekana anaungwa mkono na umma wa Watanzania. https://m.youtube.com/results?sp=mAEA&search_query=Lissu%2C+Mbowe%2C+Heche
  14. K

    Ushauri: Webmaster wekeni katiba mpya tuanze kuijadili

    Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ya sasa. Ili tupate katiba mpya wekeni hapa katiba ya sasa tuweze kujadili mazuri, mabaya na mapendekezo. Najua topic inasema katiba mpya lakini ni katiba ya sasa ili tuweze kujadili katiba mpya
  15. BARD AI

    CHADEMA: Bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, hakuna Uchaguzi Mkuu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesisitiza bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi hakutakuwepo na uchaguzi mkuu nchini. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Musoma leo Jumapili, Januari 22, 2023, Naibu katibu mkuu wa Chadema bara, Benson Kigaila amesema msimamo huo...
  16. Maya Goodlett

    Katiba Mpya Inaitwaje kwa KABILA LAKO

    HAPA KAZI TU NA KAZI IENDELEE HATUTAKI KUFA TUTAMPATAJE!? MCHEZO TUNAUPENDA LAANA ZA KUJIAJIRI WAPO 2 KAMA MILIONI 677... TUTAMPATAJE TUMUANDAE (Katiba Mpya Inaitwaje kwa KABILA LAKO MAANA LABDA IPO SIKU WATU WAKO NDIO WANATAKIWA WAELEWE) Waakie Waakiek Waalagwa (pia: Wasi) Waarusha Waassa...
  17. Poa 2

    Hitaji kubwa la Tanzania ni Katiba Mpya

    Mikutano ya hadhara imeruhusiwa, japo ilizuiwa kinyemela na yule dikteta uchwara. Raisi Samia yupo hapo kwa makusudi mema ya Mungu na kwa mujibu wa katiba japo kifungu hicho cha katiba hakina afya Tena kwa taifa lililo makini. Hatupigi hatua kimaendeleo mpaka Sasa kwa sababu ya katiba mbovu...
  18. B

    Katiba Mpya: Kuelekea Jan 25 tunayo ya kujifunza kutokea Gambia

    Harakati za mapambano ya kujikomboa hazijawahi kuwa rahisi. Harakati hizi zinahitaji uongozi mahiri wenye kuweka maslahi ya taifa mbele dhidi ya maslahi yote binafsi. Ujio wa Mh. Tundu Lissu Jan 25 unapaswa kuonekana nI mbaraka kamili kutokea kwa Mola na kwa hakika na aje na wenzake. Mama...
  19. Fukua

    Rais Samia endelelea kuwatumikia Watanzania kwa uaminifu, pia Katiba Mpya ni muhimu sana

    Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT. Mama, Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema...
  20. Makonde plateu

    CHADEMA mmelewa kahawa na kashata za Ikulu mpaka wimbo wenu wa Katiba Mpya mmeacha kuuimba

    Kuna mwanafalsa mmoja wa kiingereza aliwahi kusema "To be or not to be that is question" hivi ndivyo ambavyo wanachadema tunaposhindwa au ndivyo tunavyoweweseka kuimba Ile nyimbo yetu Pendwa ya katiba mpya kwa sababu tunaona aibu kuendelea kuimba kuhusu katiba mpya baada ya kulewa kashata na...
Back
Top Bottom