katiba

  1. S

    Kama kweli suala la DP World limewagusa basi nguvu kubwa ielekezwe kwenye kudai katiba mpya

    Inakera, inaudhi na inauma sana kuona katiba yetu inawafanya wananchi kuwa wanyonge. Hawana sauti, hawana maamuzi na wala hawawezi kupindua chochote kilichoamuliwa na viongozi (serikali). Chanzo cha upuuzwaji huu wa sauti za wananchi, uvizwaji wa nguvu ya wananchi na viongozi kutoogopa/...
  2. S

    Prof. Shivji apuuzwe, ni kigeugeu. Alisaliti machapisho yake ya serikali tatu wakati wa bunge la katiba

    Prof. Shivji haaminiki tena huwa anatumika na ni kigeugeu hivyo apuuzwe ktk hoja zake anatoa kupinga ubia wa serikali ya Tanzania na DP World kuendesha bandari.. Kama mnakumbuka prof. Shivji ameandika machapisho mengi sana kuhusiana na utata na udhaifu wa muundo wa muungano wetu wa serikali...
  3. Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye Katiba?

    Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye katiba? Nimekuwa nikitatizika sana na usafi wa mitaa yetu. Hakuna jitihada zozote zinazoongelewa kuhusu usafi wa mazingira yetu. Inasikitisha sana kwamba tupo na ngazi za uongozi kutoka kwenye mitaa lakini hakuna utashi wa kuhimiza watu...
  4. Wakati wa Katiba Mpya ni sasa

    Spika wa bunge, msemaji wa serikali na Waziri mkuu wanamjibu nani kuhusiana na hili sakata la bandari kuuzwa? Je wanawajibu wananchi au Wabunge waliuopotasha umma au wanawajibu DP World? Tunahitaji kujua walikosimama wao wakati wakitoa hoja zao. Sina hakika kama wanajua wanachokifanya! kama...
  5. Jaji Mugasha Apewe Maua Yake Kupinga Uvunjifu wa Katiba Ukomo wa CJ, ila Mbona Hili ni Dogo Tuu, Kubwa ni Katiba Yetu Imenajisiwa! Why Wako Kimya?!.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Makala ya leo ni pongezi kwa Jaji Stella Mugasha wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kusimama kidete, kupinga uvunjifu wa katiba uliofanywa na Rais wa JMT, kumuongezea muda wa kuhudumu katika nafasi ya...
  6. M

    Profesa Shivji anasema mkataba wa Dubai/DP World uko kinyume na katiba; Je kusigina katiba sio kosa la uhaini?

    Leo wakati akiongea katika mdahalo uliofanyika UDSM, mhadhiri mwandamizi wa sheria profesa Issa Shivji ameeleza kuwa mkataba wa uendeshaji bandari kati ya Tanzania na Dubai una dosari kutokana na vifungu vilivyotajwa hapo juu kukinzana na matakwa ya kikatiba ya Tanzania. Na akaeleza kesi inaweza...
  7. Wakili Mgongolwa: Katiba inamruhusu Rais kumuongezea muda Jaji Mkuu

    Kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kupitia Clouds FM, Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ameeleza kuwa Rais anayo Mamlaka na hajavunja Katiba kwa kumuongezea muda wa kuhudumu Jaji Mkuu wa Tanzania Msikilize hapa, kisha tujadili nini maoni yako? Pia soma > Profesa Ibrahim...
  8. S

    Hivi ile peremende ya maridhiano na upatikanaji wa katiba mpya bado ipo vinywani mwa wapinzani ama imeyuyuka??

    Huyu rais Samia anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Anajua kucheza na akili za watanzania kweli kweli. Kabla ya kumleta mwarabu alianza kwa kuwaweka sawa wabunge (kama alivyotujuza mbunge wa CDM Aida Kenan). Aliwapeleka Dubai kwa ziara ya "mafunzo". Wakala bata na kupewa cha mfukoni. Suala...
  9. Naitamani "katiba dikteta" kiasi kwamba hata Amiri Jeshi Mkuu hawezi wala kuthubutu kuikanyaga

    Udikteta si mzuri. Lakini demokrasia inayotokana na katiba lege lege nayo ni hatari. Kwa kawaida, dikteta hapingwi kirahisi nchini mwake. Ni ama watu wake wampende, hata kama ni kwa unafiki, au kumwogopa kwa ajili ya usalama wao. Madikteta hawakubali kudharauliwa. Imeshatokea mara nyingi, hasa...
  10. H

    Possi: Dubai ina uwezo wa kuingia mikataba imekasimiwa kwa mujibu wa Article 120 – 123, ya katiba ya Umoja wa Jumuia za Falme za Kiarabu

    Utangulizi: Ni ukweli usiopingika kuwa kulingana na unyeti wa rasilimali bandari kwa taifa na ukizingatia kuwa ni lango kuu la uchumi, na maswala ya ulinzi na usalama. Na zaidi sana kuwa mchakato wa kuridhia mkataba wa aidha kuuzwa (opion ya wapingaji) au kupangishwa (opinion ya wa wasiopinga)...
  11. Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?

    Wanabodi, Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni Mnyamwezi, Kinyamwezi hii inaitwa "funga kalomo", yaani funga mdomo!. Taarifa hii ya TLS ni funga kazi, na...
  12. T

    Kutopandisha walimu madaraja kwa kuwa na mashauri ya kinidhamu ni kukiuka katiba ya Nchi, Ibara ya 13: 6(b)

    Baadhi ya walimu waliositahili kupanda madaraja ya kiutumishi 2023 hawajapandishwa vyeo vyao kwa sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu ni walioko masomoni, walio likizo bila malipo na walio mashtaka katika kamati za kinidhamu katika wilaya mbalimbali kwa makosa mabalimbali. Kutompandisha mwalimu...
  13. Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?

    Wanabodi Nipashe la leo, Kama kawaida yangu kila Jumapili, huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, kuzungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa. Mada hizi huwa zina, swali , na hoja, kisha jibu, utalitoa wewe msomaji mwenywe. Swali la leo ni kutuhusu...
  14. Mwambieni Zitto IGA ni sawa na Katiba ya nchi na HGA ni sawa na sheria ya nchi. Sasa ipi inamtegemea mwenzie?

    Zitto anasema IGA ni sawa na karatasi ya kufungia vitumbua, je anajua uzito wa IGA? Kwamsiojua Intergovernmental Agreement tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI tungeita ni KATIBA YA NCHI. Kisha Host Gorvanment Agreement au Mikataba ya Utekelezaji, tunaweza kuitafsiri kwamfano kwenye NCHI...
  15. T

    Sasa tunaitaka Katiba iwe kwa mchana na ama usiku!

    Tunaitaka katiba itakayoondoa ukiritimba na udikiteta wa viongozi Tunaitaka katiba ambayo itakuwa ni ya wananchi na siyo kuwa ya viongozi Tunataka katiba itakayoondoa udikiteta wa viongozi kupola mali zetu kwa kutumia mamlaka yao Tunataka katiba itayowapa wananchi mamlaka ya kuwawajibisha...
  16. T

    Maswali yatokanayo na katiba! Mambo yasiyo ya muungano huwa ya muungano katika kipindi gani? Au ni ubovu wa katiba?

    Wasalaam Mara nyingi huwa nasikia huko Bungeni na kwa wanasiasa mbalimbali kwamba, Muungano wetu ni wa kipekee, umezifanya nchi hizi mbili kuwa na mambo ambayo hayawezi kuingiliana na yale ambayo yanayoingiliana Kuna yale yanakuwa ya Zanzibari pekee na yale yanakuwa ya Watanganyika pekee...
  17. Napinga mchakato wa kupata katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025, Watanzania tukatae maigizo ya wanasiasa. Imetosha

    Bila kutumia Maneno mengi wote tunajuwa mabilioni ya pesa za walipa kodi yalivyohujumiwa na wanaccm kukwamisha katiba pendekezwa ya tume ya Warioba. Sasa kuna wanasiasa wanadhani tumesahau au sisi ni wajinga, eti wanataka katiba mpya kabla ya uchaguzi wa 2025 halafu bunge hili la DP ndio...
  18. Bajeti ya mchakato wa katiba mpya iko wapi?

    Nimefuatilia hotuba yako ya bajeti ya 2023/24 lakini sikumbuki kusikia bajeti kwa ajili ya mchakato wa katiba mpya, je mchakato huo utafanyika kwa kutumia kifungu gani cha fedha? Wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kuanza kwa mchakato huo ili hatimaye tupate katiba ya wananchi.
  19. Katiba ya Samia

    Katiba ya Warioba ilikwama kwa sababu mbili; Moja: Masharti ambayo utekelezaji yanahitaji mapato mengine. Pili: Masharti ya muungano ambayo CCM isiyoweza vumilia isipokuwa kwenye kuvunja muungano tu. Katiba ya Samia: Wala usipoteze muda wako; yote ya awali ndio yale yale. Ziada ni yeye...
  20. Danadana ya kupatikana Katiba mpya lengo ni kuhalalisha mikataba mibovu

    Baada ya Bunge la CCM kupitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World ya Dubai hakuna tena shaka kuwa adui wa taifa hili ni CCM. Kumbe ile dana dana iliyokuwa ikipigwa kuchelewesha upatikanaji wa Katiba Mpya, ilikuwa kuwezesha Tanzania kuingia laini katiba mikataba ya aina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…