29 Julai 2023
Dar es Salaam, Tanzania
MKUTANO WA KATIBU MKUU WA CCM, KUUTETEA KWA NGUVU MKATABA WA BANDARI
CCM yaanda mkutano uliowakusanya wana CCM kutoka mikoa ya Morogoro, Pwani na Dar es Salaam unaoendelea katika viwanja vya Kawe mjini Dar es Salaam
KISHINDO CCM KANDA YA MASHARIKI
Kama...
Nahisi walikosea namba, message zimekuja kwangu. Hao walioshukuriwa hakuna hata mmoja ninaemjua.
Swali linalofikirisha, ni kwanini atoe shukrani kwa jambo ambalo lilipaswa kuwa halali??
Kushukuru ni kama vile kila mtetezi anafanya msaada.
Kuna meseji zinatembea za magrupu zikiwataka walimu wa jiji la Arusha wale wa serikali kwenda uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho jumamosi kuanzia saa 1:00 asubuhi kwa ajili ya kuhudhuria ziara ya katibu mkuu wa ccm, Ndugu Chongolo.
NB:
Walimu wanatakiwa kujigharamia nauli na chakula katika ziara...
BARAZA la mawaziri la Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe limemteua Dkt. Mhandisi Ladislaus Kyaruzi Leonidas kuwa Katibu Mtendaji wa kwanza wa Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe (SONGWECOM).
Kamisheni ya Pamoja ya Bonde la Mto Songwe inaundwa kwa pamoja na nchi za Tanzania na...
Katibu Tawala wa Wilaya ya Busega, Japhari Kubecha amejitosa kwenye sakata la Bandari na kumuonya Wakili Mwabukusi na kuomba ashughulikiwe hili hapa andiko lake
Jana Jumatatu katika dakika 45 ya mahojiano kuhusu DP World kati ya Naibu Katibu Mkuu Ujenzi na Usafirishaji na Ndugu Mzinga kwa kweli sikumuelewa alichokuwa anaeleza Naibu Katibu Mkuu kuhusu DP World. Hakuwa amejitayarisha na maelezo yake yalikuwa below standard.
Kwa mahojiano yenye umuhimu...
Suala la Mkataba wa uwekezaji, uendelezaji na uendeshaji wa Bandari ya Tanganyika kupitia DP World limeshika kasi ambapo leo Dr. Possy yupo ITV kwenye kipindi cha DK 45. Kwa kweli huyu Dr. amekuwq mstari wa mbele katika kutoa ufafanuzi kwenye media tofauti tofauti lakini kila nikijaribu...
Katibu mkuu wa NATO Bwana Jens Stoltenberg amesema kuchoma Quran hadharani sio kosa ingawa inaweza kua sio jambo la kupendeza.
Bwana Jens Stoltenberg ameyasema hayo wakati akijibu maswali kuhusu matukio yaliyotokea hivi karibuni nchini Sweden ya kuchoma Quran hadharani baada ya mtu mmoja kutoka...
Salaam ndugu zangu,
Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai kiongozi huyo hajawahi kuwa na wadhifa mkubwa ndani ya chama.
Je ukweli ni upi? Tunaombeni muweke jambo...
Habari ndugu zangu,
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Dodoma.
Maajabu ni kwamba tangazo hilo limewataka Watumishi wahudhurie wakiwa na sare iliyoandikwa...
Komredi Daniel Chongolo rasmi amesimikwa awe/kuwa Chifu wa kabila la Wagogo/Wanyambwa huko mkoani Dodoma.
Ikumbukwe, bwana Chongolo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa bado anaendelea na ziara yake mkoani humo.
Picha kwa hisani ya gazeti la Nipashe.
====
Katibu Mkuu wa CCM Daniel...
Siku za karibuni Rais alifanya mabadiliko madogo kwa makatibu wakuu ambapo ndg. Adolf Ndunguru alipelekwa Ofisi ya Rais- TAMISEMI.
Huyu bwana tangia aingie katika ile ofisi alikuta tayari kuna watumishi walishapata uhamisho hasa wale wa kubalishana vituo vya kazi. Jambo la ajabu amezuia...
Siwafahamu kiundani,.lakini nina uhakika vyombo vya dola vinawafahamu vizuri zaidi na ndio maana vikapeleka majina yao kwa Mh. Rais kwa nafasi za Ukuu wa Wilaya.
Sasa kinachoonekana kwa sasa ni kwamba, hawa viongozi wa walimu, wanaandamwa kwa sababu ya kugomea uteuzi wa Mh. Rais!
Kama kweli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama
ifuatavyo:-
1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi;
2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia
masuala ya Siasa kuwa...
Katibu wa Balaza/ Baraza la Maaskofu Wakatoliki Tanzania amesema kupitia viongozi wasiowaaminifu wamewafanya wananchi wa Loliondo waishi maisha magumu kama wakimbizi ndani ya nchi yao, jambo ambalo halipaswi kurudiwa kutendwa na viongozi.
Padre Kitima ameonya huenda mkataba huu wa bandari nao...
Kuuliza sio ujinga.
Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi.
Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana
Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ?
Je ni kwamba alikuwa anawatunzia watu au ni zake ?
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Tawala Guam na baadae kuwa Katibu Mkuu kiongozi...
- AMESAJILI ENEO LA CHAMA KWA JINA LAKE
Mheshimiwa Katibu Mkuu wetu mpendwa Daniel Chongolo, sisi wanachama cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Wazo tunaomba uunde timu maalumu ya kuchunguza ubadhilifu mkubwa au matumizi mabaya ya madaraka ‘Ufisadi’ unaofanywa na Katibu wetu wa CCM Kata ya...
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha Ukuaji wa Uchumi.
Mbalula amsema "Kama baadhi masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa Nchi...