katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Rais Samia ateua Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria

    iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
  2. R

    Katibu wa UVCCM Lulandala ana umri gani? Mbona kama umri umesogea?

    Naona kama Lulandala anaelekea 50yrs ; kwanini kateuliwa kuwa katibu wa UVCCM? Lakini pia kwanini vijana wa CCM wasijichagulie katibu wao? Lini watapevuka kama hata viongozi watapangiwa?
  3. Erythrocyte

    Tunaposema CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa Katibu Mkuu UVCCM ametokea CHADEMA

    Faki Lulandala amekuwa mwanachama na kiongozi wa Chadema kwa miaka mingi tu , mwaka 2014 alipanda hadi ngazi ya mkoa wa Njombe . 2018 aliunga kilichoitwa Juhudi kwa serikali ya Jiwe , ilikuwa aambatane na George Sanga (Sanga alikataa baadaye akapewa kesi ya mauaji na yuko ndani hadi leo)...
  4. Nyanswe Nsame

    Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary Amez

    Katibu UVCCM azuia mkutano wa vijana uliokusudia kumpongeza Rais Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Mwanza Ramadhani Omary amezuia mkutano wa chama hicho wenye lengo la kuipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongizwa na Mheshimiwa Rais Samua Suluhu...
  5. T

    Msaada hints za maswali ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya

    Msaada wadau maswaya ya written interview ya utumishi nafasi ya katibu afya
  6. peno hasegawa

    Karne ya 21 Katibu Mkuu wa CWT alikuwa mwalimu wa Daraja la 3A?

    CWT ni laana!! Walimu wapo darasani wana Masters kiongozi wao mkuu kama Katibu mkuu ni form four grade 3A? Tena anateuliwa kuwa mkuu wa Wilaya akaringa!!
  7. Influenza

    Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo: Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo. Amemteua...
  8. Roving Journalist

    Katibu Mtendaji MCT: Vyombo vya Habari bado vinaendelea kupokea vitisho vya kiutawala

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga, licha mabadiliko ya sheria kadhaa zinzogusa tasinia ya habari nchini lakini amedai kuwa bado zipo changamoto za kisheria ambazo ni kikwazo kwa vyombo vya habari. "Pamoja na mabadiliko tunayoyaona ya sheria kadhaa, bado zipo...
  9. BARD AI

    Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

    Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa. ====== Videos quickly...
  10. GENTAMYCINE

    Kwa hili Katibu Mkuu wa UN yuko sahihi 100%, ila kwa Wazungu hapa ameshawakwaza na asipochukiwa nao sijui..!!

    Africa is underrepresented in the global financial architecture, just as it lacks a permanent seat on the Security Council. The world has changed. Global governance must change with it. We need reforms to make global frameworks truly universal & representative of today's world. Chanzo...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Norah Mzeru Achangia Mifuko 50 ya Saruji, Matofali 500 na Laki Nne Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Morogoro Vijijini

    MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi Mifuko 50 ya Saruji, Tofali 500 za Block na fedha kiasi cha Shilingi...
  12. Suley2019

    Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  13. BARD AI

    Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

    Imbainika kuwa kuwa chanzo cha Rais Samia kutengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni kitendo cha kuonesha kiburi, dharau na kutoa lugha za kejeli kwa mfanyakazi wa Wizara hiyo aliyeenda kwenye Podium wakati akiwa anazungumza na kumpa 'Kinote'. Jambo hilo lilionekana kumkasirisha Katibu...
  14. Notorious thug

    Ally Bananga Katibu uenezi CCM Dar, ni mfano wa Wanasiasa wenye Uelewa mdogo katika Siasa

    Ally Bananga ni mwanasiasa wa hovyo zaidi kwa wakati huu hapa nchini. Baada ya Dk Slaa kukamatwa kwa tuhuma za Uhaini Ally Bananga kupitia akaunti yake ya Instagram alianza kutoa hukumu na kumkashifu sana Dk Slaa ikiwemo kuweka videos zake ambazo kiuhalisia hazikua na maana yoyote kwa wakati...
  15. Notorious thug

    Ally Bananga Katibu Mwenezi CCM Dar adai atamshawishi Freeman Mbowe na wenzake kuhamia CCM

    Wengi tulimfahamu alipokua diwani wa Chadema kata ya Sombetini Arusha mke wake ni mmoja kati ya wale COVID-19 wa Chadema. Ally Bananga(MARIOO WA CCM)
  16. peno hasegawa

    CCM imfanyie utafiti Katibu wake wa wilaya ya Hai huko Kilimanjaro, anadaiwa hajui kuandika matokeo yake siri za chama ziko mitaani

    Chama cha Mapinduzi Taifa au Mkoa ninawaomba mfanye uchunguzi wa kina kama sio utafiti kumwangalia au kumfuatilia Katibu wa CCM Wilaya ya Hai Kilimanjaro., kama kweli hajui kuandika. Kuna kila Dalili mtu huyo hajui kuandika hivyo ili kuandika siri au taarifa za chama anafanyia kazi hizo...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani Achangia Madirisha 15 Ujenzi Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Kahama

    MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI MADIRISHA 15 (MILIONI 4) KUKAMILISHA NYUMBA YA KATIBU WA UWT WILAYA YA KAHAMA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe.Dkt Emmanuel Cherehani amekabidhi Madirisha 15 yenye thamani ya TZS. Milioni 4,162,000/- kukamilisha nyumba ya Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Wilaya...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mzeru atoa milioni 10 kuchangia ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Morogoro

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Mzeru Agosti 11, 2023 amekabidhi kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Morogoro Mjini ikiwa ni sehemu ya ahadi aliyoahidi ya kuchangia ujenzi wa nyumba hiyo. Akikabidhi fedha hizo kwa...
  19. J

    Saidi Yakubu: Serikali inaunga mkono Uni Awards

    Na Eleuteri Mangi, WUSM Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw Saidi Yakubu ametoa tuzo UNI AWARDS na kusisitiza kuwa Serikali inashirikiana na taasisi za kifedha za benki ya CRDB na NBC na wafadhili wengine ndani na nje ya nchi kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa...
  20. Jidu La Mabambasi

    CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
Back
Top Bottom