katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Albert Chalamila "akipikwa vizuri" anafaa kuwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM

    Albert Chalamila akiandaliwa vizuri, anaweza kuwa Katibu wa Uenezi mzuri sana wa CCM. Anahitaji mentorship kumuondolea mambo madogo madogo yanayomkwaza kiuongozi. CCM inaweza kumuweka karibu na magwiji ya Siasa yakaendelea "kumpika", na pia akapata mafunzo ndani na nje ya nchi, hasa katika vyuo...
  2. Victor Mlaki

    Kauli tata kutoka Kwa Katibu wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi

    Miongoni mwa masuala yanayowafanya wafanyakazi kushindwa kuuelewa umuhimu wa vyama vya wafanyakazi ni pamoja na kauli tata za viongozi wa vyama vya wafanyakazi hususani wanapouulizwa maswali yanayowasumbua wafanyakazi wengi. Katibu alipoulizwa kuhusu kikokotoo jibu alilolitoa kwa kweli ni swali...
  3. C

    SoC03 Cheo cha Katibu Tarafa kifutwe

    Cheo cha Katibu Tarafa kifutwe Kama tunavyofahamu kwa mujibu wa Mwongozo wa Uwajibikaji wa Maafisa Tarafa katika Wilaya na Halmashauri za Serikali za Mitaa wa tarehe 18 Desemba, 2003 pamoja na Sheria iliyofanyia marekebisho Sheria za Serikali za Mitaa namba 13 ya mwaka 2006 Majukumu ya...
  4. peno hasegawa

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yu wapi baada ya kusomwa ripoti ya CAG?

    Katibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG. Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi. Anayejua aliko tafadhali!
  5. Annie X6

    Dr. Aliyekuwa Katibu Mkuu Necta asitisha utekelezaji Mtaala Form One 2023

    Sijui anaitwa msonde!? Ambaye ni naibu katibu Mkuu Tamisemi Ameelekeza kistopisha ufundishaji wanafunz wa kidato cha kwanza mwaka huu 2023 sababu kubwa ikiwa ni KKK. Walimu Wakuu wote nchini wanatakiwa kutekeleza order ya mkubwa huyo. Najiuliza hivi mauzauza haya yatakoma lini. Badala ya...
  6. peno hasegawa

    Katibu wa UWT mkoa wa Kilimanjaro jifunze alama za nyakati, punguza kupokea mlungula na warejeshee akina mama nauli walizotumia kwenda Dar

    Niwe muwazi na mkweli. Hakuna wanawake walioteseka kama sisi UWT MKOA WA KILIMANJARO tuliokwenda kwenye kongamano la kumpongeza mama Samia kwenye uwanja wa uhuru Dar tarehe 19.3.2023. Tumepatwa na kila aina ya dhoruba. Tumekopa fedha za nauli za kwenda Dar na kurudi hatujui...
  7. A

    Mgogoro wa wawekezaji na wananchi umepelekea kifo cha Katibu wa CCM Luturo, Muleba

    Siku kadhaa zilizopita, katibu wa CCM Lutoro Muleba ameuaawa kwa kupigwa risasi na walinzi wa ranch za wawekezaji Lutoro mpakani mwa wilaya ya Muleba na Karagwe-Kagera. Hapa chini ni kipande cha video wakati wa mazishi ya huyo kijana. Mbuge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage alionekana...
  8. B

    Naibu katibu mkuu fedha azipongeza TIRA na benki ya CRDB uanzishwaji wa akaunti ya dhamana ya bima

    Dar es Salaam 16 Machi 2023 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na Benki ya CRDB kwa kutekeleza mchakato wa uanzishwaji wa Akaunti ya Dhamana ya Bima (Trust Account). Mafuru ametoa pongezi hizo wakati...
  9. benzemah

    Rais Samia amuapisha Dkt. Charles Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kabla ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mtaturu - Ikungi yatekeleza agizo la Katibu mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwa 100%

    Maji ni Uhai hatimaye Wananchi wa kitongoji cha Songoloji wapata huduma ya Maji baada ya maagizo ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipofanya ziara yake tarehe Februari 28, 2023 na wananchi wa Shina namba 13 walimwelezea kero ya ukosefu wa huduma ya maji ambapo...
  11. W

    Karibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu

    Habari wana JF, Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara nakuomba sana utizame yafuatayo kwa kina. 1. Mapitio ya sera ya Elimu. 2. Mapitio ya mitaala kwa...
  12. HaMachiach

    Je, aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Deus Seif na Mweka Hazina Abubakari Alawi walifanya ajira za Kilaghai?

    Novemba 2017 Aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Alhaji Yahya Bakari Kilo Msulwa alifariki dunia. Kwa Mujibu wa Katiba ya CWT toleo la sita 2014, nafasi ya katibu mkuu ilipaswa kujazwa na Baraza la taifa la chama hicho. Julai 2018 katika ukumbi wa LAPF Dodoma, Deus Seif kwa msaada...
  13. J

    Karibu Singida Katibu Mkuu CCM

    Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Mkoani Singida kuanzia Tarehe 27 Februari, 2023 hadi 4 Machi, 2023. #CCM Imara
  14. Poppy Hatonn

    Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

    Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa. MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane. Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
  15. kyagata

    Katibu itikadi na Uenezi CCM ashiriki kupika

    Vichekesho vya awamu ya 6 vinaendelea.
  16. Ziroseventytwo

    Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo yupo mjini Ifakara. Nashangaa kuona ulinzi ni mkali

    Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama. Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa...
  17. S

    Naibu Katibu Mtendaji NECTA aondolewe mara moja kwenye nafasi hiyo

    Jana matokeo ya CSEE na QT yalitangazwa. Lakini hayakuwa na ranking wala hata kuonesha halmashauri inakopatikana shule husika. 1. Kufanya ranking ni mhimu Kama recognition kwa shule na mwanafunzi binafsi. Hii pia ni motivation. 2. Mtihani wa NECTA ni standard, kwa maana kwamba hatua zote...
  18. Stephano Mgendanyi

    Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Igunga wazindua ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya

    Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na Jumuiya za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea mahadhimisho ya Miaka Arobaini na Sita ya Kuzaliwa kwa...
  19. BARD AI

    Mkuu wa Wilaya na Katibu Tawala wafikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewafikisha Mahakamani Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Ruben Mfune na Katibu Tawala Msaidizi wa Fedha mkoani Kilimanjaro, Juma Masatu kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh51 milioni. Wawili hao walidaiwa...
  20. Ushimen

    Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu

    Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu Naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom