Kufuatia taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Japhet Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya...
Baada ya kukosa thread nzuri ya kusoma,nimeamua kuandika thread yangu.
Kwa hiyo Katibu Mkuu mpya ameshachaguliwa au bado mtutano unaendelea?
Nampongeza Rais Samia kwa jinsi alivyoweza kuleta amani katika nchi.
Naona mabadiliko yanaendelea ndani ya CCM.
Jana nimepita Mererani nimekiona Kijiji...
Kwa uchache Sana,
Hii si Hali ya kawaida mwenyekiti jitathmini kama unafaa kuwatumikia Watanzania au haufai. Kwangu Mimi haufai.
Fikiria tu huyu ni katibu mkuu wa chama kaandamwa na skendo za namna hii Hadi anaamua kuachia ngazi. Vipi kuhusu mawaziri na watendaji wengine wenye mamlaka ya...
Tumepokea barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wetu, Ndugu Daniel Chongolo. Tumeridhia.
Tunafanya uchunguzi na jambo hili linaweza likachukua muda kukamilika, kwa sababu hiyo Naibu Katibu Mkuu (Tanzania Bara) utakaimu hadi hapo taarifa ya uchunguzi itakapokamilika.
(Haya ni maneno ya...
Kwa wale wahenga watanielewa. Kwamba kuna watu walistahili wapotee kabisa ktk siasa za TZ kutokana na tabia zao na hata tuhuma walizonazo. Mmojawapo ni huyu Nchimbi.
Akiwa Umoja wa Vijana, alikuwa mtu hovyo.
Akawa Mkuu wa wilaya akapoa kidogo maana wilaya yenyewe, Bunda, siyo ya mzaha
Akawa...
Barua inayodaiwa kuandikwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, kuhusu kujiuzulu wadhifa huo, ni miongoni mwa mambo yanayojadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama hicho leo.
Katika kikao hicho kinachofanyika Ikulu ya Dar es Salaam, Chongolo ni miongoni mwa...
Emmanuel Nchimbi ni mwanasiasa anayemudu mapambano, anayejua historia ya chama na misingi yake.
Kwa kujenga chama na kuondoa makundi, ni yeye pekee ndiye ana uwezo mkubwa wa kuishika vilivyo nafasi hiyo. Ni fundi wa mikakati, na Siasa za saiti, hata ikibidi Siasa za mapambano.
Namshauri SSH...
Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo.
Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan...
Jacqueline Kainja Andrew, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Ndugu Jokate Urban Mwegelo katika Mkoa wa Tabora Wilaya ya Igunga.
Pamoja na mwaliko aliopewa na Kanisa Katoliki kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kongamano...
Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma
Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO
Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika
Damu ya mtu ni nzito bana.
1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi/ Ufisadi
5. Dhuluma
6. Rushwa
7. Uwongo/ Kudanganya
Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya.
Hapa mama Samia alilamba dume ka karata.
Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion.
Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa.
Katibu Mkuu changamka!
====
Pia soma: Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo...
Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM.
Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri.
Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria.
Mpina Waziri Mkuu
Alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.
GAME OVER.
📌📌 KISHINDO CHA MAKONDA KATORO NA BUSERESERE - GEITA
Maelfu ya Wananchi wa Katoro na Buseresere Wamejitokeza kwa Wingi Kumpokea Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Paul Makonda wakati akipita na Msafara wake akitokea Chato Kuelekea Geita Mjini Kwenye Mkutano wa Hadhara Leo Tarehe 11...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
CCm iwe macho na makini sana na Katibu wake wa CCM Wilaya ya Hai. Huyu Katibu anakaa ofisini kila siku jumapili hadi jumamosi.
Cha ajabu mchana anahudumia Wanachama wa CCM ikifika usiku anahudumia wanachama wa chama fulani cha upinzani ndani ya Ofisi ya CCM.
Cha kushangaza zaidi leo jumapili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.