katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  2. S

    Katika jambo la ovyo na la aibu amefanya mwenyekiti wa CCM ni kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wa CCM

    Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi? Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa...
  3. Roving Journalist

    Katibu wa ADC: Kauli ya Paul Makonda inapishana na msimamo wa Rais Samia

    Katibu Mkuu wa ADC Taifa, Doyo Hassan Doyo amesema kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC – Itikani na Uenezi wa CCM, Paul Makonda kuwa vyama vya Upinzani Nchini havipo ni sawa na kupinga maelekezo ya Rais Samia Suluhu kuhusu maridhiano ya kisiasa. Doyo ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa chama...
  4. K

    Baada ya Dkt. Salim, Dkt.Tulia atairudisha nchi katika unguli wa diplomasia ya kimataifa. Tumuombee, anaweza kuwa Katibu mkuu ajaye wa UN

    Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa. Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU ni jasiri na mpambanaji na historia yake inajieleza vema. Kwa ufupi ni mwanamke wa shoka na yuko...
  5. Nsanzagee

    Kipimo cha ujinga wa wenye chuki dhidi ya Paul Makonda ni kutokunywa sumu mfe!

    Watu ukishawajua bhana, haikusumbui! Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa! Mtavumilia hadi lini enyi wanafiki, wenye wivu, kijicho, wasengenyaji na wapiga majungu dhidi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar na sasa ni katibu mwenezi wa chama kubwa kabisa la CCM kutokunywa sumu...
  6. Influenza

    Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

    Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale...
  7. M

    Katibu Mkuu UN: HAMAS wana haki ya kuwapiga Israel

    Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
  8. Peter Dafi

    Mapokezi ya Mwenezi Makonda ni Alhamisi 26/10/2023 saa 3 asubuhi, Lumumba

    MAPOKEZI YA PAUL C. MAKONDA KULISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA ALHAMISI. Siku ya Alhamisi 26/10/2023 Saa 03:00 Asubuhi, Katibu mwenezi wa Taifa Ndugu Paul C. Makonda anatarajiwa kupokelewa Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba, Mkoani Dar es Salaam. Viongozi, Wanachama wa CCM...
  9. Webabu

    Emir wa Qattar asema Israel isipewe leseni ya kuendelea kuua. Israel yamtaka katibu mkuu UN ajiuzulu kwa kuwatetea Wapalestina wanaoangamizwa

    Kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya Hamas nchini Israel amiri wa Qattar ameitahadharisha jumuiya ya kimataifa kuwa isiendelee kuiacha Israel iuwe watu kama inavyopenda huko Gaza. Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani aliyasema hayo mapema leo alipokuwa akifungua kikao cha baraza la shura la nchi...
  10. J

    Katibu wa TEC: Maaskofu wanahitaji kuisoma mikataba iliyosainiwa, walipoitwa hawakuambiwa kulikuwa na nini

    Katibu wa TEC Padre Dr. Kitima amesema Maaskofu wanahitaji kuusoma mkataba, walikuwepo watatu na walipoitwa hawakuambiwa kuna nini ila walichosikia ni kuwa Maoni ya Wananchi yamezingatiwa. Maaskofu walikuwa wanawasemea Wananchi na "Walichosikia" maoni ya Wananchi yamezingatiwa, amesema. Naye...
  11. Boss la DP World

    Katibu Mwenezi anapaswa kuwa na Elimu gani?

    Kwa wanaofahamu, katibu wa itikani na uenezi wa CCM anapaswa kuwa na kiwango gani cha elimu? Je, mtu mwenye tuhuma za kufoji vyeti anaweza kushika nafasi hiyo?
  12. Erythrocyte

    Je, Katibu Mwenezi mpya wa CCM atatokea kwa wahamiaji? Halima Mdee na Nusrat Hanje watajwa

    Upo uvumi kwamba Mrithi wa Sophia Mjema huenda akawa miongoni mwa wale Wabunge wasio na Chama ambao waliapishwa na Ndugai kwenye Gereji ya Bunge. Halima Mdee na Nusrat Hanje wanatajwa kujaza nafasi hiyo (tetesi). Hutakiwi kupuuza jambo hili , kwa vile ni dhahiri kwamba CCM imeishiwa watu, ndio...
  13. The Burning Spear

    Nani katibu mwenezi ajaye baada ya Mjema kutumbuliwa

    Makonda is loading........
  14. peno hasegawa

    Mwalimu Maganga aliyekataa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu alisharipoti kazini?

    Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
  15. peno hasegawa

    Katibu mkuu wa CCM tunaomba utembelee Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, vijiji vyote Tangu uhuru havijawahi kupata maji safi na salama

    Kwa masikitiko makubwa na hizi ni kubwa, ninaomba kumjulisha Katibu Mkuu wa CCM kuwa, Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, mkoa wa mbeya. Haina maji safi na salama Tangu Tanzania upate uhuru hadi leo. Kata ya Matundasi ina vitongoji vifuatavyo:- Itumbi Kisimani Makatang'ombe Matondo...
  16. Erythrocyte

    Huyu hapa ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Je huyu naye ni kijana?

    Nape Nnauye na Hamad Masauni waliwahi kuondolewa UVCCM kwa tuhuma za kufoji umri , kwamba kwa sheria zinazosimamia Umoja huo wa vijana wa ccm zinamtaka kiongozi wa Umoja huo kutozidisha umri wa miaka 30 . Sasa hapa pichani ni Mh Faki , mnavyomuangalia hapa mtu huyu ni wa miaka 25 au 28 kweli ...
  17. Baraka Mina

    Jokate Mwegelo ateuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Katika kikao...
  18. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ntate Katika Mapokezi ya Katibu Mkuu UWT Taifa, Jokate Mwegelo

    Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) kutoka Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 04 Oktoba, 2023 ameshiriki katika Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Jokate Mwegelo yaliyofanyika katika Ofisi za CCM Mkoa wa Dar es...
  19. K

    Kagera: Katibu wa Mbunge Jimbo la Muleba Kusini atiwa hatiani kwa kujipatia milioni 60 fedha za mfuko wa vijana

    KUTOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MULEBA, MKOANI KAGERA Leo tarehe 3/10/2023 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 91/2023 Jamhuri dhidi ya Adilelius Vedasto Apolinary mwenyekiti wa kikundi cha ujasiliamali cha Umoja wa Vijana Youth Fund cha...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda

    Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda. MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi amekabidhi zaidi ya Milioni 2 kwa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Mpanda kwa ajili ya kukamilisha Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa...
Back
Top Bottom