Katibu Mkuu wa Chama cha Netball nchini Tanzania , Rose Mkisi amejiuzulu wadhifa huo kwa madai kwamba serikali imekitelekeza Chama hicho na Timu zake , hawaungwi mkono wala hawasaidiwi chochote .
Timu za Netball haziwezi kuendeshwa kwa hela za mfukoni za viongozi wake wakati Wizara ya michezo...
UTEUZI: Rais Samia Sululu Hassan, amemteua Dkt. James P. Mataragio, kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini
Dkt. Mataragio anachukua nafasi ya Athumani Selemani Mbuttuka ambaye Uteuzi wake Umetenguliwa na atapangiwa kazi nyingine
Kabla ya Uteuzi huu, Dkt. Mataragio aliwahi kuwa...
Inawezekana wengi hawana habari ya kinachoendelea chama cha walimu, ila kwa habari zilizotufikia ni kwamba mgogoro unaoendelea ndani ya chama cha walimu umechukua sura nyingine mara baada ya katibu mkuu wa CWT kukamatwa hapo jana 16 Februari 2024. Punde tu baada ya kukamatwa shirika la kimataifa...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amewashauri Wanawake kujiimarisha kiuchumi ili kuwa na maamuzi katika Familia huku akisema Wanawake wakiwa na fedha itakuwa ngumu kuachwa na Wanaume zao na hata kama Wanaume zao wakiwa na michepuko ila hawatowaacha wa njia kuu wenye pesa...
Dr. Nchimbi alikuwa mfuasi kindakindaki wa Lowasa na angeweza kuwa Waziri Mkuu. Alipigwa Majungu na kukataliwa kisa tu anamkubali Lowasa. Wakina Kikwete walimchukia Nchimbi wakimwona kama si mzalendo wakiamini adui yao lazima awe adui yako
Maisha yakazunguka mwisho nchimbi anateuliwa kuwa...
Niite jina lolote, lakini mimi ni mojawapo ya watu ambao huwezi hata kabisa kunishawishi kwamba hii nguvu na mbwembwe ambazo Makonda amekuwa akizionyesha zinatokana na kuwa kwake na cheo cha katibu mwenezi wa CCM. Tusidanganyane hapa.
Makonda sio katibu mwenezi wa kwanza CCM, na wamekuwapo...
Mkazi wa Muleba mkoani Kagera, Abdulmalick Yahya (42) ameuawa kwa kushambuliwa na wananchi, baada ya kuonekana akimshambulia kwa panga Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Kagera, Hamza Zacharia (43).
Kutokana na tukio hilo, Zacharia anauguza majeraha katika Hospitali ya...
Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni.
Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu.
Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani...
Nifikie kusema wazi na bila kificho kuwa, Katibu wa CCM wilaya ya Hai, ni Mlaghai.
Amechukua nafasi aliyopewa kuwarubuni wanaccm kuwa nitafanyia hiki nitakufanyia kile
Matokeo yake anapokea fedha za wanaccm na hawasaidii chochote na hana uwezo wa kuwasaidia.
Kwenye hizi chaguzi za serikali za...
Shauri la Uhujumu Uchumi namba 2015/2024- Jamhuri dhidi ya Bw. BONIFACE YOHANA NKAKATISI- Katibu Mkuu Taifa wa CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VIWANDA, BIASHARA-TAASISI ZA FEDHA, HUDUMA NA USHAURI (TUICO) imefunguliwa leo Januari 31, 2024 mbele ya Mh. Bittony Mwakisu (SRM) katika Mahakama ya wilaya...
Tumeona namna viongozi wa CCM waivyotofautiana kwenye majukwaa kuhusu maandamano. Finally Chadema wamefanikiwa lengo lao na hivyo yawezekana kabisa kamati Kuu ya chadema ina mikakati mingi isiyo wazi katika kutekeleza siasa na viongozi wake wanasomana.
Ukija CCM utaona Mkuu wa Mkoa,, Katibu...
Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi!
Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
Kuna mambo kama tutayanyamazia kwa kuogopa kudhurika hata shetani atatushangaa , Hivi ni unyama gani ambao Makonda hakuwafanyia Chadema alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM ?
Ni utekaji upi na uvamizi upi mpya ataufanya leo kutukomesha ambao hakufanya alipokuwa analindwa na Jiwe kwa kubebwa na...
Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina la katibu mkuu linaweza likawa na ushawishi kuliko jina la makamu mwenyekiti bara Ndugu Kinana...
Mbunge Saashisha Mafuwe Amlilia Katibu wake, Mwal. Benson Lema
Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Hai Mwl. Benson Lema azikwa kijijini kwao Nronga – Machame.
Mamia ya waombolezaji wakiongozwa na mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe wameshiriki katika ibada ya maziko ya aliyekuwa katibu...
Kuna vitu vinafanya watu waone hayamambo kama comedy inaendelea
mh katibu tunaomba huyu mwijaku achaneni nae kwenye timuyako ya hamasaaa
yaani uwepo wakee wananchi wa.eapa hata 500 hatutoi
kuna taarifaa wamehojiwa anasisitiza anahitaji hataa 1000 ya kila mtanzania
yaani uwepooo wake tuhuko...
Mzee Baraka - CCM IMESALITI, NIA NA SABABU ZA MAPINDUZI MATUKUFU YA 1964
https://m.youtube.com/watch?v=habiWXzPxFM
Mzee Baraka Shamte mwenye umri wa miaka 94 aliye na afya njema, katika mahojiano exclusive na Jambo TV akikumbuka mapinduzi matukufu na uongozi wa Mzee Abeid Amani Karume wa...
CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko.
Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi...
1. Katibu Mkuu (Afisa Mtendaji Mkuu/CEO) ndie atakayeratibu zoezi la kupata wagombea nchi nzima.
2. Apatikane Kiongozi Makin, mtulivu, Msomi na mwenye uzoefu katika Siasa na uongozi.
NB: Akitokea Zanzibar (sehemu ya Muungano) sio dhambi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.