katuni

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi: Tume ya uchaguzi baada ya kupokea pingamizi dhidi ya wagombea hao, imewataarifu wawekewa pingamizi mapema iwezekanavyo na wahusika wamewasilisha utetezi wao. Pingamizi dhidi ya mgombea wa CUF kwamba hakurudisha fomu kwa mujibu wa masharti yaliwekwa na sheria, tume baada...
  2. JamiiForums Tanzania Gene Deitch: Mvumbuzi wa katuni za Tom and Jerry aliyekufa na utajiri wa kutisha

    Na Hash Power Kuna msemo mmoja kwamba ukipenda kazi unayoifanya, lazima ufanikiwe maishani mwako! Gene Deitch, ni miongoni mwa mifano inayoishi ya jinsi kujituma, kupenda unachokifanya na kuelekeza nguvu zako kwenye hicho kitu, kunavyoweza kukutoa maishani. Yawezekana jina la Eugene Merril...
  3. JamiiForums Tanzania Katuni Hii Inafikirisha Sana, ina Ujumbe Mzito

    Jionee mwenyewe.
  4. JamiiForums Tanzania Tanzanian made clean animations

    Hello wana Tech wote out there!! Below is a 2D animation i've been working with for sometime! Lakini I RAN INTO MAJOR PROBLEM, software ilicrush violently nlipokua na save project!! The whole project is now destroyed, nimejaribu my best ku recover na nimepata most of it ila hii scene nimepata ni...
  5. N

    JamiiForums Tanzania CARTOON: Hakika nchi imefika mahali pazuri mno. Katuni mpya ya Gado imemaliza kila kitu. Magufuli for Life

    Kama una nyongeza ongezea mwenyewe.
  6. JamiiForums Tanzania Vitabu vilivyoandikwa na Waandishi wa Tanzania

    Waandishi wa Kitanzania na vitabu vyao Vitabu vya Watoto Muandishi Jina la kitabu W. Mkufya Androko na Simba Ziraili na Zirani Richard Mabala Mabala the Farmer Hawa the Bus Driver Elieshi Lema Safari ya Prospa Mwendo Parched Earth Nyamanza Ndege wa Amani Parched Earth: A Love...
  7. JamiiForums Tanzania Je, nikichora katuni ya kiongozi mmoja duniani akiweka kipaza sauti ( Microphone ) Masikioni huku anaongea na simu nitaitwa Polisi?

    Moja ya Kazi yangu nyingine ni ya ‘ Ukomedi ‘ lakini ambao unawasilisha jambo fulani mtambuka ( lililotokea punde ) nikiwa na nia ya Kuwaburudisha Wasomaji wangu lakini pia Kuwaonyesha Wahusika kwamba walikosea ili Siku zingine wasirejee hilo Kosa na mwisho ni kutoa Elimu kwa Watawala / Viongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Kingo cartoon special thread

    By; James Gayo!
  9. JamiiForums Tanzania Fikra za Katuni, Siasa za Siasa nchini!

    Fikiria nje ya Box na Wachora Vibonzo Mbalimbali.
  10. JamiiForums Tanzania Mchora Katuni Gado Buana...ha ha ha!

    'GADO' Godfrey Mwampembwa ni Mchora katuni mwingine ambaye Namkubali sana na sanaa yake ya Uhakika na Kufikirisha. Kwa kazi zake zaidi cheki hapa Tovuti ya Gado Toons
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…