kazi uarabuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mabinti wanafanya kazi uarabuni wanateseka hawana msaada Ubalozi wako kimya!!

    Mabinti zetu waliopelekwa kufanya kazi uarabuni kutokea Tanzania wanasoma huko uarabuni baada ya kushindwa kuvumilia unyanyasaji wanaofanyiwa na waajiri wao huko Oman. Inasemekana wazi Hana hao wanateseka sana hata chakula kwao ni shida na Ubalozi watu haw awasaidie chochote picha I ni wake ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mabinti huwa hawakomi kwenda kufanya kazi uarabuni pamoja na mateso yote?

    Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
  3. JamiiForums Tanzania Miriam Ndayishimie: Nilianza kunuka kutokana na vidonda vya majeraha ya kupigwa na muajiri wangu

    Na Dinna Gahamanyi BBC Swahili Safari ya Miriam Ndayishimie ya kuelekea Saudi Arabia ilikuwa imejaa matumaini ya kuepukana na umasikini aliouacha nyumbani. Ilikuwa ni safari iliyojaa matumaini ya kutafuta riziki na kubadilisha maisha, lakini iligeuka kuwa dhiki na makovu yasiyoweza kufutika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…