kebbys hotel

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Old school members wa JF, karibuni tukumbukane kwenye uzi huu. Gathering nights @leo tuko hapa and Kebbys Hotel

    Madame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Baada ya Mikocheni sasa Wachina wanatua Mwenge. Kebbys Hotel pale Bamaga nayo imetwaliwa na Wachina!

    Wakuu. Hivi mnaikumbuka ile Kebbys Hotel pale Bamaga, ambayo inaangaliana na Taasisi ya Elimu karibu na TBC? Kwa wale wajanja wa hili jiji, hiyo Kebbys Hotel ilikuwa ni bonge moja la meeting point kipindi hicho. Sijui nini kimetokea hapa katikati naona sasa hivi na yenyewe imebadilishwa jina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…