Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Madame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
NimeshafikaMadame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
Paloma na Lara 1 wakiwepo nishtueMadame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
Huyu ndgu yake Mshana Jr sijui yuko wapi.
Nzuri kabisa. Karibu pande hiziHabari ya Arusha
kuwa Old school mwisho mwaka gani? umeanza lini kunywa mkuu?Niko katika kilabu ya mbege hapa. Nawaita Harmful, Smooth Criminal, Al-mukheef, Mbaga Jr, Monetary doctor, Dr am 4 real PhD, Mpaji Mungu, Red black, min -me, Busu la Kenge na wengine wengi.
Nimeanza kunywa nikiwa darasa la kwanza. Tangu babu yangu Mdinyakobe Kimario anionjeshe wala sikufikiria tena kuiacha.kuwa Old school mwisho mwaka gani? umeanza lini kunywa mkuu?
Inasikitisha sana mkuuNiko katika kilabu ya mbege hapa. Nawaita Harmful, Smooth Criminal, Al-mukheef, Mbaga Jr, Monetary doctor, Dr am 4 real PhD, Mpaji Mungu, Red black, min -me, Busu la Kenge na wengine wengi.