secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Pia, inaliza na kusagisha meno.Inasikitisha sana mkuu
Pia, inaliza na kusagisha meno.Inasikitisha sana mkuu
Ooooh kumbe!Huyu mtu sijui kapotelea wapi.. alikuwa mitaa sana ya serena hotel zamani movenipick kama sikosei.. na alikuwa muandishi mzuri sana
alikuwa ni muanidishi, na pia kuna gazeti alikuwa ana post makala zake za uandishi na alikuwa akifanya kazi pale movenpick hotel.. Miaka mingi sana imepitaOoooh kumbe!
Sijui yuko wapi now.
Pia alikuwaga na topic nzuri sana.
Mimi ni shule mpya sio ya zamaniNiko katika kilabu ya mbege hapa. Nawaita Harmful, Smooth Criminal, Al-mukheef, Mbaga Jr, Monetary doctor, Dr am 4 real PhD, Mpaji Mungu, Red black, min -me, Busu la Kenge na wengine wengi.
Umetusahau na sisi na ndugu zetu wengineMadame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
Mbamizwa ndege nimelia machzi ya frahaNiko katika kilabu ya mbege hapa. Nawaita Harmful, Smooth Criminal, Al-mukheef, Mbaga Jr, Monetary doctor, Dr am 4 real PhD, Mpaji Mungu, Red black, min -me, Busu la Kenge na wengine wengi.
Na sisi tuliojiunga jf ndani ya miaka kama 7 hivi inabidi tufanye meeting yetu. Kila siku wakongwe wakongwe wakongwe. Utafikiri sisi hatuna mchango wowote 😀😀Na sisi new member tunaruhusiwa kujumuika na nyie!
Niko katika kilabu ya mbege hapa. Nawaita Harmful, Smooth Criminal, Al-mukheef, Mbaga Jr, Monetary doctor, Dr am 4 real PhD, Mpaji Mungu, Red black, min -me, Busu la Kenge na wengine wengi.