Kuna watu tayari wana imani kubwa juu ya awamu ya 6, lakini tujiulize je anatumia katiba ipi? Ile ile au amekuja na yake? Basi kaa ukijua mabadiliko ni machache sana.
Binafsi nachokiona kwa Samia ni ubinadamu, utu na usawa, kikanda, kieneo na kidini, haya mambo tuliyakosa sana kwa mtangulizi...