Wananodi,
Baada ya Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dr. Bashiru Ali Kakurwa kutoa kauli hii,
CCM, kwachafuka, wengi wamemjia juu kama moto wa kifuu, kwa kumshukia kama mwewe, huku wengine wakimbeza, kumkashifu, kumkejeli na hata kumtukana!.
Huu ni ushauri wangu wa bure kwake, "Ushauri wa Bure kwa...