kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Mwijaku wa Kenya asema yeye sio chawa tena bali ni Balozi wa Rais Samia. Uchawa unaenda kuwa anguko la Samia!

    Wakuu, Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM. Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka linakuwa out of hand namna hii? Anayekushauri anakupotosha, hawa machawa ndio watakuja kutumika dhidi...
  2. F

    SADC yaiandikia barua Jumuiya ya ECOWAS kumuunga mkono Mgombea wa Madagascar na sio wa Kenya (Raila).

    Naona Raila hana bahati. SADC yamruka na kumuunga mkono mgombea kutoka Madagascar na imeiomba jumuiya Africa Magharibi kufanya hivyo pia.
  3. Nyani Ngabu

    Kenya kuna uhaba wa kondomu kisa USAID kusitisha misaada!

    Waafrika tuna ujuha wa ajabu sana. Yaani kumbe hata hiyo mipira tunasaidiwa.
  4. K

    Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania iige mfano wa Kenya

    Nchi ya Tanzania inatakiwa iige utaratibu wa Tume Huru ya Kenya. Kupata Mwenyekiti na Makamishna wa Uchaguzi wanatakiwa wapatikane kwa njia ya haki. Mfano wiki hii kule Kenya wametangaza nafasi ya Mwenyekiti na Makamishna wa Tume Huru ya Kenya na sharti ni kuwa anayetaka nafasi hizo ni lazima...
  5. chiembe

    Jesca Magufuli amemtembelea Odinga ili kumtakia heri katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)

    Sasa rasmi familia ya JPM itadhibiti siasa za Geita na Chato kwa miaka kadhaa ijayo. Nguli wa siasa za Afrika Mashariki kaweka mkono wake.
  6. Kidagaa kimemwozea

    Media za Tanzania zijifunze kutoka Kenya

    Kama umekuwa mfuatiliaji mzuri wa maudhui kutoka media mbalimbali utakubaliana nami kuwa media nyingi za Tanzania zimekuwa za kikasuku na burudani kuliko kazi nyingine za media nawashauri medias, wadau wa media na watangazaji kujifunza kutoka kwa ndugu zetu kenya, kuazia mpangilio wa vipindi...
  7. F

    Kuhusu His majesty Agha Khan: Magazeti ya Kenya na TV huwa hazisemi ukweli

    RIP HM Aga Khan, Nimeshangazwa sana na magazeti ya Kenya walivyosema kuhusu historia, They didn't mention that the HM aga Khan IV alitawazwa akiwa Dar es Salaam wakati baba yake alivyofariki. Lakini magazeti ya Kenya yakiwamo Mwananchi hayasemi hivyo ila main media stream ya dunia nzima...
  8. Mindyou

    Kiongozi wa chama Thirdway Alliance asema Kenya inaweza kujitegemea bila misaada ya Marekani. Asema shida ni kubwa ufisadi na ubadhirifu

    Kiongozi wa chama cha Thirdway Alliance, Ekuru Aukot, amesema kuwa Kenya inaweza kujitegemea bila msaada kutoka Shirika la Usaidizi la Marekani (USAID) tatizo kubwa limekuwa ni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma Aukot alisema kuwa Kenya inapata fedha nyingi lakini nchi hiyo haina pesa...
  9. Marie Antoinette

    Kagame hafahamu kama wanajeshi wa Rwanda wako nchini DRC

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo yanaendelea. Sehemu kubwa ya Jumuiya ya Kimataifa inaamini kwamba Rwanda inaunga mkono waasi wa...
  10. Mr Chromium

    Kwanini Kagame hawezi kuongoza nchi yenye makabila tofauti kama kenya, Uganda au Tanzania

    Huyu jamaa uongozi wake umejengwa kwa misingi ya Genocide. Bila Genocide hana cha kusimamia. Kwa rwanda amejibrand kama ni mtu aliyezuia Genocide. Kwa nchi ambazo zina makabila mengi huwezi kutoboa kuwaongoza watu miaka 30 kila leo uwakumbushe mauaji ya kimbari!! Watu awawezi kukuelewa lazima...
  11. Father of All

    Kenya, Tanzania, na Uganda zitwaeni Burundi, DRC, na Rwanda ili kuleta amani na maendeleo

    Tokana na chokochoko, migongano, migogoro, vita, na wizi nchini DRC, nashauri mataifa tajwa hapo juu yatie buti kwenye nchi hizo na kuzitwaa ili kuunda taifa moja kubwa na tajiri haraka. Tukizitwaa, DRC itasaidia kutoa ardhi kwa viinchi visivyo na ardhi ya kutosha kama Burundi, Rwanda, na...
  12. M

    Jopo la kamati ya uteuzi wa Tume ya uchaguzi na Mipaka ya Kenya IEBC waapishwa

    Tujiulize wa jumbe wa Tume yetu ya Uchaguzi wanapatikana vipi? Wenzetu wapo mbali sana.
  13. Technophilic Pool

    Ivi wakikuyu au wabantu wa kenya wanaoa wasomali??

    Nauliza hivi kwasababu wagumu sana kubadilika yaan wasomali ni zaidi ya masai
  14. sanalii

    Ilikua ni makosa kuipanua EAC nje ya Tanzania , Kenya na Uganda.

    Matokeo yake unaunganisha nchi ambazo hazina "things in common" au zenye conflicts kabisa. moja ya kirusi kikubwa kwenye huu umoja ni Rwanda. Rwanda hakutakiwa kabisa kuingia kwenye huu muungano mana si muungwana kabisa. hatoseki na alichonacho. Kama ningekua na maamuzi, ningeitoa Tanania...
  15. Roving Journalist

    Waziri Silaa: Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro kitachochea shughuli za kiuchumi Tanzania na Kenya

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa uwepo wa Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro, kinachounganisha Tanzania na nchi ya Kenya, kutachochea shughuli za kiuchumi kati ya nchi hizo mbili pamoja na nchi nyingine za...
  16. L

    Huawei yazindua mradi wa uhifadhi wa eneo lililohifadhiwa la baharini nchini Kenya

    Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili. Katika kukabiliana na mahitaji yanayokua ya kulinda mazingira haya ya asili na kuratibu juhudi za...
  17. kagoshima

    Mahakama Kuu ya Kenya bado imemkalia kooni IGP afike mahakamani ahojiwe Kuhusu utekaji ama ahukimiwe

    Huko Kenya Hali si Hali kwa IGP. Mahakama inataka afike mahakamani akaeleze waliko raia wa Kenya waliotekwa na vinavyodaiwa kuwa vyombo vya usalama. Inaonekana amekua akikwepa kufika mahakamani. Mahakama imempa onyo la mwisho. Afike mahakamani au ahukimiwe
  18. S

    Kenya yageukia Falme za Kiarabu kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa

    Kenya imeanza mazungumzo na Umoja wa falme za kiarabu ( UAE) kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ( SGR). Kenya imeamua kuigeukia UAE baada ya China iliyokuwa ikitoa fedha kwa ajili ya mradi huo kuamua kujitoa. Ujenzi wa reli ya kisasa inayokusudiwa kuunganisha...
  19. GENTAMYCINE

    CAF wasifiche kuwa waliosababisha Michuano ya CHAN kusogezwa mbele kwa Kutokamilisha Miundombinu yao ni nchi ya Kenya

    Niwalaumu mno CAF kwani kama Kenya (ambao nina uhakika ndiyo wamechelewa kuwa na Miundombinu inayotakiwa kwa Mashindano hayo ya CHAN) bado kwa kuokoa muda na kutoharibu Ratiba za Mataifa mengine (kama Tanzania na Uchaguzi Mkuu mwaka huu) wangeweza kuwapa Rwanda nafasi hiyo kwani tayari Rwanda...
  20. Pdidy

    Mtoto wa waziri wa utimishi kenya atoweka baada ya mzazi wake kushutumu usalama wa kenya kushiriki utowekaji wa wananchi

    Huku kwetu tunaita wasiojulikana Huko Kenya Leo waziri WA UtuMISHI KENYA amefika polisi kutoka malalamiko ya mwanae kutoweka pasipojulikana Akiongea kwa huzuni amesema. Wiki iliyopita alitoa malalamiko kwa usalama WA taifa KUSHIRIKI kutoweka kwa wananchi kenya Na amesema hatojiuxulu kwa...
Back
Top Bottom