kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Pdidy

    WAPARE WAOMBA URAIA KENYA WATAKA KUTAMBULIWA RASMI

    Waparee mpoooo Jumuiya ya waparee waishiyo Kenya wameomba KUTAMBULIWA RASMI. Kama wakenya na wachangiaji WA uchumi WA Kenya Wakiongea MBELE ya makamu WA RAISI wamesema wanaomba kupitia gazeti rasmi la serikali watambulike kama wakenya BAADA ya maambi hayoo MH makamu WA rahisi amewahakikishia...
  2. Pdidy

    KAMISHNA ;ZILE GARI ZA KUTOKA KENYA ..UGANDA CHUNGUZENI PALE WANAPOKANYAGIA...KWENYE KORIDOO HATAREE....

    Hili zoezi gumu sana ingawa KAMISHNA wetu anajitahidi kupambana naloooooooo MH KAMISHNA WA Madawa ya kulevyaaaaaa KUNA haya mabasi yanatokea Kenya na ugandaaaa Fanyaaaa showe wiki nzimaaa Kwenye koridor wanapokanyagia abiria ukiona screw PEMBEN fungueni toeni zile bati mwone wanachowekaa N...
  3. chiembe

    Kama Kenya inatunza na kufadhili watu qanaotukana viongozi wa Uganda, Tanzania, Rwanda na Burundi, hivi hakuna namna na sisi tutafanya jambo dhidi yao

    Naona Kenya imejigeuza jukwaa la kutukania viongozi wa nchi hapo juu, hakuna namna tutashughulika na tabia hiyo?
  4. Tlaatlaah

    Activist Mtanzania aliedai kutekwa Kenya ni kama vile alijiteka mwenyewe tu ili kuzichonganisha na kuharibu uhusiano wa serikali za Kenya na Tanzania

    Maelezo yake ni dhahiri ya kupikwa, hayana uhalisia hata kidogo. Script haikuandaliwa vizuri. Kwakua mwanaharakati huyo amekua akipuuzwa kwa muda mrefu katika masuala mbalimbali anayojaribu kuyaibua kwa manufaa yake binafsi na nia zake ovu, ameona kutumia njia hiyo ya kujiteka ili kuvuta huruma...
  5. Torra Siabba

    Tanzania ya Rais Samia yaipiku Kenya Kiuchumi kama kinara wa Afrika Mashariki

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa kuelekea kuwa nguvu ya kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, mwelekeo uliothibitishwa na uongozi wa mabadiliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha uwezekano mkubwa wa Tanzania kuipita Kenya kama taifa...
  6. S

    Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    Kumbe safari ya Arusha Mpaka Kenya (Nairobi) ni masaa matatu mpaka nne, Basi Haichoshi kabisa,naweza enda na kurudi chap kulitumikia taifa langu

    The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator). The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator) Trippy
  8. Yoda

    Vituko vya dini Afrika: Kenya na Tume maalum ya Rais kuchunguza waabudu shetani(Devil worship) mwaka 1994!

    Ni jambo la kushanga ila ni tukio halisi, Rais Daniel Arab Moi wa Kenya mwaka 1994 aliwahi kuunda tume maalum ya Rais kuchunguza imani za waabudu shetani Kenya. Hata hivyo baada ya ripoti kutoka serikali haikuiweka hadharani rasmi na iliipotezea bila kutekeleza mapendekezo yake mbalimbali kwa...
  9. Akotia

    AzamTv kama wanaweza kuwekeza kwenye ligi ya kenya watakula bingo

    Wakenya hawana kitu cha kuwashughulisha sana,tabaka la chini la Kenya wanaipenda sana ligi yao ila hawana support. AzamTv wakiwekeza mpunga kwenye ligi ya kenya hasa wakiweza kuproduce live,pia wastream kwenye app yao kwa kushirikiana na media za kenya atapata pesa bila ya kua na king’amuzi...
  10. Poppy Hatonn

    Mtu auawa kijijini Kenya kwa tuhuma ya kumtaka mke wa mwingine.

    Hizi habari za siku sita zilizopita. Imetokea Mfukoni location,sub section Kinoru. Huyu mtu Musanga amemkata shingo Bwana Muthomi kwa kuthubutu kumfuata mke wake Linat Karemi. Amemkata shingo mpaka kichwa kikawa kinaning'inia tu. Sasa,I don't want to discuss the adultery. I just want to discuss...
  11. incognitoTz

    Kilichoanguka Kenya ni "Rocket Separation Ring" au Pete ya Kutenganisha Roketi

    Separation Ring ni kitu gani? Roketi kwa kawaida huundwa kwa stages au vipande, ambavyo hutumika kwa wakati tofauti wa kuirusha kwenye obiti. Sehemu kubwa ya uzito wa roketi ni mafuta na injini, kwa kawaida asilimia 95 ya chombo chote ni sehemu hizo. Kwa kuwa roketi hutumia mafuta kwa haraka...
  12. GoldDhahabu

    Kwa nini kampuni za Kikenya ni nyingi nchini Tanzania kuzidi kampuni za Kitanzania nchini Kenya.

    Sababu ni mchango wa Serikali? Ni jitihada za raia wenyewe?
  13. Waufukweni

    Kenya: Mchungaji Ng’ang’a azua gumzo kwa kuuza Mikate na Maandazi kwa bei ya juu, isiyo ya kawaida Kanisani

    Mchungaji James Ng’ang’a, mwanzilishi wa Neno Evangelism Centre, ameendelea kuzua mjadala kwa hatua yake ya hivi karibuni ambayo imewashangaza wengi. Katika ibada ya hivi karibuni, mhubiri huyo wa injili aliamua kuuza mikate na mandazi kwa waumini wake kwa bei ya juu isiyo ya kawaida. Mkate...
  14. aise

    Yamekosekana maelezo ya kitaalamu na uhakika kuhusu hiki Chuma ambacho kimedondoka huko Kenya?

    Habari zenu wakuu. Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya. Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi. Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
  15. Mwachiluwi

    Kanisa kenya limegeuka soko

    Mchungaji kenya kaazisha biashara ndani ya kanisa na waumini wana nunua bidhaa hii ni ajabu af jirani ana jisufi yupo na akili mingi kwq hili hapana
  16. kavulata

    Kenya ni taifa la wakoloni, hawajawahi kuondoka

    Kenya ni taifa ambalo halijawahi kuupata Uhuru wake hata kidogo. Hata Mzee Jaramongi Odinga alipoandika kitabu chake cha "Not yet Uhuru" alimaanisha lakini walimpiuza. Wakenya ni wakimbizi kwenye taifa Leo, wanazalisha kwa manufaa ya wakoloni. Wakenya ni manamba kwenye nchi za wakoloni na...
  17. A

    KERO Lack of professionalism among the Ferry Officers

    Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry akaniita ati nimwonyeshe simu yangu my gallery eti nimepiga picha ilhali sijapiga picha kabisa...
  18. Mtoa Taarifa

    Kenya: Wananchi na Watetezi wa Haki za Binadamu waanza Maandamano ya kupinga Utekaji na kutaka Waliotekwa kuachiwa haraka

    Maandamano ya Kupinga vitendo vya Utekaji yaliyoitishwa na Wanaharakati wa Haki za Binadamu na Ndugu na Jamaa wa watu walioripotiwa kutoweka katika mazingira yenye utata, yameanza leo nchini humo licha ya Jeshi la Polisi kuyaita ni haramu. Hatua hiyo inafuatia kupita Saa 48 za wito wa kuachiwa...
  19. BLACK MOVEMENT

    Tetesi: Kesho huenda kukawa na Maandamano ya Vijana Kenya kupinga Utekaji, wameandaa wenyewe bila Wanasiasa.Njoo Tanzania tunamtafuta mtu wa kutuandamania

    Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu. Vijana wa Kenya wana set maandamano Kesho wao wenyewe kwenye socia media na wanaingia road wenyewe, bila...
  20. CHASHA FARMING

    Wanasiasa wa Kenya na Kilimo wana inspirw sana ukiweka Siasa pembeni.Hawa wetu hadi wastafu ndio tuanze kuwaona shamba

    Kitu kimoja huwa najifunza kutoka kwa Viongozi wa Kenya ni kwamba asilimia 99 wana fuga na wanalima. Raila shamba lake linaitwa Opoda ni moja ya shamba kubwa sna la mifugo hapo Kenya. Kuna wakati Ruto alikuwa ana unda Balaza lake la kwanza la mwaziri sasa wakawa wanafanyiwa Vetting Bungeni kwa...
Back
Top Bottom