kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. G

    Mali zinazopatikana kwa elimu zisigawanywe kwenye talaka, Juhudi za chekechea mpaka chuo haziwezi kupigwa pasu kwa pasu , Tuwaige wenzetu wakenya

    Chekechea - miaka 2 Msingi - miaka 7 Olevel - miaka 4 Form 5 / Dip - miaka 2 Degree - Miaka 4 kujitolea kupata ujuzi - miaka 3 Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
  2. Waufukweni

    Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa TSh. Miloni 374 kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika, amchana Willy Paul "ananitengenezea ubaya"

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa dola 150k sawa na TSh. Miloni 374 (373,554,903) kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika mwisho wa wiki. Taarifa hii imekuja wakati akijibu madai kwamba alihusika katika kumzuia msanii wa Kenya, Willy Paul, kupanda...
  3. Mindyou

    Ruto athibitisha kuwa Kenya imelipa Kshs Milioni 500 kwa waandaaji wa Grammys ili tuzo zifanyike nchini humo

    Wakuu, Hivi karibuni Rais William Ruto amedokeza kuwa kuwa serikali ya Kenya tayari imelipa Tshs Milioni 500 Kenya iweze kuwa mwenyeji wa tuzo za Grammys mwaka 2027. Akizungumza wakati wa mkutano wa Townhall Jumatatu usiku, Ruto alisema kuwa hili linaweza kuthibitishwa na wawakilishi wa...
  4. Mtoa Taarifa

    Benki ya Dunia yashusha Makadirio ya Uchumi wa Kenya kutoka 5.0% hadi 4.7%

    Ripoti ya Makadirio ya Ukuaji wa Uchumi ya Benki ya Dunia (WB) imeonesha Uchumi wa Kenya utashuka katika Ukuaji wake kutoka 5.0% ya makadirio ya awali hadi 4.7% ambapo Mafuriko, Maandamano dhidi ya Serikali na Juhudi hasi za Uimarishaji wa Uchumi vikitajwa kuathiri ukuaji huo. Pia, ripoti...
  5. Waufukweni

    Rais Ruto amtembelea Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu

    Rais William Ruto leo Jumatatu, Desemba 9 alimtembelea aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu katika Kaunti ya Kiambu. Katika andiko la aliyekuwa Msemaji wa Ikulu Kanze Dena, amesema wawili hao walijadili masuala yenye maslahi ya taifa.
  6. itakiamo

    Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya

    Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha hilo. ============================================== Diamond Platinumz yesterday he refused to...
  7. Msanii

    Diamond aondoka bila kuperform Kenya

    Diamond alikuwa na Show ya ku-peform kwenye Show ya Raha-festival huko Kenya 🇰🇪, Ambapo Diamond, alisusa na kukataa ku-peform kutokana na kutokuwa na Maelewano kati ya yeye na waandaaji wa Tamasha hilo. Fungua video kupata mkasa mzima Wasanii wetu ni budi wakajihafhari sana...
  8. Allen Kilewella

    Nini kimeifanya Rwanda ipunguze kupitishia mizigo Tanzania na kugeukia Kenya?

    Wakati bado tunaendelea kuomboleza kifo cha mfanyakazi wa TRA, Marehemu Amani Simbayao, Kuna jambo limenishangaza kidogo. Kumbe Mwigulu Nchemba yupo. Maana zaidi ya kumkumbuka ninaposafiri na kuona mamia ya mawe huko kwenye barabara ninazopita, yameandikwa "Mwigulu Rais 2015", huwa simsikii...
  9. Waufukweni

    Hii ndiyo jeuri ya fedha! Check Convoy ya Diamond na Zuchu Uwanja wa Ndege Dar (JNIA) wakielekea kwenye show Kenya

    Hii ni Convoy ya Super Megarstar, Diamond Platnumz na Zuchu akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wakati wakielekea kwenye show kwa mashemeji zetu nchini Kenya.
  10. BLACK MOVEMENT

    Wakati Ruto kule Kenya Vijana wakimkosesha usingizi, Tanzania ni tofauti, Wazee ndio wanao mkosesha Rais usingizi. Vijana wako busy na Simba na Yanga

    Tanzania huenda ndio nchi Pekee ambayo Wazee ndio wanapigania Taifa/ Wazee ndio wana uchunhu na nchi, wazee ndio wanao umia kuona ncji inaelekea kusiko, Huku vijana wakiwa nyuma ya keybord au wakiwa busy na Yanga na Simba na wengine wakiwa wameathirika na uchwa Pro. Kenya vijana ndio wanao...
  11. N

    KENYA: High Court suspends Privileges & Immunities status granted to Bill and Melinda Gates Foundation

    President William Ruto and co-chair of the Bill & Melinda Gates Foundation Bill Gates at State House, Nairobi in November 2022. Photo I PCS The High Court has issued orders suspending the Bill and Melinda Gates Foundation's special Privileges & Immunities status pending the hearing and...
  12. Mindyou

    Rais wa Kenya William achaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais William Ruto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir. Tangazo hilo lilitolewa Jumamosi, Novemba 30, kufuatia uchaguzi uliofanywa na Wakuu wa Nchi kutoka nchi saba wanachama, zikiwemo Kenya, Uganda...
  13. Lord denning

    Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

    Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu. Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura. Wameamua kabisa...
  14. Mindyou

    Video: Wanawake wa Kenya wana shida gani? Unapigaje filimbi kwenye harusi yako?

    Wakuu, Wanawake wa Kenya mnakwama wapi? Ni excitement au despration ya kuingia ndoani? Nitumie nafasi hii kuwasii wanawake wa kitanzania msiige mfumo huu.
  15. BLACK MOVEMENT

    Uhuru Park Nairobi, Kenya nchi yenye uhaba mkubwa wa Ardhi, Vipi sisi Tanzania wenye ardhi tele na miji imejaaa Frame tupu?

    Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga. Nenda Arusha ni full majengo yalio jaa frame, eti Geniva ya Africa, Ardhi zilizo kuwa za wazi kwa...
  16. GoldDhahabu

    Tanzania imejitosheleza kwa idadi na ubora wa Vyuo kuzidi Kenya, Uganda na Rwanda?

    Wakati fulani mtu fulani alihoji humu sababu ya Kenya na Uganda kuwa na raia wengi walio ughaibuni na baadhi ya wadau wakadai ni kwa sababu nchi zao hazina fursa kama Tanzania. Kuna taarifa inayoonesha kuwa Kenya, Uganda, na Rwanda zina raia wake wengi wanaosoma vyuo vya nje kuzidi Tanzania...
  17. G

    Music albums zilizouza sana nchini Kenya kwanzia '70s hadi '90s

    Music albums zilizouza sana nchini Kenya kwanzia '70s hadi '90s. Pata pale aipate.
  18. Suley2019

    Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  19. Mindyou

    Bunge la Seneti nchini Kenya liko mbioni kujadili muswada wa kuondoa kurushwa moja kwa moja matokeo ya Urais

    Huko nchini Kenya, Bunge la Seneti liko mbioni kujadili Muswada unaolenga kufuta kurushwa moja kwa moja kwa matokeo ya uchaguzi wa rais yanayotangazwa kutoka vituo vya kupigia kura. Muswada huo unapendekeza kufutwa kwa Kipengele cha 39 cha Sheria ya Uchaguzi ambacho hulazimisha IEBC kurusha...
  20. J

    Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

    Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
Back
Top Bottom