kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. M

    TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni

    Ni wito kwa TCRA ishirikiane na Shirika la Mawasiliano la Kenya kuwasaka matapeli hawa wa mitandaoni. Huu utapeli wa mtandaoni umevuka mpaka kutoka kuwa wa Kitaifa sasa ni utapeli kimataifa. Namba za simu zifuatavyo ni baadhi ya zinazotumiwa na matapeli, +254794812691 (Alex Kairi), +254102269805...
  2. Mindyou

    Rais Ruto wa Kenya ampigia simu Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Rais Ruto alimtaka Trump kuendelea kuangazia maeneo ya kipaumbele katika uhusiano wao, ikiwemo fursa za...
  3. Mindyou

    Kenya yaripotiwa kufungia mtandao wa Telegram ili kuzuia udanganyifu kwenye mitihani

    Shirika la Netblocks, hivi karibuni limeripoti kuwa, kampuni ya mawasiliano ya Safaricom imezuia upatikanaji wa app ya Telegram kwa wateja wake walioko nchini Kenya. Netblock imedokeza kuwa Safaricom ambayo ndio kampuni kubwa ya mawasiliano nchini Kenya – imezuia upatikanaji wa Telegram nchini...
  4. BLACK MOVEMENT

    Kenya asilimia 80 ya mijadala yao ni Siasa, Tanzania asilimia 96 ni mijadala ya Yanga na Simba.

    Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za siasa za Kenya. Tanzania asilimia 95 mada ni Yanga na Simha hizi ni mada za kutwa nzima asubuhi hadi...
  5. T

    Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  6. T

    Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  7. JanguKamaJangu

    Profesa Abraham Kithure Kindiki aapishwa kuwa Naibu Rais Kenya

    Profesa Abraham Kithure Kindiki ameapishwa rasmi kuwa Naibu Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Kenya. Kindiki ameapishwa na Msajili wa Mahakama nchini Kenya, Winfrida Mokaya mbele ya Jaji Mkuu Martha Koome, katika hafla inayoandaliwa kwenye jumba la Mikutano la KICC jijini Nairobi. Kindiki anachukua...
  8. M

    Leo anaapishwa Proffesor of Law Abraham Kithure Kindiki kuwa Naibu wa Raisi 3 wa Kenya

    Hii ni baada ya Gachagua kushindwa mahakamani, Kenya wana sheria na katiba bora ya kuigwa mfano.
  9. kavulata

    Tanzania kuna magashagwa mengi kuliko Kenya, anakosekana wa kuyaondoa tu.

    Kiongozi wa kitaifa hapaswi kufikiria na kutenda kikabila, kijimbo, kidini, kijinsia au kikanda maana watu wote (makabila, dini, majimbo, wilaya, mikoa, jinsia, kanda) kwenye taifa wanamtegemea. Unapomsikia na kumuona kiongozi wa nchi anafikiria, anatenda, anaagiza na kupeleka maendeleo kwa...
  10. B

    Naibu rais mteule wa Kenya Kindiki Kithure kuapishwa kesho. KICC

    #BREAKING: Naibu rais mteule wa Kenya, Kindiki Kithure, ataapishwa hapo kesho katika jumba la mikutano la KICC. Ikumbukwe kuwa leo Mahakama Kuu jijini Nairobi ilifutilia mbali agizo la Mahakama ya Kuu ya Kerugoya, Kaunti ya Kirinyaga kuzuia kuapishwa kwa Prof. Kithure Kindiki kama Naibu Rais...
  11. G

    Kenya wametufunika kwenye shughuli za kimaendeleo, Benjamin fernandez kijana wa kitanzania aliehamishia biashara zake Kenya na Kutajirika zaidi anena

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na...
  12. Waufukweni

    Kenya: Maajabu! Mwanamke ajifungua mtoto wa Kihindi, Amlaumu mume kwa kutazama filamu za Kihindi

    Haya ni maajabu! 😂 Kutana na wanandoa hawa kutoka Nyeri nchini Kenya, waliojifungua Mtoto wa Kihindi. Mwanamke anamlaumu mume kwa kupenda kutazama filamu za Kihindi, akidai ndio imepelekea kuzaliwa mtoto huyo. Mwanaume amekubali na kuahidi kuwapenda na kuwajali mama na mtoto. Inasemekana...
  13. Mookiesbad98

    Mahakama Kuu Yasitisha Mkataba Wa Mabilioni Kati ya Serikali ya Kenya na Adani Energy Solutions

    Mahakama Kuu ya Kenya imesitisha mpango wa serikali wa kuipa kampuni ya Adani Energy Solutions Limited kutoka India kandarasi kubwa ya usambazaji wa umeme, kufuatia wasiwasi kuhusu mchakato wa zabuni. Ijumaa, mahakama ilitoa agizo la kuzuia mkataba wa Sh95.68 bilioni ($740 milioni) baada ya...
  14. Mtoa Taarifa

    Mahakama ya Juu yasitisha utekelezaji wa Mkataba wa Usambazaji Umeme kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani Group

    Jaji Bahati Mwamuye alitoa maagizo ya kihafidhina, kusitisha utekelezaji wa makubaliano hayo huku akitaja kuwa mkataba huo umeibua wasiwasi juu ya usiri, ushiriki wa umma, na kufuata katiba Kampuni ya Usambazaji Umeme ya Kenya (KETRACO) ilitia saini mkataba wa Ksh 95.68 bilioni na Adani Energy...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mshukiwa wa mauaji ya kutisha ya Watu watatu wa familia nchini Kenya, akamatwa na DCI

    Mshukiwa mmoja amekatwa na Mkurugenzi wa Jinai (DCI) kuhusiana na mauaji ya Kinyama ya watu watatu wa familia moja, ambao walipatikana wakiwa wameuawa baada ya kutekwa nyara katika mtaa wa Eastleigh, nchini Kenya. Polisi wamelipata gari lililotumiwa na wahalifu katika soko la Wakulima...
  16. Kichuguu

    Ujenzi Mbovu: Kenya pia ghorofa laanguka

    https://www.youtube.com/watch?v=dfhBGUUZnF0 Ujenzi usiofuata viwango ni hatari kwa jamii.
  17. Stroke

    Wimbi la content creators toka Kenya na Uganda kutembelea Dar na Hasa mradi wa SGR kuna nini?

    Content creators toka Kenya na Uganda wanamiminika Dar kwa siku za karibuni na wote wanaishia kutembelea mradi wa SGR. Kuna nini huko SGR wajemeni. Maana sio kwa spidi hiyo. Anyways karibuni sana 🇹🇿.
  18. U

    Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki ina maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4

    Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki inao maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4! Wadau hamjamboni nyote? Familia bora kabisa kitaaluma. Niwatakie siku njema.
  19. T

    Kutoka Kenya: Mchakato wa wenzetu kumng'oa Naibu Rais unaumbua ubovu wa katiba yetu

    Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi. Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi...
  20. JanguKamaJangu

    Bunge lapitisha jina la Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais wa Kenya

    Bunge la Kenya limepiga kura ya kuridhia Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ambapo kwa kura 236 huku kukiwa hakuna iliyoharibika. Baada ya hatua hiyo, kinachofuata ni Prof. Kindiki kuapishwa na kuwa rasmi Naibu Rais wa Rais William Ruto. Atakapoapishwa atachukua nafasi ya Rigathi Gachagua...
Back
Top Bottom