kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. BLACK MOVEMENT

    JE wajua ni Tanzania pekee Bunge hukutana kujadili matundu ya vyoo vya shule na zahanati? Duniani ni Tanzania pekee

    Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule. Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
  2. BLACK MOVEMENT

    Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  3. R

    Baraza la Senate Nchini Kenya kumuhukumu Naibu Rais bila kumsikiliza. Je, anaweza akakata rufaa?

    Naibu Rais wa Kenya aliugua muda mchache kabla yakwenda kwenye baraza la Senate. Lakini pamoja na kuugua wajumbe wa baraza wameamua kupiga kura na kumwondoa bila kumsikiliza. Je, Naibu Rais anaweza kutumia mapungufu haya kwenda kukata rufaa kupinga maamuzi haya? Je, Rufaa anakata kwa nani?
  4. Suley2019

    Kisa Kimoja cha Homa ya Nyani (Monkey Pox) chathibitika na kufanya iwe jumla ya visa 14 mpaka sasa Kenya

    The Ministry of Health has announced one more confirmed case of Mpox in the country, taking the total number of cases recorded so far to 14. Health Cabinet Secretary Dr. Deborah Barasa, in a statement released on Thursday, said the case was recorded in Uasin Gishu County. The cases are...
  5. Pdidy

    Dhambi ya handshake haitwaacha salama Kenya

    Dhambi kubwa ya kwanza na kuapa mbele za Mungu hutoshirikiana na raila odinga Wala handshake yoyote Dhambi ya pili n kutangazia umma wa wakenya huo upuuzi ulifanyika hukoo nyuma hautafanyika tena Na ukafanyika Hii mitafaruku hata aje raila dp hawatokaaa salama arudi makanisan walkiopitia...
  6. mchemsho

    Kenyan VP Impeachment in Senate. Kenya is a million miles away in Democrat Practice. Tanzania inahitaji miaka 1000 kufikia kiwango hichi

    Transparency amongst senators showing clearly their position. Hakuna UNAFIKI wala kuonyesha eti kulamba uchafu wa aliyeko madarakani. Nimeipenda kwa kweli. Nasubiri kwa hamu upigaji kura. Nadhani ni HAKIKA TANZANIA INAHITAJI katiba MPYA ili kuondoa UCHAWA na kuweka COMPITENCE , INTEGRITY and...
  7. M

    Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
  8. kavulata

    Tusubiri makosa yetu tujifunze au tujifunze kutumia makosa ya Kenya?

    Kuna njia kuu mbili za kujifunza na kurekebisha mambo yako'; kujifunza kwa kutumia makosa yako mwenyewe au kujifunza kwa kutumia makosa ya wengine. Kenya wanataka kumuondoa Makamu wa Rais wao Mh. Gashagua kwa makosa aliyotenda akiwa Makamu wa Rais; Je, makosa wanayomtuhumu nayo sisi hatuna...
  9. A

    Viongozi wa Dini wamshauri Rais kuhusu Mpango wa Adani usitishwe. Je, wetu na DP World hali ikoje?

    Christian and Muslim clerics unite in urging Ruto to cancel Adani deals, return to NHIF Religious leaders under the umbrella of the National Council of Churches of Kenya (NCCK) and Supkem have expressed concern over ongoing developments in the country, and have asked President Ruto to rescind...
  10. JanguKamaJangu

    Mahakama yamgomea Rigathi Gachagu

    Mahakama ya Rufani nchini Kenya chini ya jopo la majaji watatu imekataa kuingilia kati mchakato wa kuondolewa madarakani kwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kupitia ombi la kuzuia mchakato huo. Aidha, mahakama hiyo imesema mchakato huo utaendele kama ulivyopangwa bila kuingiliwa na mamlaka hiyo...
  11. trojan92

    Battle: Tanzania 🇹🇿 ( Bongo) Vs Kenya ( Elite of Africa)

    Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza 1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿 2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿 3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz 🇹🇿 na inazungumzwa Africa na dunia kote 4. Mlima mrefu kuliko yote Africa...
  12. O

    Ukistastaajabu ya mafuta na maji ya upako hapa bongo. Pasta Ng'ang'a atupa sadaka za waumini kisa ndogo

    Mchungaji wa Neno Evangelism Centre James Ng'ang'a atupilia mbali pesa zilizokusanywa kama sadaka kutoka kwa waumini wake wakati wa ibada. Katika video iliyoshirikiwa na Qare Jane kwenye TikTok, mchungaji huyo alionekana akiiangalia kwa dharau sadaka hiyo. Wakenya walioshuhudia video hiyo...
  13. BLACK MOVEMENT

    Fananisha Kikao cha Mawaziri cha Kenya na cha Tanzania, tuna cha kujifunza

    Najaribu kauangalia kikao cha mawaziri cha Kenya naona wako very profesional, tunakwama wapi kikao cha Mwaziri Tanzania utazania kikao cha kupitisha tenda? Au ni wanapitisha tenda za Waarabu walio tenda juu zaidi kununua nchi? Hii ni kikao cha Mwaziri Dodoma. Hapa ni Nairobi kikao cha...
  14. C

    Impeachment iliyofanyika Kenya jana ilitakiwa iwe imeshafanyika nchi fulani

    Kuna siku unaota mpaka unashangaa mbona unaota vitu vikubwa namna hii, 1. Ghafla mihimili imeanza kufanya kazi kama katiba inavyotaka ikiwa pamoja na kuwajibishana na sio kukutana mara kwa mara bila sababu za msingi za kikatiba 2. Nikaota tena kuwa Wetangula ndio spika wa bunge la nchi hiyo...
  15. Cute Wife

    Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua

    Wakuu, Wabunge 281 wapiga kura ya ndio kumuondoa aliyekuwa Naibu Rais Kenya, Rigathi Gachagua madarakani. ~ Waliopiga kura ya hapana - 44 ~ Ambao hawakuchagua kokote - 1 Tanzania tutachukua muda gani kufikia huku?🌚 === Tukio linaloendelea bungeni Kenya ni upigaji kura ili kuamua hatma ya...
  16. Yoda

    Inamaanisha nini kufuatilia bunge la Kenya zaidi kuliko bunge letu tukufu?

    Kuna Watanzania wengi sana wanafuatilia kwa makini bunge la Kenya huku wakipuuza kufuatilia hata kidogo mambo yanayoendelea kwenye bunge lao, huko sio kukosa uzalendo? Pia Wakenya wenyewe hawafuatilii kabisa bunge letu, sijawahi kuona Mkenya ameposti mtandaoni kuhusu jambo lolote linaloendelea...
  17. and 300

    Gachagua asisafiri kwa Helikopta, ni hatari kwake kwa hali ilivyo!

    Naibu Rais wa Kenya Mr. Gachagua yupo hatarini kupoteza nafasi yake ama kwa kuondolewa kikatiba au kimafia! Sasa asijichanganye akakubali kwenda ama kutumwa safari kwa kutumia chopa. Mifano hai tunayo. Soma Pia: Kenya: Vurugu zaibuka pendekezo la kumwondoa Naibu Rais Rigathi Gachagua...
  18. Pdidy

    Gachagua: Wakenya na Rais Ruto naomba mnisamehe na familia yangu kwa makosa yoyote ambayo huenda aliyatenda akiwa ofisini

    Ruto wewe ni mkritsto Unampenda Mungu achana na mambo ya kuharibu hioo nchi kaa chini malizana na naibu wako Hakuna sifa mtu atatoa kwa kelele zinazoendelea huoo kenya Naibu Rais Gachagua leo ameomba radhi kanisani Ameomba kama binadamu na kama kuna sehemu amekosea anaomba wamsamehe Kama...
  19. Waufukweni

    Kenya: Naibu Rais Rigathi Gachagua Aomba Rais Ruto Amsamehe

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.
  20. TODAYS

    CCM na Serikali Watanzania Wamewakosea Nini Hadi Kuamua Haya?.

    Ulimnofu. Asalaam alykhum. Bwana Yesu asifiwe. Kule DRC poleni kwa kuwakosa ndg waliofariki maji ziwa Kivu. Nisipoteze muda. Adani Group inaonekana ni kampuni imeundwa maalum si kutoa huduma ipasavyo nje ya nchi zawa kwao huko India. Nje ya India kampuni hilo halina tija na ufanisi kwenye...
Back
Top Bottom