GEN-Z WANANYOOSHA KENYA, WASIOJULIKANA WANA-RUN TANZANIA
DESEMBA 9, 1961, Tanganyika ilipopata uhuru, Watanganyika wote walisherehekea kuwa huru. Baba wa Ali Kibao, babu wa Deusdedith Soka na bibi wa Ben Saanane, walikuwa juu kabisa kwenye wingu la tisa, kwa furaha.
Uhuru ni chemchemi ya utu...