Wengi huwa tunajifunza fani mbalimbali ili mwisho wa siku tuweze kutatua kero au changamoto za jamii; mfano:
Daktari atatatua kero za wagonjwa kwa kuwatibu.
Mwalimu atatatua kero za wajinga kwa kuwapa elimu na ujuzi.
Mzibua vyoo atatatua kero ya kuzagaa kwa maji taka na kuelekea kwenye mfumo...
Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na...
Maeneo yanayopitiwa na mbio za mwenge wananchi wanateseka bila sababu. Chukulia mfano leo mwenge ulikuwa unaenda kuzindua barabara iliyojengwa kiwango cha zege kuanzia eneo linaloitwa sauzi mpaka matosa kuelekea njiapanda ya goba. Cha kushangaza barabara ilifungwa tangu jana kuanzia msikiti...
Kamati ya watu 14 ya kushugulikia changamoto za wafanyabiashara nchini imeanza kazi kwa kukutana na makundi tofauti ya wafanyabiashara. Kamati hiyo ilisema Dar es Salaam jana kuwa itafanya kazi kwa weledi, itasikiliza maoni yote na itazunguka katika masoko nchini.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dk...
Hapa namaanisha Wamasai, Wagogo, Wasukuma na Mang'ati hawa watu usafi kwao ni sifuri wanajifunika na mashuka na mablanketi yanayonuka sana na mara nyingine yana kunguni na chawa. Usafi wa kinywa hawazing'atii wananuka midomo sana hawa watu usiombe ukae nao siti moja utajuta.
Mara nyingi...
Naombeni ushauri wenu. Demu anakula pesa zangu jinsi atakavyo. Ikifika wakati wa mimi sasa kumla anakuwa na masharti
Kuna styles hazitaki. Anasema hawezi fanya mapenzi kwa style hatarishi kwake. Na anasema nyingine ni za kimalaya wakati yeye ni mtu wa dini. Sasa nikamwambia basi awe mtu wa...
Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu tulizonazo, kukataa rushwa na kutenda haki, je tunahitaji nini kama nchi ili tuweze kusonga mbele.
Wafanyabiashara wa Kariakoo wameonesha weledi mkubwa katika kuelezea kero zao mbele ya waziri mkuu Kassim Majaliwa. Wengi wa wafanyabiashara hawajasoma sana kama waalimu, wahadhiri, madaktari, nk. Wasomi tunashindwa wapi!
Waalimu wana kero nyingi lakini hawathubutu kuzungumzia kero zao...
Habari,
Wakuu kama tunafatilia habari na mitandao tunatambua wiki hii nchini wetu imetawaliwa na matukio mengi. Miongoni mwa tukio lililogusa vituo vya habari ni pamoja na Mgombo wa wafanya biashara wa Kariakoo.
Imekuwa sio kawaida kwa viongozi wetu kujitokeza kusikiliza migogoro ya Wananchi...
WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
Hii ni kero ya miaka nenda rudi hakuna hatua inayochukuliwa.
Tafadhali NEMC Tanga wadhibiti hawa watu. Kama mmeweza kwenye mabaa na kumbi za harusi, basi na hili halitawashinda.
NEMC yafungia baa, kumbi za starehe 89
Binafsi natoa pongezi nyingi kwa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa uamuzi wao walioufanya hivi karibuni, inawezekana ukaonekana kama wamekosea lakini siku zote binadamu huwa si rahisi kukubali mabadiliko.
Mabadiliko yoyote yale huwa yanaambatana na changamoto kadhaa...
Wakuu,
Nimepitia kwa uchache katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Serikali Kuu (MDA) Mwaka 2021-22 2020 ukiacha zile nyingine za LGAs na ya Mashirika, Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali katika ripoti hiyo iliyowasilishwa April Mwaka huu pamoja na mapungufu mengine alibaini;
Matumizi...
Hapa wanasema walifaulu kuzuia mashambulizi ya drones kumi zikageuza japo wameshusha mbili.
==============
The Russian-installed governor of Sevastopol on the Crimean Peninsula, Mikhail Razvozhayev, said Sunday that a series of Ukrainian drone strikes had been repelled overnight...
Majuzi kati nilikuwa mitaa ya Sinza kupiga misele kwa washkaji nilikaa kama siku 4 hivi siku 3 zilikuwa za mateso kwangu uyu mdudu anaeitwa MBU.
Hata awe mmoja ndani siwezi lala sasa uyu mwenzangu ni mtu wa ganja yaani ganja ni kolee jamaa akilala hasikii mbu wala shangazi yake mbu...
Inawezekanaje watu wapange utaratibu ambao siyo rafiki kwa waajiriwa wapya? Iko hivi: Ukipangiwa ajira na sekretarieti ya ajira kwa maana ya kufaulu usaili, unapewa barua ya kuripoti kazini ndani ya siku 14 vinginevyo nafasi yako atapewa mwingine!
Hii inamfanya mwajiriwa atafute nauli hata kwa...
Habari za leo ndugu wakuu! Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya salamu naomba niingie kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha.
Wakati siku ya wafanyakazi duniani ikikaribia, naomba niweke wazi kero za wafanyakazi, hasa wa sekta ya umma, ambazo Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.