kesi ya uhujumu uchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo namna nzuri ya kutoa Haki katika Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Wachina

    Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo Kesi ya Uhujumu Uchumi...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wachina waliokamatwa na 'Mabilioni' wasomewa kesi ya uhujumu uchumi. wapelekwa Gerezani, kesi yao haina dhamana

    Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam muda mfupi uliopita (leo, Jumatano Januari 07.2026) raia wa China waliokamatwa Oysterbay jana (Jumanne) wakiwa na 'mabilioni' ya fedha wamefikishwa Mahakamani hapo kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumi. Kwa mujibu wa hati ya mashtaka...
Back
Top Bottom