Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,651
- 1,129
Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo
Kesi ya Uhujumu Uchumi isiwe chanzo cha kuvunja uhusiano wetu
Namna nzuri ni kutafuta haki ili kila upande ubaki na amani
Sheria ndiyo itatoa haki haimaanishi kwenda kinyume na Sheria mengine ni mapendekezo tu wala sio kubadilisha Sheria na mapendekezo mazuri ni yale yanayoendana na Sheria yale yanayokinzana yanabaki tu kuwa Ushauri ambao sio lazima ukubalike
Ushauri haulazimishi
Lakini pia nchi zote mbili ziheshimiane Kisheria na wala nchi moja isivunje Sheria za nchi nyingine
Kinachotakiwa kufanyika ni uthibitisho wa hizi fedha na baada ya hapo Serikali ilipwe kodi na fidia yake ambayo iliikosa katika fedha hizi
Ikiwa fedha hizi ni za Wachina basi wathibitishe namna walivyozipata ili wapate haki yao lakini Sheria ya kodi itumike kuipa Serikali haki yake pia
Lakini kama sio fedha zao basi itumike Sheria ya fedha
Ni kesi ambayo wala haina haja ya kudhalilishana mitandaoni kwasababu nchi hizi mbili zinategemeana
Tukianza kuvuana nguo na kudhalilishana kwa namna hii inayoendelea tutavunja uhusiano wetu kati ya Tanzania na China