Wachina siyo watu wema ndani ya Nchi yetu na siyo Raia waaminifu sema tu CCM inawaficha, Serikali ilitakiwa iingienao Mikataba ya ya Ujenzi tu na wakimaliza Kazi waondoke nchini, Wachina wanaua Tembo wetu, wanaiba Umeme, Kodi awalipi, Kwakifupi wachina ni janga kwa Africa mara mia Mali zetu thingies uwekezaji na European kuliko Wezi na Vibaka kutoka ChinaWazo jema sana. Tatizo nani akusikilize? Lile lopolopo la Dar limeshajiingiza!
Mkuu Wachina hawanq faida kwenye nchii zaidi ya kuja kufanya uharifu tu, tungempata Raisi wa Ukweli Wachina kila siku wangepelekwa Mahakamani kwa uhujumu Uchumi Wachina Washenzi.Kama ni zao kihalali kosa lao ni kutokulipa tu kodi
Kama wakinyimwa haki tayari Uhusiano wa China na Tanzania utaingia doa
Asee nalo tatizo kama ndiyo hivyoWachina siyo watu wema ndani ya Nchi yetu na siyo Raia waaminifu sema tu CCM inawaficha, Serikali ilitakiwa iingienao Mikataba ya ya Ujenzi tu na wakimaliza Kazi waondoke nchini, Wachina wanaua Tembo wetu, wanaiba Umeme, Kodi awalipi, Kwakifupi wachina ni janga kwa Africa mara mia Mali zetu thingies uwekezaji na European kuliko Wezi na Vibaka kutoka China
Kama ni zao kihalali kosa lao ni kutokulipa tu kodi
Kama wakinyimwa haki tayari Uhusiano wa China na Tanzania utaingia doa
Noma sana dah hela bana helaWajomba hawana habari, wao wakiona mpunga mrefu lazima nusu wapite nayo, halafu nusu wanawasilisha kwa mamlaka za serikali. Si umeona mwenyewe press ya Kamanda aliyotoa, anatabasamu na kucheka vizuri Kwamba Mwaka kwake imeanza vizuri
Ukamate Bilioni 20 cash tena zipo kwenye mifuko ya sandarusi halafu ujizime data uwasilishe zote serikalini, zitawasilishwa Bilioni 6 tu mlizoziona kwenye Video clip.Noma sana dah hela bana hela
Noma sana yetu machoUkamate Bilioni 20 cash tena zipo kwenye mifuko ya sandarusi halafu ujizime data uwasilishe zote serikalini, zitawasilishwa Bilioni 6 tu mlizoziona kwenye Video clip.
Wewe suburia yone Maghorofa ya kiporomoshwa na wazee Mjini wakitamba na GWagon au LC 300
Ni kosa kisheria unakaa na bilion 6 ndani ila nikashangaa mkuu wa mkoa kasema bilion mbili wakati pale kwenye tukio tuliambiwa bil 6Kama ni zao kihalali kosa lao ni kutokulipa tu kodi
Kama wakinyimwa haki tayari Uhusiano wa China na Tanzania utaingia doa
Noma sana yetu macho
Sasa shuhuli itabaki kwa wachina manung'uniko
It's an organized crime - transnational crimesKama nimeelewa vizuri press ya Takukuru imeelez kwamba wana kesi ya credit card fraud and identity theft. Money laundering na n.k
Sasa wale ni wapigaji tena wana mikono ya wanaijeria na west africans. Its a criminal ring.
Pigia mstariPesa tamu sio 😃
Asee kama wamevunja Sheria moja kwa moja manake kazi wanayoKama nimeelewa vizuri press ya Takukuru imeelez kwamba wana kesi ya credit card fraud and identity theft. Money laundering na n.k
Sasa wale ni wapigaji tena wana mikono ya wanaijeria na west africans. Its a criminal ring.
Kuna nini kwaniTanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi
Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu
China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo
Kesi ya Uhujumu Uchumi isiwe chanzo cha kuvunja uhusiano wetu
Namna nzuri ni kutafuta haki ili kila upande ubaki na amani
Sheria ndiyo itatoa haki haimaanishi kwenda kinyume na Sheria mengine ni mapendekezo tu wala sio kubadilisha Sheria na mapendekezo mazuri ni yale yanayoendana na Sheria yale yanayokinzana yanabaki tu kuwa Ushauri ambao sio lazima ukubalike
Ushauri haulazimishi
Lakini pia nchi zote mbili ziheshimiane Kisheria na wala nchi moja isivunje Sheria za nchi nyingine
Kinachotakiwa kufanyika ni uthibitisho wa hizi fedha na baada ya hapo Serikali ilipwe kodi na fidia yake ambayo iliikosa katika fedha hizi
Ikiwa fedha hizi ni za Wachina basi wathibitishe namna walivyozipata ili wapate haki yao lakini Sheria ya kodi itumike kuipa Serikali haki yake pia
Lakini kama sio fedha zao basi itumike Sheria ya fedha
Ni kesi ambayo wala haina haja ya kudhalilishana mitandaoni kwasababu nchi hizi mbili zinategemeana
Tukianza kuvuana nguo na kudhalilishana kwa namna hii inayoendelea tutavunja uhusiano wetu kati ya Tanzania na China