Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu
Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua mkombora ya Iran ili kuinusuru Israel.
Leo Saudi Arabia nayo imekiri kushiriki nyuma ya pazia kuinusuru...
(1) Jina la 'Al-Ahly SC'
Jina lilipendekezwa na Amin Samy Amin, ambaye alipendekeza kuwa jina hilo ni sawa na neno "taifa" katika Kiarabu cha Misri. Lengo la jina ni kuwahudumia wanafunzi na wahitimu wa shule ambao walikuwa mhimili mkuu wa mapinduzi dhidi ya uvamizi wa Uingereza nchini Misri...
Kwema Wakuu!
Ni lini lugha mama zetu, nazungumzia lugha zetu za kikabila zitaingizwa kwenye mitaala kama moja ya masomo ya lugha kama ilivyo kichina, kingereza, kiswahili, kiarabu.
Tunampango gani wa kuhifadhi lugha zetu za asili au elimu ya kigeni itafanikiwa kuzifuta Lugha zetu za asili...
My take :Waarabu pia wamechoshwa na ugaidi wa Hamas.
....
https://www.middleeastmonitor.com/20240321-saudi-uae-among-states-fuelling-israels-offensive-on-gaza-report-finds/
Siyo siri, wengi tumeshtushwa na msimamo wa sera za elimu kuanza kukumbatia udini.
Waziri Mchengerwa katoa taarifa ya masomo yanayofadiliwa KISERIKALI, masomo au Combination(Tahsusi) ambazo nyingine ni za dini.
Katika hizo combination masomo ya Kiislamu na kuna Divinity vile vile.
Sera hizi...
Wanapuuza elimu?
Uwezo mdogo wa darasani?
Hawataki elimu dunia ?
Sio kwamba waarabu hawapo kabisa hivyo vyuo lakini idadi yao ni ndogo
Mfano mdogo ni idadi ya mataifa yanayoongoza kwa wahitimu kwa mwaka jana 2022/23 chuo cha Havard, hii ni kutoka moja kwa moja kwenye tovuti ya Havard
Havard...
Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions
Dondoo muhimu:
vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel..
Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina...
Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagar amedhihirisha nia ya Israel iliyojificha kwa kusema wamejiandaa kujibu mfano wa mapigo ya HezboLlaah si Lebanon tu bali sehemu yoyote ile ya mashariki ya kati.
"We do not choose war as our first priority, but we are certainly prepared," Hagari said."We...
Leo naangalia fainali ya AFCON kupitia TBC1 kutokana na mazingira niliyopo. Ila cha ajabu huyu mtangazaji somebody Upete anaboa anatuongelea kiarabu, hivi ndio professionalism yenu hii TBC1?
Au hamjui sio wote wanaelewa hiyo lugha? Mnawatoa wapi hawa watangazaji wanajifanya mamwinyi waarabu wa...
Israel sasa inapitisha mizigo yake kwa njia ya barabara ndani ya mataifa ya Waarabu, huku magaidi ya dini yakipambana kushambulia meli, waarabu kwenye mataifa mengine wanafaidi, hamna cha dini wala mshikamano....kimsingi hela.
Israel is using a land route for the import of goods through the...
Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu.
Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi...
Hii ni baada ya hayo magaidi ya kidini kupigwa na Marekani, sasa kila mmoja anajtokeza kuwalaani.....
The United Arab Emirates (UAE) has voiced serious concerns regarding the impact of recent attacks by Houthi militants on shipping vessels in the Red Sea, deeming them an "unacceptable threat"...
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya...
Ukiachana na sababu kuwa ni lugha ya peponi. Kuna sababu zingine lukuki za kujifunza lugha hii tukufu, kama zifuatazo.
أولًا وقبل كل شيء، تعتبر اللغة العربية لغة قرآنية، وهو الكتاب المقدس في الإسلام. لذا، يتيح لمن يتعلمها فهم القيم والعقائد التي تشكل أساس حياة المسلمين. هذا يفتح آفاقًا جديدة...
Nimesoma historia ya Zanzibar imejaa mambo mengi ya giza ila nitajiita kwenye hili moja.
Je ni kweli Karume, Salmin Amour, Natepe pamoja na karibia ya maafisa wote wa baraza la Mapinduzi walioa kwa nguvu mabinti wa kiarabu, na kihindi baada ya mapinduzi ya Zanzibar?
Inasemekana kuwa mke wa...
Kama Yeye ni Super Power kwani asiende peke yake, au amwambie shoga yake Israel apigane na Yemen si kila kukicha Yemen anampiga Israel na kuteka Meli zake, kwanini anafata Gulf Country, Kwa nini?
Tukiwambia Israel hana lolote anakuzwa na Viongozi wa kiarabu na US kwa faida zao tu.
Yemen ni...
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa na mashirika mengine ya misaada wamekuwa ni wenye huruma zaidi kwa kutoa tahadhari ya vifo vinavyoendelea Gaza kutokana na njaa na kiu.
Huruma zao zimekuwa ni kinyume na majriani na ndugu wa karibu wa wapalestina ambao wamepakana nao na ambao wanaangalia...
Nchi za kiarabu na mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisraeli ili kuokoa maisha ya wanachi,watumishi wa afya huko Gaza
Kwa makosa ambayo HAMAS ilifanya kujenga mahandaki ya kujifichia na kupanga mashambulizi chini ya hospitali shule,kambi za wakimbizi , na israel kuapa...
Pamoja na upungufu wa matamko hata hivyo wachambuzi wa masuala ya kisiasa wamesifu namna mkutano huo wa leo ulivyoonesha umoja dhidi ya Israel
Katikati ya mkutano huo katibu mkuu wa umoja wa nchi za kiislamu amelaumiwa na wachambuzi hao kwa kutumia sana maneno yenye kuonesha kuna maatumaini kwa...
Vita vinavyoendelea mpaka kufikia leo vimepitia hatua nyingi na za wazi.Kila mwenye kuelewa alielewa kilichopangwa kutokea.Hii ni kwa vile vita hivi kati ya Israel na wapalestina vimepiganwa katika namna za kisasa tofauti na vita vilivyotangulia vya mwaka 148 na vile vya Yom Kipur vya mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.