Wenzangu mnaopenda kupendeza, natafuta sana kiatu cha vans cha mtumba, maana bei yake kutoka nje naona ya moto sana siwezi kufika.
Kama kuna anaweza kunisaidia kupata vans namba 39 ntashukuru sana
Vans zipo za aina nyingi lakini binafsi natafuta kama hiki rangi iwe nyeusi au kijani kama hiyo...