CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Hellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.
Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.
Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44
Hakikuwa kimevaliwa
Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe.
Asante sana.