Bukirilo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2024
- 619
- 1,364
Mimi mwenye mguu wa tembo nateseka sana kupata viatuNikikipata nitakupa Connection na Mwamba, Tulikutana hapa kwenye huu uzi.
Anajua viatu balaa.
Mimi mwenye mguu wa tembo nateseka sana kupata viatuNikikipata nitakupa Connection na Mwamba, Tulikutana hapa kwenye huu uzi.
Anajua viatu balaa.
Kaka zangu Watano ndio size zao hizoMimi mwenye mguu wa tembo nateseka sana kupata viatu
Ulishapata?Hellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.
Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.
Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44
Hakikuwa kimevaliwa
Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe.
Asante sana.
Hapana Mkuu bado sijakipata.Ulishapata?
Ndio mkuuViatu vya waimba kwaya hivyo