shila 68
JF-Expert Member
- Jul 11, 2026
- 860
- 1,703
Anataka mpaka aone vilaka ndo aamini havijavaliwaMtumba ambao haujavaliwa? Hii ni mupya hii ni mupya kabisa. Mzee baba hakuna mtumba ambao haujatumika.
Anataka mpaka aone vilaka ndo aamini havijavaliwaMtumba ambao haujavaliwa? Hii ni mupya hii ni mupya kabisa. Mzee baba hakuna mtumba ambao haujatumika.
😅😅😅 Sio vingi sanaSijachelewa sana upadre wacha niende tuu😃
Duh me mwenyewe nilikuwa na sebago flani lakini ilikuwa ya duka ngozi tupu,,ilipoisha nikatamani niipate nyingine alooo mziki kuipataHellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.
Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.
Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44View attachment 3641483
Hakikuwa kimevaliwa
Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe.
Asante sana.
Hakuna ujinga hapo isipokuwa ufafanuzi tuu. Labda kimevaliwa mara moja tuu. IlaSawa mkuu.
Lakini mimi sio mjinga sana.
Hiyo siyo mitumba Sasa, kwenye vifaa vya electronics mfano vinaitwa refurbished not used.Ipo.
Inakuwa bidhaa ambayo imekaa sokoni muda mrefu inarudishwa kiwandani au inauzwa bei ya chini. Returned goods, Aged inventory, slow-moving inventory, au clearance item.
Vyote hivyo alafu kuna Nk😅😅😅 Sio vingi sana
😅😅😅😅😅😅Vyote hivyo alafu kuna Nk
Refurbished Ina maana kilitumika kikaboreshwa kwa kubadili baadhi ya vifaa na kurudishwa sokoni.Hiyo siyo mitumba Sasa, kwenye vifaa vya electronics mfano vinaitwa refurbished not used.
Mtumba ni kwaajili ya second hand consumers
Unaishi wapi Masaki au Mbweni ?Ingia H&M au Amazon unapata brand new kwa 350-450k. Au kwa bongo nenda maduka ya footstep utapata chini ya 300k
GobaUnaishi wapi Masaki au Mbweni ?
Achana nacho hiko.Hellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.
Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.
Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44View attachment 3641483
Hakikuwa kimevaliwa
Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe.
Asante sana.
Naomba unitumie DM mkuu kama utakuwa navyo.Achana nacho hiko.
Njoo nkupe Marbot chuma og ya mfaransa cuir veritable.
Kitakupa heshima usiyotarajia.
Kesho nakutumia uvicheki.Naomba unitumie DM mkuu kama utakuwa navyo.
Asante sana
Asante sana mkuuKesho nakutumia uvicheki.