Natafuta sana hiki kiatu; mtumba grade one, hakijavaliwa,. Nilikutana nacho Sabasaba

Natafuta sana hiki kiatu; mtumba grade one, hakijavaliwa,. Nilikutana nacho Sabasaba

Sisi bhana tuna mambo mengi katika kumkubali mtu na kumuweka moyoni.

Kiatu kizuri.
Mkanda pia tunawaangali
Saa.
Kucha.
Namna unavokula
Namna unavoongea
Mwendo wako.
Mashati kwenye Kola.
Suruali.
Rangi ya nguo.
Anavonukia.
Usafi wa meno n.k

Sasa jichanganye uwe unatafuna kama nguchiro hata kama una pesa ngapi Bro. Utaachwa.
Inasikitisha sana...
 
Nifanyie mpango Mkuu.
Hizi ndio Connection za Jamii Forum zenyewe.

Mimi nipo Dar es salaam
Asante sana
Shida sikai town,hadi nikifika kule ni hadi nikiwa na issue ndio huwa lazima nipitie huko niangalie mazaga.

Labda akipatikana mwenye kuwepo hapo Moshi mara kwa mara ndio aokoe jahazi mkuu
 
😅😅😅😅😅
Sisi bhana tuna mambo mengi katika kumkubali mtu na kumuweka moyoni.

Kiatu kizuri.
Mkanda pia tunawaangalia😝
Saa.
Kucha.
Namna unavokula
Namna unavoongea😜
Mwendo wako.
Mashati kwenye Kola.
Suruali.
Rangi ya nguo.
Anavonukia.
Usafi wa meno n.k

Sasa jichanganye uwe unatafuna kama nguchiro 😝 hata kama una pesa ngapi Bro. Utaachwa.
Sijachelewa sana upadre wacha niende tuu😃
 
Hellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.

Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.

Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44View attachment 3641483
Hakikuwa kimevaliwa

Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe.

Asante sana.
Ingia H&M au Amazon unapata brand new kwa 350-450k. Au kwa bongo nenda maduka ya footstep utapata chini ya 300k
 
Hellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.

Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.

Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44View attachment 3641483
Hakikuwa kimevaliwa

Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe.

Asante sana.
Ni mtumba na hakikuwa kimevaliwa.
Hapa sijaelewa mkuu
 
Maeneo Yangu Memorial
Hapo Vitu Vipo
Mwenye Mada Angesema Yupo Wapi Apewe Location
Naomba msaada Mkuu.
Nimekipenda sana hicho kiatu.
Naomba Unisaidie kukipata.

Nipo Dar es salaam.
Mikocheni B.
 
Back
Top Bottom