Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Mimi huwa naku imagine ni binti mwenye shepu balaa anayelekea kuwa mshangazi corporate.Kuna muda unaongea kama una miaka 70's kuna muda kama vile Gen Z
Mimi huwa naku imagine ni binti mwenye shepu balaa anayelekea kuwa mshangazi corporate.Kuna muda unaongea kama una miaka 70's kuna muda kama vile Gen Z
Unaona sasa! Vice versa is trueMimi huwa naku imagine ni binti mwenye shepu balaa anayelekea kuwa mshangazi corporate.
aliyekuambia kuwa kuna mtumba ambao haujavaliwa naniMtumba ambao haujavaliwa? Hii ni mupya hii ni mupya kabisa. Mzee baba hakuna mtumba ambao haujatumika.
Kumbe ningejichanganya ningepigwa vizinga kama kawaida tu!Unaona sasa! Vice versa is true
Kuna vizinga na kugeuzwa baba!Kumbe ningejichanganya ningepigwa vizinga kama kawaida tu!
Usiniambie ndoa tayari.
Muone 😅😅Mwaka huu hauishi, lazima nikuweke ndani; nimeshamwambia mangi, akutafutie shera nzuri ya mtumba kwa ajili yako wewe mama watoto.
Sahihi mkuu,kule south Africa,wanatengeneza Magari wakati wanayasafirisha, wakati mwingine linapata ajali na huamua kukarabati na kuuza minada ya magari mtumba !Watu wengi wakisikia neno mtumba hudhani kila bidhaa imekwishatumika. Hilo si kweli kila wakati.
Kuna viatu vinavyoingia Tanzania kupitia biashara ya mitumba vikiwa havijawahi kuvaliwa kabisa.
Sababu zinaweza kuwa ni
1. bidhaa za dukani zilizobaki bila kuuzwa,
2. zilizorudishwa na wateja,
3.zilizotoka kwenye maghala ya maduka.
Kwa hiyo, ingawa vimeingia kwenye mzigo wa mitumba, hali yake ni kipya kabisa na hakijawahi kuvaliwa na mtu.
Ndiyo maana unaweza kukuta kiatu cha mtumba kikiwa na lebo zake, soli ikiwa haina alama yoyote ya kutembea, na ngozi au kitambaa chake kikiwa katika hali ya mpya.
Hivyo, si kila kiatu cha mtumba ni cha matumizi; vingine ni vipya lakini vimeuzwa kupitia soko la mitumba.
Nna mwanangu yuko hapo mtaa twigs kariakoo,Hellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.
Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.
Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44
Hakikuwa kimevaliwa
Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe.
Asante sana.
Nataka uwe bize kunipikia na kulea uzao wangu, uachane na mambo ya kukaa huku mtandaoni.Muone 😅😅
Ntashukuru sanaNataka uwe bize kunipikia na kulea uzao wangu, uachane na mambo ya kukaa huku mtandaoni.
Ndio ile uliza kiatuNgoja kiatu aje
Nitafutie mkuu nipo DSM.Njoo arusha shivers utakipata 😃
JITU BANDIA anaweza kukusaidia ukipate kwa harakaNitafutie mkuu nipo DSM.
🤣🤣🤣Hapo penye kutafuna umenikumbusha Kuna kaka mmoja chuo alikuwa anapenda kutuita (mimi na rafiki zangu)masweetie wake,Kuna siku katukuta tunakula akaja naye akaagiza msosi we bwana we kidogo tupaliwe alivyokuwa anatafuna rafikiangu akasema ona anatafuna kama panya jamani nilicheka nikashindwa kuendelea kula 🤣🤣🤣😅😅😅😅😅
Sisi bhana tuna mambo mengi katika kumkubali mtu na kumuweka moyoni.
Kiatu kizuri.
Mkanda pia tunawaangalia😝
Saa.
Kucha.
Namna unavokula
Namna unavoongea😜
Mwendo wako.
Mashati kwenye Kola.
Suruali.
Rangi ya nguo.
Anavonukia.
Usafi wa meno n.k
Sasa jichanganye uwe unatafuna kama nguchiro 😝 hata kama una pesa ngapi Bro. Utaachwa.
Nyie si watoto slay queens, mimi hutafuna kama nguruwe na aibu mtaona nyie🤣🤣🤣Hapo penye kutafuna umenikumbusha Kuna kaka mmoja chuo alikuwa anapenda kutuita (mimi na rafiki zangu)masweetie wake,Kuna siku katukuta tunakula akaja naye akaagiza msosi we bwana we kidogo tupaliwe alivyokuwa anatafuna rafikiangu akasema ona anatafuna kama panya jamani nilicheka nikashindwa kuendelea kula 🤣🤣🤣