Natafuta sana hiki kiatu; mtumba grade one, hakijavaliwa,. Nilikutana nacho Sabasaba

Natafuta sana hiki kiatu; mtumba grade one, hakijavaliwa,. Nilikutana nacho Sabasaba

Nyie si watoto slay queens, mimi hutafuna kama nguruwe na aibu mtaona nyie
😆😆😆Sa unakuwa unamkomoa nani jamani hebu tafuneni vizuri kwani mnakuwa mnawahi wapi eti?
 
😆😆😆Sa unakuwa unamkomoa nani jamani hebu tafuneni vizuri kwani mnakuwa mnawahi wapi eti?
Unajua sisi waafrika tunawaiga sana wazungu mpka tunaoitiliza ujue...

Maisha yenyewe magumu haya, ujitafuna kislay queen unakuwa umeyakosea heshima maisha. Tafuna kama kweli hali ni ngumu. Mimi huwa naona ni ulimbukeni sana kula chakula kioga, et watu watanionaje, tafuna mpka Meza jirani wajue kuna mtu anakula
 
Viatu aina hiyo tena mitumba viko Arusha kwenye vibanda kando ya barabara ya Middleton na Makao mapya kwa juu kidogo ya ile roundabout.
 
IPO sana Mkuu, Mimi nadili na mitumba .
Kuna mitumba inakujaga Africa iwe viatu, begi , nguo aina zote unakuta zipo Bado na lebo zake za dukani yani hazijavaliwa Kabisa ama kutumika.
Mitumba mingine inakujaga kama misaada TU Kwa nchi zetu hizi.kwa hiyo zinakuwa ni mpya
 
Viatu aina hiyo tena mitumba viko Arusha kwenye vibanda kando ya barabara ya Middleton na Makao mapya kwa juu kidogo ya ile roundabout.
Hicho kiatu huwezi kukikuta chini Mzeee.

Kiatu cha Laki mbili hicho hakikai barabarani na kwenye Vumbi.

Hata sandaland, wala Narung'ombe hukipati.
Bytheway sio mtumba nilikikuta kwenye mtumba Grade 1.
 
Tunapangwa najua, ila tunapangwaje??? Hapo kwa kweli sijui
 
Hicho kiatu huwezi kukikuta chini Mzeee.

Kiatu cha Laki mbili hicho hakikai barabarani na kwenye Vumbi.

Hata sandaland, wala Narung'ombe hukipati.
Bytheway sio mtumba nilikikuta kwenye mtumba Grade 1.
Take it or leave it, hapo nilipokuekekeza hawauzii barabarani, wana vibanda halali vinavyofanya biashara halali Arusha na ni ile mitumba grade one tu.

Siwapigii debe ila kwa kuwa umeulizia na mimi niliisha lijua hilo chimbo ndio maana nime share nawe....

Kumbe umepost kwa lengo la kuanzisha league? 😳
 
Da jamaa una maisha mazuri kiatu 200K mimi leo nimetoka kununua hiki kiatu buku jero
 

Attachments

  • 20260804_141948.jpg
    20260804_141948.jpg
    249 KB · Views: 11
Hellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.

Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.

Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44


Hakikuwa kimevaliwa

Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe.

Asante sana.
Pitia hii page kitafute uki kosa angalia kinacho fanania Iko kiatu chako.

View: https://www.instagram.com/p/DX9tLeFK7RT/?igsh=dDhycHM4anA2aTJz
 
Hellow wakuu.
Habari ya majukumu.
Nimeona niwashirikishe hili suala.

Nilikutana na hiki kiatu Mwezi wa saba, bahati mbaya sana kilikuwa kimechukuliwa.

Ni mtumba.
Grade No 1.
Size No 44


Hakikuwa kimevaliwa

Naomba kwa yoyote mwenye machimbo ya Mtumba au Connection ya kukipata anijulishe.

Asante sana.
Kuna jamaa yangu namuonaga anapost bei kuanzia 90,000 sijui kama umeshapata au bado!
 
Take it or leave it, hapo nilipokuekekeza hawauzii barabarani, wana vibanda halali vinavyofanya biashara halali Arusha na ni ile mitumba grade one tu.

Siwapigii debe ila kwa kuwa umeulizia na mimi niliisha lijua hilo chimbo ndio maana nime share nawe....

Kumbe umepost kwa lengo la kuanzisha league? 😳
Labda wewe ndio unaleta League.

Asante kwa Ushauri wako.
 
Back
Top Bottom