kibaha

Kibaha is a city, with a population of 128,488 (2012 census), located in eastern Tanzania. It is the capital of Pwani Region. It is located in Kibaha District, one of the six districts of Pwani Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Pwani: Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kufanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025

    Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
  2. TAARIFA MUHIMU: Kama ni Mwenyeji wa Arusha kuna bodaboda wa Kibaha amefariki, ndugu zake wanatafutwa

    Pichani anaitwa Kevin Charles. Jina la maarufu hapa kibaha maili moja anaitwa Masai. Ni kijana mzaliwa wa Arusha alikuja kibaha kwa harakati za kutafuta pesa KELVIN CHARLES alipata ajali ya pikipiki na kufariki dunia kipindi anakimbizwa katika hospital ya Tumbi majuzi Jumatatu jioni. Mpaka...
  3. T

    Pre GE2025 CCM Kibaha wampa tuzo Nikki wa Pili

    Kunazidi kuchangamka === Chama Cha Mapinduzi wilaya Ya Kibaha mkoani Pwani kimempa tuzo ya pongezi Mkuu wa wilaya ya Kibaha Mjini, Nickson John Simon Nikki wa pili kwa usimamizi bora wa utekelezaji wa ilani ya CCM wilayani humo. Wilaya hiyo chini ya uongozi wa DC Nickson Simon makusanyo ya...
  4. Vijana nawashauri kanunueni viwanja kibaha mtanikumbuka

    Kwa mijengo inayoshushwa kibaha Sasa hivi muda sio mrefu viwanja vitakua havishikiki na mtanikumbuka aisee nimetembelea Jana Kila maeneo ni ujenzi tu unaendelea yaani muda sio mrefu ardhi itakua gharama sana kibaha na watu hawatoamini mda haurudi nyuma vijana narudia tena nunueni viwanja kibaha...
  5. Vijana 132 wakamatwa Kibaha wakijihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa ni utapeli

    Katika tukio la kushtua, vijana 132 wenye umri kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali ya pembezoni mwa Tanzania wamekamatwa huko Mlandizi, Kibaha Vijijini mkoani Pwani, wakiwa wanajihusisha na biashara ya mtandaoni inayodaiwa kuwa ni ya kitapeli. Biashara hii inadaiwa kufanyika kwa...
  6. DOKEZO Kibaha kwa Mfipa kuna vibaka wanaopora na kujeruhi watu, Vyombo vya Ulinzi vikomeshe hali hii

    Huku kwetu maeneo ya Kibaha hasa Kibaha Kwa Mfipa kuna matukio ambayo ni hatari sana kwa usalama, kwani kuna vibaka wanatusumbua na wanafanya matukio yao majira ya Saa 11 alfajiri wakiwalenga wale watu wanaodamka asubuhi mapema kwenye kwenye majukumu yao. Vibaka hao wanakaba na kuwapora kwa...
  7. Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Mfumo wa Upigaji Kura wa Kibaha, secondary ni Njia nzuri ya Kuondoa Wizi na Malalamiko Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania. Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu na uhalali wa matokeo. Katika juhudi za kukabiliana na tatizo hili, shule ya sekondari ya Kibaha...
  8. Kiwanja Chenye Hati na Nyumba Yake Kinauzwa Kibaha

    Nauza kiwanja changu, Namba 30 kipo jirani na hospitali ya wilaya, eneo la Lulanzi ,kata ya Picha ya ndege, Manispaa ya Kibaha. Hospitali kilometa moja kulia na shule ya pyramid English medium ,mita 800 kushoto. Kilomita 3 toka barabara ya Morogoro to Dar es Salaam.Pia kilomita 3 toka...
  9. Utamsikia mgeni anasema: "Yani mjomba, sisi wakati wa Nyerere tulikuwa tunatembea kwenda shule usawa wa Kariakoo hadi Kibaha. Nyie vijana namna gani."

  10. Pre GE2025 Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji lampongeza Rais Samia kuteuliwa na mkutano mkuu CCM, kuwa Mgombea Urais

    Baraza la madiwani katika Halmashauri ya Kibaha mji limetoa tamko na kuazimia rasmi kwa pamoja kumpongeza Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuweza kuridhia maombi na kuweza kuipandisha hadhi Halmashauri hiyo kuwa Manispaa pamoja kuteuliwa na mkutano mkuu maalumu kuwa mgombea wa...
  11. Serikali ipambane kuondoa matabaka kwenye shule zake. Kibaha iwe sawa na Oljoro

    Nichukue nafasi hii kumpongeza ndugu LIKUD kwa jitihada zake za kuziheshimisha shule za serikali ingawa sio kwa njia nzuri sana inayokubalika. Kuziinua St Kayumba kwa kuziponda EMs sio namna sahihi kwa sababu hata EMs ni za watanzania kwa ajili ya watanzania. Kwa pamoja EMs na Kayumba ziko kwa...
  12. DOKEZO Mita/Dira za Maji zang'olewa usiku wa manane jana-Kiluvya -Kibaha. Waziri wa Maji tupia jicho hapa

    Wakuu habari za Leo! Naomba niwashirikishe sakata la kungolewa Mita/ Dira za Maji na Koki lililotokea usiku wa kuamkia Leo huku kwetu Kiluvya Madukani/Almaarufu kwa Omari, Makurunge Jirani na shule ya Msingi Maximilian. Ambapo , Leo asubuhi wakazi wengi wa maeneo haya wenye mita mpya za maji...
  13. Kibaha: Waiba gari, kichanga na kuwatumbukiza wazazi kwenye shimo la choo

    Wizi mwingine sasa ni kama wametumwa na waganga wa kienyeji! Sasa huyo mtoto wamempeleka wapi kama si uchawi wote huo. =================== Watu ambao hawajafahamika wamevamia nyumbani kwa mkazi wa Kibaha kwa Mfipa Mkoa wa Pwani, Melkisedeck Sostenes na kupora gari, pesa na vitu mbalimbali kisha...
  14. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kibaha

    Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias msangani Ukubwa Mita 40 kwa 20 Milioni 5 Umeme na maji vipo
  15. Taka zilizosambaa eneo la Kibaha Maili Moja Mkoa wa Pwani zaondolewa, usafi wafanyika

    Hali ilivyo Kibaha Maili Moja karibu na Kituo cha Maliasili ambapo taka zimeondolewa, pia chombo kinachotumika kuhifadhi taka kikiwa hakijajaa kama ilivyokuwa awali. Ikumbuke, Mdau wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Kibaha kuondoa uchafu uliokuwa umezagaa eneo hilo kiasi cha...
  16. N

    Wakuu naomba Connection ya Kinglion Kibaha

    Habari wakuu? Ndugu zangu mimi naishi Misugusugu Kibaha, hivi karibuni nimeanza kuona dalili za ukame kwenye kampuni ninayofanya kazi, jana nikaona niombe ruhusa kazini ili niingie zangu mtaani kucheki mazingira. Nyumba ninayoishi kuna vijana wanafanya mishe za ujenzi viwandani, kwenye stori...
  17. KERO Foleni kubwa Kibaha kuna mkubwa anataka kupita

    Kwa wale mnaokuja njia Morogoro road hapa Kibaha maili moja kuna foleni sio mchezo magari yamezimwa kabisa kuna mkubwa tunahisi anataka kutumia njiaa hii so inabidi watu wa kawaida tusubiri
  18. LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Huko CCM kuna mwanaume anagombea nafasi ya kundi maalum la wanawake Kibaha

    Wanabodi, Wakuu kuhusu salamu, nitaacha nafasi hapo chini kwa vijana wa UVCCM waje waweke wasalimie. Yaani kuna uroho wa madaraka alafu kuna uroho wa madaraka wa CCM Hiyo si kauli ni kauli ya Mwanamapinduzi hii na ofcourse inafikirisha sana. "Yaani mgombea mwanaume wa CCM anagombea nafasi...
  19. Wazee wa Vizuizi wameyatimba Madambwe yameondolewa Kibaha - Mlandizi.

    Wazee wa vizuizi wameyatimba, Morogoro Road shwari Madambwe ya Rushwa na kubambikia Madereva vyeti yameondolewa. Tumeshaandika thread nyingi humu kulalamika kuhusu Jeshi letu kuongeza barriers hatarishi humu na kukusanya 2,000 kwa madereva, jana tumeona shwari mpaka mlandizi hakuna hata kimoja...
  20. LGE2024 Pwani: CHADEMA wamsaka Mgombea aliyechukua Fomu Kibaha, wadai sio Mtu wao

    Zoezi la kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe wa serikali ya mtaa kwenye Mtaa wa Mailimoja B halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani limelazimika kusimama kwa zaidi ya masaa matatu baada ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) kufika kwenye ofisi hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…