Habari wadau,
Kuna mama mmoja anauza eneo kibaha mnemela umbali kilometer saba kutoka hospital ya tumbi. Eneo nimeenda kuliangalia leo huko, maeneo ya kibaoni, mbele ya Boko Mnemela. Eneo ni tambarare na lina ekari mbili kasoro kidogo kutokana na kuweka njia kidogo pembeni ukingoni mwa eneo...