Ni kweli wamefeli form four, wamepata four na zero.... kabla ya kuwalaumu tujiulize tulifanya jitihada gani kupunguza tatizo. Tuliwaonya walipokuwa wanakosea? Tuliwashauri? Tuliwasaidia mahitaji yao ya kishule kama Ada na mengineyo? Hatukuwatumikisha kazi zetu bila kujali umri wao na ratiba zao...
Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika.
Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
Ndugu watanzania, tuamke kumekucha! Tuamke tupiganie haki yetu ya msingi ya kupewa elimu bora na sio bora elimu. Leo wakati katibu mtendaji wa NECTA anawasilisha matokeo nimemsikiliza kwa makini sana. Amedai eti ufaulu wa mwaka 2023 umepanda kwa 0.87% ukilinganisha na ufaulu wa mwaka 2022...
Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana.
Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta.
Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa.
Soma Pia Matokeo mengine...
Naomba Team mnipe hatua zamsingi za kuzingatia ili kujiandikisha kuridia mtihani wa kidato cha nne.
(Mhitaji anataka kituo tu, yeye atajisomea online).
Kidato cha 5 muwaachie watoto waliotoka familia zilizoendelea.
Miradi ya kimkakati karibu yote itaajiri vijana kutoka technical colleges ngazi ya diploma na certificate (NTA level 5&6).
Ukiwa kazini utaipambania degree utaitwa boss
Utakuwa hero aliyetoka mavumbini.
Msije kusema sijawaambia.
leo nimekumbuka sana maisha nikiwa ya kidato cha nne na hasa nilipokuwa naenda kufanya mtihani wa hesabu with zero brain in calculation lakin cha ajabu nilitumia muda mwingi kufikiri kuliko mtihani wowote na ajabu zaidi niliingia na kitabu cha four figure wakati sikuwahi kujifunza kabisa yaani...
Rais Samia Suluhu Hassan kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii amewatakia kheri wahitimu wa kidato cha nne wote nchini wanaoanza mitihani yao leo Jumatatu Novemba 13 na kutarajiwa kuimaliza Novemba 30, 2023.
“Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa Kidato cha Nne mlioanza mtihani wenu...
Wanajamvi.
Leo wanafunzi 572, 338 wa kidato cha nne kutoka shule 5,371 kote nchini wameanza mtihani wa taifa.
Hebu tukumbushane hapa nini hasa unakumbuka wakati unafanya mtihani wa kidato cha nne
Hii Nchi sijui tunaelekea wapi.Walimu zaidi ya 100 wameenda semina ya kusimamia Mtihani wa kitaifa wa Kidato cha nne unaotaratijia kuanza November 13, 2023.
Cha ajabu karibu walimu 54 mpaka sasa hawajapata barua kujua vituo watavyosimamia huku Mafsa Elimu kata wakiwa kimya. Hao hao maafsa Elimu...
I mean kumhamisha mwanafunzi kutoka shule nyingine kumpeleka Sunshine Sec Kibaha ahamie kidato cha nne dirisha la January 2024? Au hawapokeagi wanafunzi kuhamia kidato cha nne?
Vipi kuhusu ufaulu wao? Ada zao ni how much? Maadili?
MBUNGE TAUHIDA ATOA MISAADA KWA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE WALIOKO KAMBINI, AWAASA KUSHIRIKIANA
Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea Mitihani ya Kidato cha Nne Wanafunzi wa Kidato hicho wameaswa kutumia muda ambao wako Kambini kushirikiana na kuelekezana katika Masomo jambo ambalo litawapelekea...
MBUNGE TAUHIDA GALLOS ATEMBELEA WANAFUNZI KIDATO CHA NNE WANAOJIANDAA NA MTIHANI WA TAIFA
Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Zanzibar, Mhe. Tauhida Cassian Gallos ameambatana na kuongozana na Mwenyekiti wa Katibu wa UWT Wilaya pamoja na Madiwani wa Viti Maalum alipotembelea na kuonana na...
Salaam Wakuu.
Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa.
Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi
Angalizo; Mimi si Askari na sina...
Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ametoroka nyumbani tangu August 18,2023
@AyoTV_ imefika Kibaha nyumbani kwa Zaiba Kinyowa (58) ambaye ni Mama Mzazi wa Sada na kuongea nae ambapo amesema Sada alirejea nyumbani baada ya...
Nipo hapa Dodoma eneo la Kisasa karibu na block F, Block F ni eneo ambalo wanakaa watu wengi wa kipato cha chini. Kuna binti alibahatika kufaulu hadi kufika kidato cha nne2023!
Sasa cha ajabu alitoroka na kurudi, lakini hataki tena kuendelea na shule hadi wazazi wake wamempeleka polisi na...
Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’.
Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
Na WyEST
MWANZA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolf Mkenda amemuagiza Kamishna wa Elimu kufanya uchunguzi wa kina kwa Shule nne zilizobainika kufanya udanganyifu mkubwa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022.
Prof. Mkenda amesema hayo alipokutana na Wazazi na walezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.