Habari za mchana Wana Jf.
Kuna mdogo wangu amefaulu kidato cha Nne nataka nimbadilishie shule na combination alizochagua awali huko Shuleni baada ya yeye kuja na mapendekezo mapya
Muda sasa tokea mwaka 2018 umekuja utaratibu mpya wa online unao muwezesha mwanafunzi kubadilisha shule ...
Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi?
Naomba kujuzwa tafadhali
Nilisikia kupitia radio one leo asubuhi kuwa, takribani asilimia 70 ya watahiniwa wa kidato cha nne wamepata alama sifuri katika somo la Hesabu?
Kama ni kweli, nafikiri hakuna haja ya kutafuta Mchawi kwani tatizo liko wazi kabisa ambalo ni ukosefu wa Waalimu wenye sifa ya kufundisha somo la...
WanaJF
Kwanza nianze kwa kusema ya kuwa, nimefanikiwa kufika kwenye shule mbalimbali nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge.
Shule hizo, nyingi nilizifikia mwaka wa masomo wa 2020 na 2021.
Kiufupi, nilifikia shule kwa orodha ifuatayo.
Wilaya ya Geita
1. Halmashauri ya wilaya ya Geita...
Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa.
Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka siku ya leo-29 Jan 2023, nimeona niunganishe na yale matokeo ya kidato cha Pili ambayo yaliwahi...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata madaraja kuanzia daraja la kwanza, daraja la pili, daraja...
Napendekeza kuwa, NIDA waje na mpango mkakati wa kuwapatia vitambulisho vya NIDA wanafunzi wote wa kidato cha nne wenye sifa.
Kama taarifa zao zitachukuliwa mapema, inamaana kabla ya maliza kidato cha nne wote watakuwa wamepata vitambulisho vyao na kuepuka usumbufu usio kuwa wa lazima...
Moja Kwa Moja kwenye maada kulikoni Baraza la mitihani NECTA kuchelewa kutangaza matokeo ya kidato Cha nne ikilinganishwa na mwaka Jana ambapo matokeo yaliwahi kutangazwa vilivile mwaka juzi. Je kuondoka Kwa Msonde kumesababisha hili?
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023??
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November.
Kwa mwaka jana matokeo yalitoka...
Salaam Wakuu.
Baba yake Mwalimu Mama yake Mama wa Nyumbani
Leo nimeona nipost hapa Historia kwa ufupi sana wa Samia Suluhu Hassan.
Yeye ni Mwanahabari, hakujua kifunga Ushungi, wanaume walikuwa wana mdhalilisha kwa kumuita kigego, ni mtu ambaye yupo haraka yupo mbele ya wakati, anajua kusoma...
Huo ni uandishi wa mwanafunzi wa kidato cha nne. Bila kupepesa macho, hayo ni matokeo ya elimu yetu ya mradi liende.
Wadau na wizara ya elimu mna wajibu. Kadri muda unavyokwenda hali inakuwa mbaya zaidi. Watu wanaandika lugha isiyokuwepo. Hayo ni matokeo ya kizazi chetu kufundishwa na watu...
Tanzania ni moja ya mataifa masikini duniani ikiwa na asilimia kubwa ya watu wanaotegemea kilimo cha kujikimu na shughuli za uchuuzi wa bidhaa hususani chakavu ama zenye viwango duni kutoka nje kwa ajili ya kipato. Hali hii huwaweka katika hali tegemezi kiuchumi kutokana na njia zisizotabirika...
Habari za wakati huu Wana JamiiForums wote.
Naitwa Peter John, Nina umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2020 na kupata ufaulu wa daraja la 2.
Natafuta kazi yoyote ya halali Kama vile kazi za viwandani, usafi maofisini/nyumbani ama yoyote ile ya halali
Nipo Dar es Salaam, maeneo...
UTANGULIZI.
Ni miaka mingi sasa, kuna ukakasi katika mfanano wa Matokeo ya Kidato cha Nne na Sita, Licha ya kuwepo mfanano huo kuna Utofauti wa Matokeo hayo baina ya Skuli na Skuli, wilaya na wilaya, Mkoa na mkoa hata katika ngazi ya Taifa ambapo kuna baadhi ya Skuli zinaonekana kung'ra huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.