kidato cha nne

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Dalili za ufisadi kwenye posho za wasimamizi wa mtihani wa Kidato cha nne

    Baadhi ya Halmashauri zimedaiwa 'kuwapiga' cha juu wasimamizi wa mitihani ya kidato cha nne inayoendelea hivi sasa. Kwa utafiti wangu usio rasmi wa kuwapigia watumishi wa Halmashauri tofauti tofauti, nimegundua kwamba kuna Halmashauri zingine zimewalipa wasimamizi siku 19, zingine zikalipa siku...
  2. Mkaruka

    Udanganyifu wa mitihani ya kidato cha nne unavyofanyika Kilimanjaro

    Afande RPC, so.1 op-officer & RCO Taarifa ya kufanya udanganyifu katika mtihani wa kidato cha nne tarehe 15/11/2021 Kamil:mkr/ir/1240/2021 (xx) ilani ya kwanza (xx) kosa: taarifa kufanya udanganyifu katika mtihani wa kitaifa kidato cha nne (xx) mnamo tarehe 15/11 /2021 saa 13:45hrs huko...
  3. K

    Madokta na Maprofesa wanapotenda Kama kidato Cha nne kwanini tushangae kidato Cha nne kuajiriwa kama Askari?

    Watanzania mnapowapigia kelele vijana wa jeshi la Polisi kwa kisingizio kwamba hawana akili na maarifa kwa kuwa waliajiriwa na D mbili mnapotoka. Nasema mnapotoka kwa sababu unapohukumu waliofeli lazima mtuambie waliofaulu wamefanya Nini? Tunao Maprofesa na Madokta hapa nchini ambao baadhi...
  4. E

    Kutoa ajira kwa waliofeli divisheni 4 tena kuanzia point 28 mpaka 31 ni kutuharibia jamii

    Nimeona matangazo ya ajira ya uhamiaji kuwa wanahitaji kidato cha 4 waliopata divishen 4 kuanzia pointi 28 mpaka 31 nikajiuliza sana. Hivi taifa hili akili huwa tunazipeleka wapi? kwa nini uwe specific kutoa upendeleo kwa waliofeli? unaipeleka wapi jamii yetu kwa upendeleo wa aina hiyo...
  5. Mwamuzi wa Tanzania

    Ushauri bora zaidi kwa vijana wanaomaliza Kidato cha Nne na Sita

    Habari! Ushauri huu unawafaa vijana waliotoka familia za uchumi wa chini na kati. Imekuwa kama desturi watu wa maisha ya chini na kati kuishi kwa bahati, yaani family haina mkakati kabambe juu ya mustakabali wa mtoto. Mzazi hajui mtoto atakuwa nani na mpoto anaota ndoto kubwa ambazo mimi...
  6. Issa Bakary

    Natafuta kazi yoyote halali, nina elimu ya kidato cha nne

    Natafuta kazi yoyote halali. Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
  7. Mtepa wa Mtepaza

    Nina elimu ya Kidato cha nne naweza kupata scholarship nchini Canada?

    Habari zenu wadau wa jamii forum, samahani, kiu yangu ni kufanya kazi nje hasa nchi ya Kanada na elimu yangu ni kidato cha nne kwa ufaulu wa division 3 nimemaliza mwaka 2015 masomo ya sanaa,kulingana na tafiti yangu ndogo nimeona wengi hupitia kwa njia ya masomo ili kufika huko Je, kulingana na...
  8. dennoo_appliances

    Utumishi, hiyo format ya kuandika namba ya Kidato cha nne na Sita ni ipi?

    Msaada hio formatt ya kuandika namba ya kidato Cha nne na sita ni ipi kwa anayejua kupitia Utumishi, nimeandika kawaida (SXX/XXX) imegoma, wanasema ni (SXX - XXX) nimeweka hiyo - imegoma
  9. Political stability

    Tuliofeli kidato cha 4 tukutane hapa

    Tulio pata division 4 na Zero (0) kidato cha NNE, na tumetoboa kimaisha , tukutane hapa.. Aiseee, Mimi kidato cha NNE nilikula Zero nzuri tu, nikaingia mtaani kupambana, sahiv mambo super . Walio nicheka, wananiangalia kwa aibu sahivi.
Back
Top Bottom