Salama wakuu? Nina rafiki yangu amenipa tafakuri mno usiku huu.alikuwa anaumwa, amezunguka kwa mitume na manabii ila hakupona
....
Ajabu ameponea Tanga, tena kwa mganga wa kienyeji. Hii imekaaje?
Kwanini wengi waliopinga yeye kwenda upande wa pili wenyewe huenda kwa waganga pia?
Kwa nn hasa...