Huko kusini mwa Tanzania kuna mganga mmoja anasifika kwa kutoa dawa za biashara na mapenzi.
Sifa ya kipekee ya huyu mganga ni kwamba ukienda kwake kutafuta lets say dawa ya biashara, atakupa dawa ya biashara ambayo atakuelekeza ukaizike eidha kwenye biashara yako au njia panda inayo ingia...
Nyumba niliyonayo ni ya urithi, nilipewa ikiwa imemalizika vitu vingi, nilihamia tu ?
Nami nataka nijenge nyumba ambayo pengine naweza pia kuirithisha huko mbele.
Sina ujuzi wala uzoefu wowote wa kujenga.
Kwenye usimamizi kitu pekee nachoweza labda ni ulinzi wa vifaa na kuhakikisha mafundi...
Mambo vipi wadau nataka kufuga ng'ombe wa kienyeji vijijini bajeti yangu milion 5.
Nataka ninunue ndama 1@150000tsh niwakuze kwa miaka 3 then niwauze je?
Ni changamoto gani nitakumbana nazo nijiadhari mapema.
Location yangu ni Dodoma
Mimi Sexless kazi yangu kubwa hapa mjini ni ukungwi. Natoa ushauri na kusaidia watu wa rika zote kutatua changamoto za mahusiano. Leo nimefikwa na mteja akanipa maelezo yafuatayo:
"Kuna siku nilikosea namba akapokea msichana, kwa bahati alikuwa mji ninaoishi. Mahusiano yakanzia hapo. Bado...
Habarini wana JF natumaini tumeanza mwaka vyema kabisa
Bila kupoteza wakatai nataka niwaletee hiki kisa ambacho tumeishi nacho tukiwa wadogo mpaka hivi sasa tumekuwa tunazidi kueelewa ilikuwaje maana wakati wadogo tulikuwa hatuambiwi chochote.
Iko hivi familia ya mzee wangu walizaliwa watoto...
Sikuhizi watu wengi wamejiajiri kama content creator. Sasa ukitaka content zenye quality nzuri unahitaji mahali patulivu pa kurekodia sauti. Nauliza kuunda booth ya kienyeji ya kurekodia itaweza gharimu kiasi gani? Hi zile lining kama matrey ya mayai kwa ajili ya kuzuia mwangi zinapatikanawapi...
Mimi sio narrator mzuri so mnisamehe ..ila hii habari niliiamini...!
Iko hivi kuna mtu tunaheshimiana nae sana tuseme ni rafiki ambae anajiheshimu sana wa zaidi ya miaka 20 tuko nae!
Sasa bwana yule akapata tatizo kubwa sana kazini...yupo kule kwa wale jamaa wa Long room najua mnapajua...
Radio free Africa naona sasa imeshapoteza credibility yake kitambo.
Sasa hivi imejaa vipindi vya waganga wa kienyeji tu.
Sasa hivi nasikia mtu anajiita chief Magema anajitangaza kuwasaidia watu na kutaja namba zake za simu, kama sio utapeli huu ni nini!!?
Hapa RFA mnaelimisha nini zaidi ya...
habari wadau.
Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye raia wengi wanao amini imani za kishirikina.
hivyo waganga wa kienyeji wapo wengi sana Tanzania. uhalisia hao waganga wote ni matapeli. wanacheza na saikolojia za wateja wao.
nimekutana na video tik tok dada mmoja akieleza jinsi alivyotapeliwa...
Katika hali isiyo ya kawaida Mganga wa kienyeji Edward Mwansasu mkazi wa Kijiji Cha Ndubi Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya, amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulalamika juu ya kutapeliwa na mteje wake aliye mhudumia kwa kumpa dawa za biashara.
Mganga huyo amefika mbele ya mkuu wa Mkoa wakati...
Hii ni dawa ya Asili(dawa ya kienyeji)
Mtoto mchanga kama ana mafua au amevuta maji wakati wa kujifungua hivyo akashindwa kupumua.
Fanya kitu kimoja:
Tafuta kondoo, mshikilie huyo kisha mpandishe mtoto huyo ukiwa umemshikilia mtoto
Kisha mtembeze huyo kondoo kidogo tu huku umeshikilia mtoto...
Habari wanjf.
Jamani nmeexperience baadhi ya Askari wa Jeshi fulani wakistaafu wanakua na Maisha fulani tofauti kabisa na vile walivyokuwa katika utumishi. Maana ni wazi kuwa serikali yetu inajari Sana Askari wake.
Sasa je Nini kinawafanya waishie kwenye pombe na ulinzi baada ya kustaafu...
Na hapa GENTAMYCINE nawaonya wazi kuwa acheni kudhani kuwa Winga Machachari Aubin Kramo karogwa na Yanga SC ila ukweli ni kwamba Karogwa na Mchezaji Mmoja maarufu wa Simba SC kipenzi cha Kocha ila asiyeaminika na Mashabiki.
Niliwaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hakikisheni kabla ya Ligi Kuu...
Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara.
VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia ufugaji wenye tija.
Mimi nafuga mradi unajiendesha nimezingatia eneo la uwekezaji na namna Bora ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.